Alietumia pesa yake kwa kupanda Miti inayopendezesha mji wa Iringa leo nasikia serikali ili funga AKAUNTI kisa hakulipia kodi. Pesaaliyopandia miti inafikirisha hapa Kuna kitu Rais Samia cha kufanya kwa huyu mtu unless hiyo miti ni tatizo kwa mazingira Iringa
Huyu mzee ile interview yake na Dar 24 nishaitazama zaidi ya mara 5 na haijanitosa alikuwa wazi akijutia na aifurahia anguko lake akijipa moyo na kukuri makosa yake amenionesha njia sanna .

He is very smart 🙏🙏
Hongrata sana Mzee Makosa
Serikali mpeni ubalozi huyu Babu ktk sekta ya mazingira.
Huyu ni mdau na ni rafiki nzuri wa mazingira
Uendelee kubarikiwa mzee