@@MariooOfficialMusic ata mi ni msanii najituma tuh pole pole Nikona ngoma mbili unaeza zicheki,,,,, next week but one natoa hit song na Nataka tufanye remix na wewe
@MugahB About your music nimeziona...bro but u need to learn a lot about music...your production is poor ...but once umetulia na ujiite mkutano uangalie other level of music growth utaenda mbali
Like za Bien Kenyans 🇰🇪 hello please huyu jama ni Moto ogopa sana mtu anaye penda kipara,✌️🔥🔥🔥🔥😂😂😂🇹🇿toto bad we nomaa, please pitieni kwngu pia support yenu tafadhali
@@Gambino_m_talibani hope you are using an iPhone to text so that we can match!…..🤭🤭🤭 Alafu bado unalia ama ulinyamaza!…nang’oja leads ndio nione kama ntaanzaa after wewe ama your brain hasn't communicated yet!…
Mi ni mtanzania n namkubari sana marioo ila humu mzee Bien kapita kizombie Yani ki vampire kaua mbaya...much love from Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 all in all let's press the good music on top.
0:00 Nairobi, oh Nairobi, 0:06 Mji wa ndoto, moyo wangu wapo. 0:11 Bien, let’s give them love vibes, eh! 0:16 Baby, don’t break my heart, siwezi shika tena, 0:22 Nairobi nights, na wewe ndoto zimewaka. 0:29 Moyo wangu umeshikwa, nakupenda kweli, Nairobi, unaleta moto, penzi letu haliwezi. 0:39 Tulikutana pale Westie, na macho yako yanang’aa, 0:46 Ukanionesha kuwa love ni real, si mchezo nahisi raha. 0:52 Kila kona ya mtaa, tukitembea kwa utulivu, Usiku ni mzuri, jua litawaka tena asubuhi. 1:01 Oooh baby, love in Nairobi is fire, 1:06 Hii vibe ni kama mwanga kwa giza. 1:12 Tukiamka, tukilala, wewe ni wangu, Nairobi yetu inang'aa kama nyota usiku. 1:18 Baby, don’t break my heart, siwezi shika tena, 1:24 Nairobi nights, na wewe ndoto zimewaka. 1:31 Moyo wangu umeshikwa, nakupenda kweli, Nairobi, unaleta moto, penzi letu haliwezi. 1:41 Twende Uhuru Park, tunywe kahawa na mahamri, 1:48 Hustle za city zinatufanya tuwe family. 1:54 Kila mtaa na story zake, lakini sisi ni moja, Nairobi ni nyumbani, na wewe ni wangu forever. 2:04 Nairobi, oh my baby, 2:10 Mi na wewe ni kama mwezi na jua. 2:14 Wewe ni wangu, sitarudi nyuma, Kwa mitaa hii, tunapenda kwa dhati. 2:19 Baby, don’t break my heart, siwezi shika tena, 2:25 Nairobi nights, na wewe ndoto zimewaka. 2:31 Moyo wangu umeshikwa, nakupenda kweli, Nairobi, unaleta moto, penzi letu haliwezi. 2:42 Hustlers na dreamers, tunawakilisha, 2:49 Nairobi, wewe ni nyota inang'aa. 2:55 Popote niendapo, utabaki moyoni, Nairobi, wewe ni wa kipekee kabisa. 3:06 Don’t break my heart, siwezi shika tena, 3:13 Nairobi nights, na wewe ndoto zimewaka. 3:19 Nairobi, where love is real, oh Nairobi, Nitakupenda milele, don’t break me.
Wambui😂😂😂 Kenya hakuna siku tutakua serious,umesema ampangalee 😂😂 anyways #mariooofficial this was lit🔥🔥 bros big up,Sasa tupee ingine na#Bien mkiwa serious 😅😅🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Weka Comment yako niambie ni part gani umeipenda sana kwenye wimbo huu
🎉Hii tuipelekeni 20million Views
Elfu mbili na kumi na tanoo! 0:26
Unajuwa kk🎉🎉
Party bein na ww kiitikio
Nikamuomba akaniomba no moyon mwangu nmempa moja daaaaah
Bien amechafua track vibaya sana ,,wapi likes za Bien🔥🔥🔥🔥
Amechafua kvpiiiii….¿
@@l.i.l.a-f1xenda uoge bro🤣🤣🤣🤣
GOOD
Marioo namukubali tokeya congo
Congratulations 👏👏.wel come from rwanda
Wakenya wapi like za Bien wetu mwana Sauti Sol nomareee
Wapi wanao kubali kuona KENYA 🇰🇪🇰🇪 na TANZANIA 🇹🇿🇹🇿 wakishirikiana, tuonyeshe upendo hapa❤❤
But wakenya tuwaache tu😂😂
😅😅😅@@nijo-32
Wakenya ❤❤❤🎉tupo hapa🇰🇪♥️
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Unachekesha
Bien alikufunika kweli hapa mario😂😂😂 Kenya 🇰🇪 leta like zenu
Bien is the biggest artist in east Africa.. vocally he is the best..
