Kweli Kazi yenyewe Nzuri ila mbona hamjamtambua mwenye hayo Mazuri Producer wake Gwiji muandaaji wa Biti zenye kwake Imuh zilizoko Nzuri?🔥🔥🔥🔥🔥🔥Terriyo Monster Pongezi Zangu kwako Baba Endelea kumpambia Ivyo Imuh Sanaa zake na ukamzidishie huo Uzuri
We Mnoma Baba tena Fundi wa Kweli maana kwenye Biti Kuwapambia Wasanii zao Kazi Umeweza kwani hata Wimbo wake Killy Vumilia Mhusika wa Mvuto kali alikuwa Wewe.Terriyo Monster Nakuheshima Sana na mimi mwenyewe ni Mkaazi wa Huku Kenya.Endelea vivyo Hivyo ili kuwawezesha hao Magwiji katika kuyafanikisha yao Makuu.Terriyo Terriyo Yaani Monster Ukweli anao kwenye Biti huo Umonster na Nakupenda Sana Brother.
ENJOY MZIKI MZURI🙏💙
Nakuelewa sana kaka🙏
Uweke spotify plz
Nakukubali sana
Hi Imuh. You are doing great music. Tell me how can i contact you. I need to meet you. Am in Nairobi Kenya
Mziki mzuri xana bro never give up🔥🔥
Ngoma ya kufungia mwaka mdogo wangu tupa mawe kwa sana usichoke mzee tupe ladha kaka zako👊👊👊
We jamaa ni kipaji sijaona East Africa nakuona mbali aki ya mungu jaman acha tu nafunga mwaka na nyimbo hii #TUNAANZA#IMUH💥💥💥💥
Aaah sema we mjinga unajuwa👏👏👏
We jamaa kiukwel unajua bna big up xn
Broo unaandika 🔥 yani adi siichoki yani!
Upo good
Sinaga shaka na mziki wako mzee f💥💥💥
Another song inaenda kutrend zaid ya #MINYAMA good music imuh
Kweli Kazi yenyewe Nzuri ila mbona hamjamtambua mwenye hayo Mazuri
Producer wake Gwiji muandaaji wa
Biti zenye kwake Imuh zilizoko Nzuri?🔥🔥🔥🔥🔥🔥Terriyo Monster Pongezi
Zangu kwako Baba Endelea kumpambia
Ivyo Imuh Sanaa zake na ukamzidishie huo Uzuri
🙏🙏✌🤟
We Mnoma Baba tena Fundi wa Kweli maana kwenye Biti Kuwapambia Wasanii zao Kazi Umeweza kwani hata Wimbo wake Killy Vumilia Mhusika wa Mvuto kali alikuwa Wewe.Terriyo Monster Nakuheshima Sana na mimi mwenyewe ni Mkaazi wa Huku Kenya.Endelea vivyo Hivyo ili kuwawezesha hao Magwiji katika kuyafanikisha yao Makuu.Terriyo Terriyo Yaani Monster Ukweli anao kwenye Biti huo Umonster na Nakupenda Sana Brother.
Ni Willis Ambubi
*nobody talks about how imuh is so talented.... nifikisheni 500 subscribers 💥ntashukuru 🙏*
This will be my ringtone
This is cool....
👊👊👊👏👏
True🙌
Zuzu 🔥 heshima yangu nakupa brother
Eeeeebhanaaaeeeee..... Mwamba unakazaaa kinoma noma kiufupi mziki wako hauchoshi kuskiza nausikiza nyumbanii nausikiza kazin bado kitaani Wana ucheza kinoma nomaaa ebhana umetishaaa. Kaza mpaka mambanga wakose pakuchomolea....👏👏👏🙌🙌 Imeisha hiyoooo 🎷🎷🎷🎷
Sema nn bro unajua Sana yani, you kill it.
