PART15:MTAFYA TAJIRI ALIEUA WATOTO WAKE 2 KICHAWI NA KUISHI NA NYOKA NDANI ANAETEMA PESAKUMPA UTAJIR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 106

  • @user-zk8sg3iw1z
    @user-zk8sg3iw1z 2 หลายเดือนก่อน

    Kumaninooo benki zilikoma na jamaa alikukomea shwaaaiiin😂😂😂😂😂🎉🎉🎉 we jamaa shapu Sanaa kudadekii🤣🤣🤣🤣🤣

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 3 ปีที่แล้ว +10

    Huyu jamaa akili nyingi kama mchwa

  • @ramadhangona9085
    @ramadhangona9085 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa ni sharp Sana kushinda wembe😅😅😅😅

  • @cocotz1892
    @cocotz1892 3 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣 nani kasikia wapumbavu hao 😅

  • @abdimohamed3953
    @abdimohamed3953 3 ปีที่แล้ว +3

    Hiki kweli kichwa daah hatariii hafanyi kitu Kwa hasara #mzeewakujiongeza

  • @user-zk8sg3iw1z
    @user-zk8sg3iw1z 2 หลายเดือนก่อน

    Jamaa amekuletea roho mbaya mpaka roho imeniuma na Mimi kama vile nyumba yangu yaani!!...😢😢

  • @rikekikonyo2265
    @rikekikonyo2265 3 ปีที่แล้ว +3

    Yule jamaa alienunua nyumba ulimfanyia poa sana kwenda kukopea nyumba yako ,dawa ya jeuri kiburi

  • @cocotz1892
    @cocotz1892 3 ปีที่แล้ว +5

    Unachelewesha sana jamani

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 3 ปีที่แล้ว +3

    Rafiki wengne sio wakuamini sana

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa alikuwa mjanja balaa hata kumshinda huyo rafiki yake alomkoni🤣🤣🤣

  • @suleimaniyasri2166
    @suleimaniyasri2166 3 ปีที่แล้ว

    kwelii mana dingi alinunua nyumba ..uxku tukaxikiaa kixhindoo asubuhii tukakuta bonge la shimoo kweny pembee....mpak leoo xjuii walifukuaa ninii😭😭😭😭

  • @elizabethmuia9839
    @elizabethmuia9839 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii story nikama ile ya mzee wa Bakora jamani, umaskini utatuigiza vabaya ee mungu tusaidie🙏

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣dawa ya marafiki fake ndio hio unajifanya mjuaji unapatikaka hongera Sana Laito

  • @kelvndaud5425
    @kelvndaud5425 3 ปีที่แล้ว

    Tupo nawewe kk

  • @alalwialalwiii8194
    @alalwialalwiii8194 3 ปีที่แล้ว

    Mm Leo namilioni Tatu na nusuu alafuu kisimaa kinanyokaaa👑

  • @navokisembo
    @navokisembo 2 ปีที่แล้ว

    Mali ya shetani lazima irudi kwa shetani yaani hainaga short cut. Yaani babu amewaingilia hao wateja woote kimazingira. Duh shetani mmbaya

  • @babymkuya359
    @babymkuya359 3 ปีที่แล้ว

    Big up davista story bam bam

  • @kusahbrown436
    @kusahbrown436 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu JAMA ana mpangilio mzuri WA hii story yani kama zabron
    Alafu atoe namba za waganga wake ili na wengine wanotaka kupata mafanikio kwa wazee wa ngende

    • @judiehance1736
      @judiehance1736 3 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣sema we ndo unaomba namba za waganga cha kuzuga dogo 😀