Wallai❤❤❤
Bien's verse is liiiit..aina repititions
Yeah nmerudia verse yake mara kadhaa🥰🥰
MAIN MIXTAPE th-cam.com/video/ouY7rO6SO-0/w-d-xo.htmlsi=0H3RfQHL1bjwtBAH
Remember that bien amefunika hiyo verse 🇰🇪🇰🇪
Kenya siku zote respect Kwa Bien ,,,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bien kama bongo man dah
Kipara bila pesa kidonda😂🔥🔥
❤❤
Wakenya wote let's gather here🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
lets support mziki mzuri 254
LETS GOO BROTHER
Kakaa@@MariooOfficialMusic
@@MariooOfficialMusic ata mi ni msanii najituma tuh pole pole Nikona ngoma mbili unaeza zicheki,,,,, next week but one natoa hit song na Nataka tufanye remix na wewe
@MugahB About your music nimeziona...bro but u need to learn a lot about music...your production is poor ...but once umetulia na ujiite mkutano uangalie other level of music growth utaenda mbali
Uyu kipara ngoto wetu ni noma sana jw..The Bald baddest man ..Hatari
Hapo Marioo na Bien wakicharaza anguka nayo style🔥🔥.
Nomaaa
Unajuaaaa
Hatr
Nomaaa
Motoo
Bien is The GOAT🐐 of African Music🔥🔥🔥🔥💯 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Nomaaa
Unajuaaaa
Hatr
Kiwangooo
Snaaaq
Hizi likes mnaomba hua mnapeleka wapi nisione mtu ame like yangu 😂😂😂😂 Bien our very own 🌹🌹
Bien naye aliua kuongea ukweli🔥🔥🖐️
His verse is addictive ❤ 🔥
@@annnjeri3806Ngoma iko on rewind 🙈..napenda sana 💜💜💜
Ngoma Kali Kenya Tanzania to the world Kali sna naikubali Mimi hapa❤🎉
ASANTE BRO
asanteni sana
@@MariooOfficialMusic thanks bro we can do something tuh
@@MariooOfficialMusic sio rahis kukufkia lakn ww mwamb hmna nyimbo yako sina
Bien apo n klin❤🎉
Wangapi wanakumbali Bien from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪 too Tanzania 🇹🇿🇹🇿 wapi likes yake hapo chini tukisonga 👍👍
WE KENYANS LOVE MARIOO
Weeh hi ngoma aifai ichezwa karibu na petrol station juu ni moto 🔥
Like za Bien Kenyans 🇰🇪 hello please huyu jama ni Moto ogopa sana mtu anaye penda kipara,✌️🔥🔥🔥🔥😂😂😂🇹🇿toto bad we nomaa, please pitieni kwngu pia support yenu tafadhali
Tanzanian , Kenya we are together from rwanda 🇬🇦🇬🇦🇬🇦 give me like ❤❤❤
lets gooooo
@MariooOfficialMusic hhh kbx we like to listening your songs and also your vibes 👍👍👍 rwanda 🇬🇦🇬🇦 we are together
Chill vibe.Bien delivered💯💯
Urafiki wetu Kenya na TZ uko top notch, kama unakubali urafiki wetu achia like tukipita
Asante sana tuko pa1
Let's support our brothers and sisters from Tanzania 🇹🇿🇰🇪 wapi likes za kenya na Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇹🇿
The song is nice, big up bien 🔥🔥
Our own Kenyan super star amefunika, 🇰🇪 🇰🇪 🎉
NAIROBI the capital City of Africa❤ wapi likes za my country Kenya🇰🇪
Bien😍
That Anguka nayo dance fits everywhere
Bien should be arrested 😮😮😮
Ameuwa ngoma
❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Noma sana
Thanks Bien for injecting our Kenyan moves😍
Bien amekuosha na sabuni,,,,Bien must be respected as from today onwards 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kwani ni competition umbwa!! Appreciate good music uki songa
Napenda Sana Bien tokea Siku za Mbwembwe .
