PART4:MTAFYA TAJIRI ALIEUA WATOTO WAKE 2 KICHAWI NA KUISHI NA NYOKA NDANI ANAETEMA PESAKUMPA UTAJIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 70

  • @igurusitv6553
    @igurusitv6553 3 ปีที่แล้ว +13

    Huyu dingi alikua maarufu sana chimala, ukisikia kwa mtafya ujue vitu ni rahisi mno. Namkumbuka sana, tulikua tunatoka igurusi kwenda kwake

  • @bahuneyohane2193
    @bahuneyohane2193 3 ปีที่แล้ว +5

    Davistar mimi ni shabikiyako mkubwa saaana kutoka cape town ila ninaswali please nijibu swalilangu nihili changamoto gani ambayo imesha kupata tangu unaanza kuoji watu mikasa

  • @mariamndimbo8833
    @mariamndimbo8833 3 ปีที่แล้ว +2

    Story nzuri anaadisia vizuri

  • @annamwita1952
    @annamwita1952 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU akubariki Sana Dav hakika umechagua fungu jema kutu letea elim barikiwa tupo viwango vingine kupitia wewe

  • @catherinewanjiru7136
    @catherinewanjiru7136 3 ปีที่แล้ว +2

    Mr everything 👌

  • @rahaisacl9954
    @rahaisacl9954 3 ปีที่แล้ว +2

    🔥

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 3 ปีที่แล้ว +2

    Zuu number one lady ..... Ayaa faten mkiaa.. 🤭🤭😂😂😂✨✨

  • @rechorechojumamaroda5045
    @rechorechojumamaroda5045 3 ปีที่แล้ว +1

    Stori nzurii sana

  • @chakitv1241
    @chakitv1241 3 ปีที่แล้ว

    Pill musa legendary nakuita uje uku mambo yameiva 💯💯💯

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 3 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥❤️👂

  • @JoanessAdoloph
    @JoanessAdoloph หลายเดือนก่อน

    Uyu jamáa

  • @aminaally863
    @aminaally863 3 ปีที่แล้ว +1

    Story tamu davstar unaichelewesha

  • @zaharamakota7434
    @zaharamakota7434 3 ปีที่แล้ว

    Davistar mbona unapiga Sana miyayoo😂😂

  • @olphamoraa6683
    @olphamoraa6683 3 ปีที่แล้ว +1

    Story nzuri sana unajua kujielesa 💪🇰🇪

  • @margaretachieng9887
    @margaretachieng9887 3 ปีที่แล้ว +2

    Story nzuri sana ✨

    • @margaretachieng9887
      @margaretachieng9887 3 ปีที่แล้ว

      Ume potea aje jamani thanks for your 👍💯

    • @mwambakakudji6288
      @mwambakakudji6288 3 ปีที่แล้ว

      Margaret @ story nzuri ? Au story mbaya !
      Unawapenda wezi ?huyu ni mwizi... mualifu.
      Mwizi na mchawi ni wamoja. Kazi zao kutesa watu.

    • @margaretachieng9887
      @margaretachieng9887 3 ปีที่แล้ว

      Sasa Nita semaje niambiye na salamu pia ume potea lm missing you

  • @macamezunguzungu5584
    @macamezunguzungu5584 3 ปีที่แล้ว +1

    Story tamu sana💪

  • @rajasungtv394
    @rajasungtv394 3 ปีที่แล้ว

    Weka mwendelezo bas chap

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunaitaka kwanza ya Hassan bana we davistar vip? Shusha za Hassan mtata wa kigoma

    • @aminaally863
      @aminaally863 3 ปีที่แล้ว

      We nawe pambe

    • @profs.a5412
      @profs.a5412 3 ปีที่แล้ว

      @@aminaally863 😀😀😀tuliaàa aminaaaaa

  • @idrisooabdallah3546
    @idrisooabdallah3546 3 ปีที่แล้ว +1

    Davista story ya meshakii vip

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥👍

  • @frankrobertkomba2318
    @frankrobertkomba2318 3 ปีที่แล้ว +1

    Nipo hapa chimala mission hospital jina linalofahamika muamerika.

    • @martinmaryogo3676
      @martinmaryogo3676 3 ปีที่แล้ว +2

      kwa nn alkuwa anaitwa muamerica!?

    • @frankrobertkomba2318
      @frankrobertkomba2318 3 ปีที่แล้ว +1

      @@martinmaryogo3676 hospital ya mission iko chin ya marekani.kwahyo raia wa hapa wanapaita muamerika au chimala hospital.

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 3 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana

  • @zahirrajabumgonza1174
    @zahirrajabumgonza1174 3 ปีที่แล้ว +1

    Inasikitisha😓😓

  • @suleimaniyasri2166
    @suleimaniyasri2166 3 ปีที่แล้ว

    Tanoo mapemaaa..

  • @petermahende3963
    @petermahende3963 3 ปีที่แล้ว

    pmj sana sema sitor ya meshak mbona imeishia njian

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว

    jameni watu mfanye kazi wacheni wizi tafuteni jasho lenu ona kuuliwa kwa kifo cha kujitakia

  • @hadijashabani890
    @hadijashabani890 3 ปีที่แล้ว

    Dah

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 3 ปีที่แล้ว

    Safi baba

  • @credo7837
    @credo7837 3 ปีที่แล้ว +1

    Wa 27

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      Hongera

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 Asantee

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว

      @@ikabako2454 Asante

  • @happynesskimt6249
    @happynesskimt6249 3 ปีที่แล้ว

    Heee nilale chini, naenda chukua godoro gesti🤣🤣;du

  • @jumajuma831
    @jumajuma831 3 ปีที่แล้ว +1

    Meshack ajamalizia story na saizi unachelewa sana kupost

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 3 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 ปีที่แล้ว

    Una roho ya paka.

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 3 ปีที่แล้ว

    Ulikuwa na roho ngumu

  • @vellarose2596
    @vellarose2596 3 ปีที่แล้ว

    Leo niko wa kwanza waaa... Sawadi plz Davistar

  • @rashidathuman6465
    @rashidathuman6465 3 ปีที่แล้ว

    🍏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💧💧💧💧🕛

  • @josphatmwai1994
    @josphatmwai1994 3 ปีที่แล้ว

    Kenya tupo

    • @kerry8854
      @kerry8854 3 ปีที่แล้ว

      Tupo daddy

  • @mamskiumbe4057
    @mamskiumbe4057 3 ปีที่แล้ว

    Duuuu

  • @baravuga622
    @baravuga622 3 ปีที่แล้ว

    Amkeni amkeniiiii tayari hukuuuu

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 ปีที่แล้ว

    Mission ni ya Catholic

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa yupo single 🙄

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 ปีที่แล้ว

    Tupo pamoja

  • @philipoluzege3200
    @philipoluzege3200 3 ปีที่แล้ว

    Tupo

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      Tupoooo💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿

  • @tututz100
    @tututz100 3 ปีที่แล้ว

    MTAFYA TAJIRI

  • @rechorechojumamaroda5045
    @rechorechojumamaroda5045 3 ปีที่แล้ว +1

    Stori nzurii sana

  • @jumajuma831
    @jumajuma831 3 ปีที่แล้ว +2

    Meshack ajamalizia story na saizi unachelewa sana kupost