Ni unyama wa kwenda 🔥🔥
Super potential ,,is here ,,go go my niggah big love from Nairobi Kenya
Kaka Yani Wewe sijuwi umekuja Dunia Gani 🎉 umekuwa champion 🎉
Congratulations 👏👏 my brother
Wallah umeupiga mwingi
Pamojaaaaaaaaaaaaa kakaaaaa
* Ndo kwanza tunaaaaanzaaa weweeeeeeee
Unyama sana mzee💥💥💥💥
Bro uko poa kila wakati nakutambua sana🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥
Kila nyimbo Kali Kaka Kama sio mwanzo mzur bas tuseme ni muendelezo mzur .. endelea kufanya mzee ushaanza kuondoka nakijij chako uku
Bona amsemi kubemapezimatam❤️❤️❤️✍🏿🇺🇸
Unajua sana from USA 🇺🇸 ✍🏿❤️
Imuh Imuh Imuh... Umeshindikana sasa 💥💥💥
*Kenya Tumeukubali* 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Umetisha mzee wangu
Ndio kwanza tunaanzaa merody iliyopendelewa na muumbaa #imuh
Unyama sana kaka💪🏾💪🏾
imuh napend saan nyimb zak 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Sawa kabisa hapo another one
Mziki mzuri 🙌
Waoooooh mashaallah fundi wang mzuri san
Nataka wakuone malaika kwani binadamu......... watch another lyric version in my channel.... don't forget to subscribe kindly
Huja wai kosea kaka 🙏🙏
Nomaaa hiii tunafunga mwaka uku tunaanza na tunaanza tena 😂😁🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nima sana hii🔥🔥🙌
Nilikuwa naisubiria kama mshahara 🥰🥰🥰🥰
Hongera imuh nyumbo nzur 🥰🔥
Hili Goma Kali Mno Jamani 💯💯💯
Imuh
We goooo to new word
Gongaaa like kama tena Zuzu
Keep moving 💪
Tuna Anza 💥💥💥💥
Imuh kazi tamu sana
Killer 🔥🔥🔥🔥💪💪💪🙌
Wow nice one imebidi nitoke tiktok nikutafute uku ,keep moving 👏
Kazi nzuri inajiuza
Mziki mzuri KaK
Big up bro mziki mzur unapenyaaaa hadi kumoyo jmn mungu akubless 🙏🙏🙏
Upo vizuri dogo
Eka hii audio tubidy Kaka nataka kuipakua
Hatari sana kipaji Cha pekee umetisha broo keep it up
Ndio kwanza tunaanza 🎉🎉 good song
Dunia inajiandaa kuimba jina lako Boss wangu ,Mungu ni mwema siku zote na sikwamba haoni hizi jitihada ....
Hongera sana. Sasa kalia kuni siku gani ao mwezi gani
Immu zuzu we ni shida Kaka
#mzikimtamu
Unajua imuh wakati utazungumza keep it OG 💥💥💣
Good music 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Allah akuwezeshe ufke mbali mno maana kipaji unacho
Atali sana kaka 🙏
Imuh ni Fire 🔥🔥💪🦁 Nahisi Kama pengo la mtu linazibwa ivyo
Nzuri, Tamu, na itabamba kama kawaa🙏💯💬🔥
Hahaa Yan nilikutafut ww immu🌺🥰🌺🥰🌺🥰🌺 naupend huu wimbo🔥🔥mung akufikish upatakap🔥🇧🇮💜
Kazi nzuri imuh
Nice song broh umetisha zaid mkubwa wangu 👏👏👏
Uko vzr sana kaka
Noma🔥🔥
Brooh mm shabiki ako from kigoma nakukubali kuchiz duh 🔥🔥🔥🔥
Sanaaaa 🔥 Enjoy good 🎧 Music
wimbo umepasua speaker zangu
MZIKI MTAMU LAKIN Mbona melody zako zinafanan broo halaf mbon umekufuru hapo kusema unataka kufungu bango MBINGUNI ili wakuone MALAIKA
imuh anajua bana🙌🙌
Umetisha kaka
Nakusikizia Ireland. My little boy loves your songs...kwanza ile yako na DJ Seven Namba
Nakubali broo ngoma Kali sana
Bro unajua mi sikupingi kwa kwel 👏
Maandishi umebobea🔥🔥🔥from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nakutambua braza
Hii ngoma ni moto kama Pasi🔥
Yaani goma lako kaka.... Walay Huwa Ina message yakutosha🥳🥳🥳.... More love to you bloody.....
I'm from Kenya (Mombasa)
Goma la kwenda mzee
Asant Kwa kukupata Leo nakesha na nyimbo zako me shabiki Yako 🇹🇿🇹🇿
Another hitmaker song my broh imuh
Wimbo bomba Aseh✊
tunao sikiliza 2024 gonga like
Nakuona mbali san mwanang kaza muda utaongea 👊
Jombaa imuhu yani uko vizuri tumekukubali kinoma
Nkupenda sana sijui upo na nan au mko wangp mie sihesabu sensaaaa🥰🥰🥰
Daaaah unajua mistari unayo please fanya mazoezi sana
Waooo🥰🔥wimbo mzur
Receive my subscription 🔥🔥🔥
Imuh ume uwaaaaah sana 🔥🔥🔥🔥🔥
Keep up 👏👏
Imuh mtaalamu wa Mambo noma Sana dogo unajua bwana
kongole kaka! kwa tenzi zilizotulia kwenye huu wimbo....
Kama unampenda @imuh like zako hapa
Imuh unajua kaza bro ipo siku utahadithia ✌️
Broh nice song nigeomba tujuane zaidi
Huna kazi mbovu
Aweeeee Kuna nyimbo alafu Kuna mziki mtam😋😋
Big talent @imuh
Ndo Kwanzaa #tandaboy
Hatuesabu sensah🔥🔥🔥🔥
Mhuu Kali Sana unaimba Sana ❤️ Kama navyo taka mm
Sana imhu
huyu jamaaa ni fundi sanaaaa kwenye kuandika nyimbo zenye kama story fulani hiviiii tishaaaaaa imuh