Wa kwanza, kama unamwamini Bien nipe like hapa❤❤❤
Nakucheki
Wakwanza Burundi 🇧🇮 mnipe likes zangu ❤
Hii song inafaa kuwa 4 million sai coz it's a banger🔥
Mafans wa Marioo na Bien mnipeeni likes zangu tafadhali
Bien understood his assignment very well 🔥🔥
Bien ni ndovu salute 🫡
Jamani nimeona song hii kabla 1min ifike nafaaa kupewa like zangu i.m from kenya like upite tu
Ety.. tulipatana bongo..🥰....Mikocheni ..😍Niko zangu bichi nala upepo wa bahari ..🌊..yeeh alinipita kama meli.. 🚢 Anayumbayumba akidondosha kishenzi ..aah ooh mikocheni ..akamfata utadhani zombii..🦹 habari gani mbona uko looney ..!??!😌..jina ni gani akasema zari..🥰..nikamwambia aje! ajee..!..nikamwambia kwangu ni kwake..🫂♥️
Respect to you Biennnnnnn❤ 🔥🔥🔥🔥 my favorite singer
Kutoka Aloooooooo ☎️ Mungano kutoka Tanzani 🇹🇿 to Kenya 🇰🇪 🔥🔥🔥
tuko pamoja sana
Nipe like zangu from rwanda 🇷🇼 ilove this song and fire tu fire 🔥 ❤❤
bien itabidi nime mgawia nywele zangu ,,,,, kali brotha
Oll kenyas let's support huyu mzee wetu@maroo bro you never disappoint kenyas na sisi tutasimama na wewe paka hufike bali🎉🎉🎉🎉🎉🎉kenya
0:17 Alooo 🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤❤❤❤ this song is fiiiirreeeee🔥🔥🔥🔥
Bien always mziki huwa unamfata yye na sio bien kuufata mziki 🙌🙌🙌
Ukimueka bien kwa zouk umepatia sana...Great project Mario🇰🇪🇹🇿
Marioo fr Bien the collabo what we needed this year ❤❤❤🎉🎉
Bad❤ jmn wa kwanzaa nipenii like zanguu
Mwaka ni 2015….Jina ni Njeri kutoka Nairobi……all love from Boston🥰🥰🥰
What a track 🥋❤🎶🔥
Kenya 🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 marioo mkalii sana much love from kisumu kenya
Kama umependa dance moves za bien piga like hapa
Kutoka alooooh 💪 Marioo ❤
Nikamchagua yeye katikati ya wenzake watano ❤❤❤ Yani ii track imeweza....natokea Kenya .... napenda nyimbo zako sanaa "SALUTE"
❤❤❤
Kenya 🇰🇪 and Tanzania 🇹🇿 EVERYDAY ALL DAY.
Enda ulie basi🥲😅😅
@@Gambino_m_talibankuja nikusaidie kulia since it is the only thing your brain can think of😂😂😂
@@Gambino_m_talibani hope you are using an iPhone to text so that we can match!…..🤭🤭🤭
Alafu bado unalia ama ulinyamaza!…nang’oja leads ndio nione kama ntaanzaa after wewe ama your brain hasn't communicated yet!…
@@Gambino_m_talibanbundles ndio huna ama!..
❤❤✨so dooooope can’t get enough of the song 🎶 keep the fire blazing 🎉
Zimbabwe approved 🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼
Watangoooja sanaa mie na yeye tushaivanaaaa"Naichapa usiku na ....... ndo tusha...❤🇹🇿✌🏾🇰🇪❤
Bieeeeen🎉🎉
Bien you killed it ,umeosha Mario kwa Ngoma yake 😅😅
Big up Kenya 🇰🇪 big up Tz si mnipee likes kumi tu
3.2 million views in 2 weeks is insane💯💯
Mi ni mtanzania n namkubari sana marioo ila humu mzee Bien kapita kizombie Yani ki vampire kaua mbaya...much love from Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 all in all let's press the good music on top.
0:00 Nairobi, oh Nairobi,
0:06 Mji wa ndoto, moyo wangu wapo.
0:11 Bien, let’s give them love vibes, eh!
0:16 Baby, don’t break my heart, siwezi shika tena,
0:22 Nairobi nights, na wewe ndoto zimewaka.
0:29 Moyo wangu umeshikwa, nakupenda kweli,
Nairobi, unaleta moto, penzi letu haliwezi.
0:39 Tulikutana pale Westie, na macho yako yanang’aa,
0:46 Ukanionesha kuwa love ni real, si mchezo nahisi raha.
0:52 Kila kona ya mtaa, tukitembea kwa utulivu,
Usiku ni mzuri, jua litawaka tena asubuhi.