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 3 ปีที่แล้ว

      Usinichekeshe ukenda nichukue na mie😂😂😂😂😂

    • @fahadjinni5845
      @fahadjinni5845 3 ปีที่แล้ว

      Aweke tuuuu itakua vzr

    • @kusahbrown436
      @kusahbrown436 3 ปีที่แล้ว

      @@judiehance1736 aah mm nini mganga hatari wala sina shida

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 3 ปีที่แล้ว +1

      @@judiehance1736 kabisa yeye ndo anataka basi tu ameamua kuiomba kijanja

  • @kusahbrown436
    @kusahbrown436 3 ปีที่แล้ว +3

    Wa Kwanza mm naomba like niwakilishe nchi

    • @gmdecoration6044
      @gmdecoration6044 3 ปีที่แล้ว +1

      Nchi yako imekutuma like 😅😅😅😅

    • @lydiaedwin3998
      @lydiaedwin3998 3 ปีที่แล้ว +1

      @@gmdecoration6044 🤣🤣🤣

    • @gmdecoration6044
      @gmdecoration6044 3 ปีที่แล้ว

      @@lydiaedwin3998 mbona ujatoa like 😅😅😅😅😅

    • @lydiaedwin3998
      @lydiaedwin3998 3 ปีที่แล้ว

      @@gmdecoration6044 usijali ndo naanza

  • @hildaernest1090
    @hildaernest1090 3 ปีที่แล้ว

    Shetani akiamua kukulostisha kaah

  • @dorrinahlutaa7458
    @dorrinahlutaa7458 3 ปีที่แล้ว

    Watanzania muna mambo ya ajabu sana

  • @judiehance1736
    @judiehance1736 3 ปีที่แล้ว

    Wanaaaa ee ya vocha nimeipenda ,, nani yupo tayari hapa tuungane tupige hyo dili,, ila mi nakuwa costumer care

  • @susannyamwitha1354
    @susannyamwitha1354 3 ปีที่แล้ว

    Play store sijapata

  • @ombeniyohaneaustin8415
    @ombeniyohaneaustin8415 3 ปีที่แล้ว +1

    Byashetani bina garama

  • @djmtengwatz1099
    @djmtengwatz1099 3 ปีที่แล้ว

    Twende Kazi Mr....

  • @Limonga_jr
    @Limonga_jr 3 ปีที่แล้ว +1

    Wooop

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 ปีที่แล้ว

    Mali ya majini inaenda vile ziliguja kumbukeni simlizi ya mwenye bakora ya kimkakati pia nyumba aliuza hasara

  • @deborahburundi648
    @deborahburundi648 3 ปีที่แล้ว

    Anaeleza vizuri bira papara

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani hivi mtu lazima alipie kipindi akitaka kukisikiliza je na wale hawezi kukipia kwao kimenuka?wangine hawezi kabisa mapato yao madogo divistar mbona hivi?

  • @ibrahimnkuwi4202
    @ibrahimnkuwi4202 3 ปีที่แล้ว

    Aysee layton hatakag hasara kabisa piga nikupige

  • @mariamndimbo8833
    @mariamndimbo8833 3 ปีที่แล้ว

    Daah jamaa noma sana

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 3 ปีที่แล้ว +2

    Loooh! Mtafya jambazi la kimataifa!!!

  • @hassaniathumani5012
    @hassaniathumani5012 3 ปีที่แล้ว

    Davista mm nauliza tukiwa na app yako ina maana ndo tunahamia uko na uku you tube utakuwa aupoo au??

  • @evachuwa116
    @evachuwa116 3 ปีที่แล้ว

    Mwendelezo maana tutaisahau jitahidi naomba

  • @macamezunguzungu5584
    @macamezunguzungu5584 3 ปีที่แล้ว

    Together Mr everything 💪

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 3 ปีที่แล้ว +1

    Divistar mbona hivi una pata za TH-cam na sasa una taka za watazamaji sio haki

    • @jobmuchiri7514
      @jobmuchiri7514 2 ปีที่แล้ว

      Ni haki tumsaidie kwa sababu analeta content nzuri sana.usiwe na roho ya uchoyo

    • @mercykariithi7919
      @mercykariithi7919 2 ปีที่แล้ว

      @@jobmuchiri7514 sio roho ya uchoyo wanalipwa na TH-cam pia imagine wote wakifanya kama yeye than na wale hawezi kulipia?it's greed imemwingia he is not needy we can help elsewhere where genuine help is needed

    • @jobmuchiri7514
      @jobmuchiri7514 2 ปีที่แล้ว

      Ok i understand

  • @credo7837
    @credo7837 3 ปีที่แล้ว

    Niko hapa

  • @marychacha7084
    @marychacha7084 3 ปีที่แล้ว

    Kwa sasa Bank zinafatilia kila hatua kuhusu hati ya kuweka dhamana kwanza wanafatilia kama haujakopea kokote pia wanahakiki kama nyumba haijauzwa ..na zaidi wanawasilia na bank zingine kuhusu kama una mkopo na kama si msumbufu kurejesha.kumbe walikua wapingwa zamani ndo maana siku hizi masharti kibaoooo.😅

