Davistar hebu muulize wao walipaka dawa wakawa hawaonekani,,,,,sasa inakuaje milango inafunguka na watu walioko hapo wasione na milango haijapakwa dawa za #sangoma,,,,🙉
Hapo mwishoni ndio jibu kwamba, wapo majini wa kikristo. Jamaa kapinga alama ya msalaba na kujikuta kwao. Nikwamba alisafirishwa na jini. Hakisoma quran.
Twende Kazi Mr....
Hii stor nikali lakn una chelew kurusha
Huku kigoma kuna uchawi sana,mimi nipo huku lakini ukiwauliza wenyewe wanasema hakuna uchawi kabisa nashangaaa.
hahahahahaaaaaaa, et wao wanasema hakuna uchawi
Dooh jana imepita kimyaa
😂et kama unafimbo unamchapa
Duh hiyo kali🤣🤣🤣🤣anaokolewa nauli yake
🤣🤣🤣et wanasubir tuingie wote ndo watukamate🤣🤣🤣🤣yani paka mbavu za niuma🤣🤣
Hahahaaaaaa.... hata mm nmecheka sana. Maana ni muoga sana huyu jamaaaa
huyu jamaa anastori kali sanaaaaa
Davstar anaichelewexha mpaka ananitia mawanzo😇😇
@@aminaally863 hahaa ucwaze bana ila hii story nzuri
@@jamesngalijah3710 anachelewexha bhana
Michongo kama hiyo ni kwenda peke yako, utajiri hautafutwi mkiwa wawili yaani hapo mlikuwa madoni kabisa
Tz, wanaita kigoda, Kenya tunaziita kiti moto, tuned 254
Marafiki waoga waoga mie sipendi ona ulikosa utajir kwasababu ya rafiki boya boya
Story ni nyingi davi hii iwaishe iwaishe iishe part 13 & 14 please davi hii chuma chenyewe bro...isichelewe
Dollar laki moja au elfu hamsini 😁😁😁
Uyu noma.sasa rasmi tunaelekea kwenye kafara.
Hahahahahah davistar angetafuta fimbo mtu amepagawaaaa steringi anashangaaa tukio lake mwenyeweee
Usinge enda na huyo jamaa mwoga sana
Yani mm ninge mchoma nimle nyama uyo jamaa Yani nimekaa nalia kwaujinga wauyojamaa 🙄🙄🙄🙄
Tutalipa mzee davista tunajifunza ataiyo nindogo🙏🙏🙏
Davister mata eti ungemchapa bakora jamaa Alikuwa ana nidham ya uwoga
Huyo mganga ni Marasta sio Mahala
Nimeamua kukurudixha kukuepusha nauli yako😁😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Ulikutana nacho kaka uliokolewa nauli hapo sasa kigoma moto 😂😂😂
Asanteh
Tunamshukuru kaka tunajifunza
kwahyoo youttbe hatutaona tena au mmh
Hiki Kipande cha kutaka kwenda kuiba Gold niliwahi kusikia simlizi hii RFA sintosahau.
Brother angu mbona kama unafeli weka xtor yutumbu watu wangalie wengi au watu hawatoi sapoti mwisho wa mwenzi nn
Huyo hakwua mwuizi😃😃
Ewooooooooo ❤️❤️mkuje Mambo kwa hela 😘
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Wa kwanza
Tuned 🇰🇪
Watu wa nje nch unalipa vipi
Tinatakaaaaa dawa na sie story ipungue hapa dawa mpango mzima
Atari sana
Yenyewe kaka wewe ulikua na tamaa Sana mpaka unajibandika jina la mganga
Apo mganga alikua anawazingua 2 alimuweka mwenzio kam kikwazo duuh awa watu so pow ujue
Angalau leo nimewahi 😍😍😘 tena 😀😀
Hongera
Lakini unachelewesha Sana me dm
J.BOYS 1999
Tunataka.hio dawa na sieeee tijupake
🤣🤣🤣
11 kwa comments
So ss wa TH-cam atupat tena
Wakwanzaa njon
Hongera.
@@thumnathumna5946 Asante
Davinsta nakuomba usiwe unachelewesha hii story
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwisho inafurahisha
Kuna wachawi jamn 😅😅
Kigonda vizuri kuelezea davista. Nairobi tunaijua kama kiti cha jadi
Stori tamu balaa ,kwa mtu mtafutaji lazima umuelewe huyu jaamaa
Hizo sehem 4 ulizopaka ungu mbona kama kuna watu nawaonang wanaswali wanazingusa hizo sehem kuna uhusiano ngani na huyu mganga
Wakristo niende nao kama wawo wanavyo kariri vitu hawajui shetani hujifananixha na watumaxhi wa mungu ili kuwapata watu na kuwapumbanza
Dunia inamambo sana dah jamani pesa hizi😇😇😇
🤣🤣🤣yaaani
Hatari Sana...
Uyu mwiz mzoefu mwenzie akuwa na tabia ya wiz
Wa kwanza team Davistar mata❤😁
Davistar hebu muulize wao walipaka dawa wakawa hawaonekani,,,,,sasa inakuaje milango inafunguka na watu walioko hapo wasione na milango haijapakwa dawa za #sangoma,,,,🙉
Ni kazi ya mapepo.hakuna kitu unaeza paka na usionekane
Hapo mwishoni ndio jibu kwamba, wapo majini wa kikristo. Jamaa kapinga alama ya msalaba na kujikuta kwao. Nikwamba alisafirishwa na jini. Hakisoma quran.
Posted the new website and make sure no commercial
Mr everything 👌
tukilipa 10000 hauweki bando tena?
hata mm hapo ndo nataka kujua au hyo app ili uifungue ntahitaj tena bando la kuingia na mda huo nmelpia ten!?
Story tamu lakini inakuja ksma dawa....lakini tunaelewa
Sasa Mimi simu zimekataa kuleta hio Davister wacha niende kwa mahubiri Sasa sijui nani kamshauri hayo
Ati alikuwa mwehu ama ungemchapa dav wewe
Bas tumekukosa wengine
Wa Saba leo
Umewahi
watu wako faster
Santaaas
Unapo ambiwa uoga wako ndo umaskin wako ndo hapoo sas
Hatimae
Hao wapuuzi waliokataa kuingia getini ndo waliokunyima utajiri
Kabisa yaan marafik wa hivo mie najitengaga nao kabisaa
Kwahio nasisi masikini ndio hatupati tena story ama
Hapo Sasa🤣🤣🤣
@@kimsamespa8490 hahaha tushapigiwa na chini😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Davista una maanisha unahama u tube au Ni vipi?
Ggffgfgggggghgggggfgfggggggggģhggģfggfģggfggcfdfffffgfffgfffgfgfggfgffggggfghfhggggggggffggfgghgfffggfffgfggghhģgfffggf5gfggggggfghhggfgffffgg6gggfgfgffgfhggggghgfggggfggggfghghgggfgģggggffgggggfggghgďggg
Tupo
Tupoo
Thanks 🙏
Safi
Jamani mbona hyo application imegoma kwangu ,msaada plz
Elfu kumi ni shillingi ngapi kenya?🇰🇪
Jamani ukisha download ni bac sitori ikitumwa hakuna gharama tena? Tafadhali nijuzen
@@annamwita1952ukidownload ili uweze kuon vipind untkiwa kulip elf 10 miez 6 utaon au 20 miez 12 usipolipa iyo hela uyo app itakujazia storage tu akun utakachoon😂
Davi tunaotumia iphone mbona kwa appstore hatupati app yko
Where is part 10? Please
😇