1:01 Oooh baby, love in Nairobi is fire,
1:06 Hii vibe ni kama mwanga kwa giza.
1:12 Tukiamka, tukilala, wewe ni wangu,
Nairobi yetu inang'aa kama nyota usiku.
1:18 Baby, don’t break my heart, siwezi shika tena,
1:24 Nairobi nights, na wewe ndoto zimewaka.
1:31 Moyo wangu umeshikwa, nakupenda kweli,
Nairobi, unaleta moto, penzi letu haliwezi.
1:41 Twende Uhuru Park, tunywe kahawa na mahamri,
1:48 Hustle za city zinatufanya tuwe family.
1:54 Kila mtaa na story zake, lakini sisi ni moja,
Nairobi ni nyumbani, na wewe ni wangu forever.
2:04 Nairobi, oh my baby,
2:10 Mi na wewe ni kama mwezi na jua.
2:14 Wewe ni wangu, sitarudi nyuma,
Kwa mitaa hii, tunapenda kwa dhati.
2:19 Baby, don’t break my heart, siwezi shika tena,
2:25 Nairobi nights, na wewe ndoto zimewaka.
2:31 Moyo wangu umeshikwa, nakupenda kweli,
Nairobi, unaleta moto, penzi letu haliwezi.
2:42 Hustlers na dreamers, tunawakilisha,
2:49 Nairobi, wewe ni nyota inang'aa.
2:55 Popote niendapo, utabaki moyoni,
Nairobi, wewe ni wa kipekee kabisa.
3:06 Don’t break my heart, siwezi shika tena,
3:13 Nairobi nights, na wewe ndoto zimewaka.
3:19 Nairobi, where love is real, oh Nairobi,
Nitakupenda milele, don’t break me.
Here for Bien ...hope ulimlipa vizuri
Nani ako hapa before 1M views
All Ugandans here for Super Marioo... beautiful vybz always
Now Bien just hitting it.......🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Marioo made a wise decision to feature Bien in his Album, it's giving 💪
Wimbo ungeitwa " Tushaoana na sio Nairobi" big tune.
Una akili kushinda wenye wimbo wenyewe 😂😂😂
Kabisa...maana ndicho kibwagizo
A song can be named anything
We ndio huelewi apo
Eish Bien!!👌..
I REALLY LOVE THE SONG ,CANNOT GO A DAY WITHOUT LISTENING TO IT...Kijua fulani sio kikali saa tano😇
Listening now13:22
Vers ya Bien mawe🎉🎉
Always back because of Bien verse
Patiently waiting for Bien 😂
Me too
😂😂 me too...but Bien is doing great sai Amejituma sana and be honest the guy is underrated
This piece is fire 🔥🇰🇪…aya sasa leteni Khaligrah atupe mistari kadhaa hapa
Just here for our kenyan finest😊
Marioo karibu Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bien neva Disappoint🎉🎉🎉BoooooooM
Uuui 🎉🎉🎉wow bien Bana umeua😊😊😊I like it🎉🎉❤
🎉🎉🎉Congratulations,,ngoma imeweza
My brother #marioo muandishi boraaa, hujawai tuangusha🔥🔥🔥🤩🤩👍👍👍
Ngoma safi 🎶💪 kutoka hapa UG
Marioo. Asante kuja kenya 🇰🇪 na kuimba na our superstar bien. Karibu tena
Bien killed it 🎉
th-cam.com/video/X852QUJFiyQ/w-d-xo.htmlsi=gsRjHO0nEu77CLRB
Bien❤🎉
Yeah the collabs we need in 2025. 🇰🇪 🇹🇿 are cut from the same cloth. 🔥
Who else feels like Khaligraph was to be in this.. super hit.. I love this song 💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
"Jina ni gani akasama zari" rattle that beast Mondi!!
Bien is a vibe 💪💯 weka tick ya hawa wote wawili ✅
Bien to the World. KE🇰🇪 representing.🎉
Hii song nayo bado itaenda❤
Bien malisa yeye, kanyanga shingo, bado anapumua😂
Wambui😂😂😂 Kenya hakuna siku tutakua serious,umesema ampangalee 😂😂 anyways #mariooofficial this was lit🔥🔥 bros big up,Sasa tupee ingine na#Bien mkiwa serious 😅😅🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
kabisa
Mko na ufala😂😂❤
😂😂😂😂
Ni Ngoma bro chill😂😂
Nikamuomba akaniomba number❤❤
KAZI safi producer
Kama mnamkubali marioo gonga like hapa
Ke nailed it