  • @jossyayielo7576
    @jossyayielo7576 3 ปีที่แล้ว

    Asante🇰🇪

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 3 ปีที่แล้ว

    Akili nyingi sana

  • @dearmassawe58
    @dearmassawe58 3 ปีที่แล้ว

    Jamaniiiii kaka huyuu😀😀😀

  • @abuorbakar7490
    @abuorbakar7490 3 ปีที่แล้ว

    More fire

  • @pendomwahalende4869
    @pendomwahalende4869 3 ปีที่แล้ว

    Jamaa ana akiri sana huyu

  • @tututz100
    @tututz100 3 ปีที่แล้ว +1

    JAMAA MTAMAA HUYU

  • @swahibjack9533
    @swahibjack9533 3 ปีที่แล้ว

    Duh kikulacho ki nguoni mwako

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 3 ปีที่แล้ว +1

    Hasa lile joka liliishia wapi yani mecheka balaaa eti lokua kiongozi wakazi akawa nyuma ww ndio ukawa kiongozi

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 3 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana

  • @mariamndimbo8833
    @mariamndimbo8833 3 ปีที่แล้ว

    Hahahaaaa jamaaa mjanja

  • @kusahbrown436
    @kusahbrown436 3 ปีที่แล้ว

    Hii Leo nimeiwahi ikiwa na sekunde 32

  • @beatricemortensen8533
    @beatricemortensen8533 3 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye kuuza nyumba muuuh .

    • @robertlinuma6051
      @robertlinuma6051 3 ปีที่แล้ว

      Huwa inatokea nyumba haiuziki .kila mteja anaishia kuiangalia Ila pesa pesa hatoi .mm mjomba angu alitangaza kuuza nyumba miaka 3 ,na baadae sana aliuza Bei ya hasara sana tofaut n nyumbayenyewe .baadae Sana alionekana alikuwa na pesa za mashetan .mashetan wake walikuwa hawataki nyumba iuzwe

  • @rajabhussein7794
    @rajabhussein7794 3 ปีที่แล้ว

    Daaa mtafya hatari

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 3 ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja

  • @salma-fc4xc
    @salma-fc4xc 3 ปีที่แล้ว

    💥

  • @fredrickmichael2317
    @fredrickmichael2317 3 ปีที่แล้ว

    Jamaa ni hatari

  • @jennjaja1586
    @jennjaja1586 3 ปีที่แล้ว

    Lo I been having free swahilli. Okay hoping is not more than a $1 a day 🙈 being honest

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 3 ปีที่แล้ว

    Yaani akili ulizonazo ni noumaa ungezitumia kwa njia nzuri ungekua mbali sanaaa. Unajiongeza fastaaa na una bahati ya kutoboa maisha, tatizo dhulma ndo ilikua mchawi wako.
    Hela ya haramu huwezi fanyia kitu cha maana na ukifanyia kitu cha maana hicho kitu hakidumu wala pesa haidumu.
    Mzee baba ungekua BILLIONAIRE sasa hivi.

  • @susannyamwitha1354
    @susannyamwitha1354 3 ปีที่แล้ว

    Tuma link

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 3 ปีที่แล้ว

    Umejaaliwa akili za utaftaji sana.

  • @nusaebahkeis6774
    @nusaebahkeis6774 3 ปีที่แล้ว

    Sada hizo.voucher zinakuwa zinafsnya kazi au?

  • @luckianiyonzima3841
    @luckianiyonzima3841 3 ปีที่แล้ว

    Iyo application mbona hatuyioni?

  • @ramadhangona9085
    @ramadhangona9085 3 ปีที่แล้ว

    Njooni wadau....kumekucha tena

    • @ramadhangona9085
      @ramadhangona9085 3 ปีที่แล้ว

      @@justinabalige2738 karibu Sana....jamaa kazenguliwa

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@ramadhangona9085 Nyiyo nmefka wngu 🤝🤝

    • @ramadhangona9085
      @ramadhangona9085 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 karibu sana..umepotea wanipa wasiwasi wangu

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@ramadhangona9085Npo wngu huwa naingia kaz uxku ndiyo maana🤝🤝 ulipewe kad ya harus ya kakaetu davistar?

    • @ramadhangona9085
      @ramadhangona9085 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 Bado lakini ku support lazima.
      Lazima harusi inoge....sisi hatuchagui hatubagui

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 3 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli shetani sio mtani wa binadamu.

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      Hujambo wngu💞💞💞💞

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 sijambo wng 😋😘♥️😘

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 za macku?

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +1

      @@Fm-MornStar2014 Alhamdulillah wngu🤗🤗💞💞

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +1

      @@Fm-MornStar2014 😘😘😘❤❤

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 3 ปีที่แล้ว

    Kumenoga

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว

    je hapo kwa kisima nani kaweka nyoka

  • @jumajuma831
    @jumajuma831 3 ปีที่แล้ว +1

    Tupoooooo

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว

    tupooo

  • @ireneassey753
    @ireneassey753 3 ปีที่แล้ว

    Kwa hewaq