hizo asilimia 80% za usambazaji umeme ni pale pale apofikia marehemu tangu alipo ondoka haija ongezeka hata asilimia moja, watu wapo kwenye upigaji tuu
Takwimu za kukomenti TH-cam. Ninakwambia nilienda Uzaramoni Disemba 2021, nimerudi tena Agosti 2022, nimekuta umeme vijiji vyote unawaka na mashule, zahanati zimejengwa. Tusiwe watu wa kuongea tu mitandaoni kwa vile tunaweza kuongea!
th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html NJIA RAHISI YA KUMJUA ADUI YAKO ANAE KWAMISHA MAENDELEO YAKO NA KUA NA MAONO JUU YA MAISHA YAKO YOTE..,*# th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html
th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html NJIA RAHISI YA KUMJUA ADUI YAKO ANAE KWAMISHA MAENDELEO YAKO NA KUA NA MAONO JUU YA MAISHA YAKO YOTE..,*# th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html
Hongera sana Mh Makamba
Ongela Raisi Magufuli umeacha dila tutakukumbuka daima
hizo asilimia 80% za usambazaji umeme ni pale pale apofikia marehemu tangu alipo ondoka haija ongezeka hata asilimia moja, watu wapo kwenye upigaji tuu
Takwimu za kukomenti TH-cam. Ninakwambia nilienda Uzaramoni Disemba 2021, nimerudi tena Agosti 2022, nimekuta umeme vijiji vyote unawaka na mashule, zahanati zimejengwa. Tusiwe watu wa kuongea tu mitandaoni kwa vile tunaweza kuongea!
Kiwanda hiki ni mabadiliko makubwa ya kiuchumi
th-cam.com/video/WUfJNfCixxg/w-d-xo.html
Toka zaman hicho kiwanda lipo tatizo sijui ni nini
Sikukubali hata kidogo makamba
Mungu awape wepesi aman
Habari nyingi za Tanzania ni siasa tu utendaji 0.
Makamba hizo takwimu hazisaidii kitu....wesema tumesambaza umeme sehemu hii na hii
Aache blablabla baada ya magufulu kuondoka ndo maji yameanza kupungua tunaomba Kalemani arudhishwe hii Wizara
Bwawa la nyerere vipi?
2024
inch inakosa ata umeme wa cheleani majanga tu ayo
Kwa hiyo sisi tunaokatwa asilimiya 3 yareya kila ukinunuwa umeme mbona hututaji
Kipara kama isidingo😂
Hili fala utafikiri hakuna watu wengine hatuishi nje covid huku wala sio tishio tena na Meli kwanini sisije huko Tanzania mavi kunuka
Punguzen bei ya kuvutia umeme
Eti miaka 10 nyuma selikali imetenga pesa nyingi kwajiri ya viwanda sema tu awam ya magufuli tu utapungukiwa nn tim msoga
REA imeanzishwa mwaka gani?
Makamba hamna ki2 na umesomea ulaya lakini hamna chochote
R.I.P.JPM
Poleni sana. Aliyekwenda zake hatorudi tena. Mwacheni Makamba achape kazi
Nenda wewe mwenye chochote
Punguzeni bei hamuoni aibu
Punguzeni ghalama za uvutaji umeme kwani watu halizetu gumu
th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html
NJIA RAHISI YA KUMJUA ADUI YAKO ANAE KWAMISHA MAENDELEO YAKO NA KUA NA MAONO JUU YA MAISHA YAKO YOTE..,*#
th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html
Maharage anasema mizigo saivi haisafiri sababu ya ukame na covid, hivi huyu kilaza alipatikanaje?
Sasa ww mtu anaitwa maharage unategemea akili yake itakuwaje🙄
th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html
NJIA RAHISI YA KUMJUA ADUI YAKO ANAE KWAMISHA MAENDELEO YAKO NA KUA NA MAONO JUU YA MAISHA YAKO YOTE..,*#
th-cam.com/video/Kggi5bsrXkA/w-d-xo.html