SABABU YA IMANI KUDHOHOFIKA NA TIBA YAKE;SHEIKH KOMBO ALLY FUNDI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
- Changia Radio na Tv imaan ili ilete nuru nyumbani kwako......
KUCHAGIA TV IMAAN
T-SHILLING ACCOUNT
Beneficiary: TELEVISION IMAAN
Currency: TANZANIAN SHILLINGS
Banker: AMANA BANK (T) LTD
Bank account No.: 0011100016601
Branch: TANDAMTI BRANCH
City: DAR ES SALAAM
Country: TANZANIA
DONATION THROUGH MOBILE PHONE
M-Pesa (Vodafone): +255 767 627284
Tigo-Pesa (Tigo) : +255 713 627284
Z-Pesa (Zantel) : +255 778 627284
AIRTEL: +255
USD ACCOUNT
Beneficiary: TELEVISION IMAAN
Currency: US DOLLARS
Bank account No: 0011100016602
Banker: AMANA BANK (T) LTD
Branch: TANDAMTI BRANCH
City: DAR ES SALAAM
Country: TANZANIA
Correspondence Bank: STANDARD CHARTED BANK
Swift Code: SCBL4533
Account no: 3582026777001
Country: USA/NEW YORK
Masha'allah, Allah akurefushie maisha ya dunia, pia akupe akhera iliyobora
Masha Allah
Allahumma Amiin
Alhamdulillah. Tunajivunia uwepo was watu hawa kwenye dini
Kweli
Shukran..Jazzaka-Llahul-kheir...
Darsa lenye manufaa
Allah akubarikie ktk umri wako na akuhifadhi Sheikh Kombo
Hakika . Allah amjaalie umri mrefu tuzidi kupata busara hizi adhwiim.
Aamin
Maashaallaah Allaah akuzidishie shekh Ktk Elim ww na walio nyuma yako tunanufaika mno
SubhanaAllah, nakuelewa vzr Kwa ufafanuzi mzuri sheikh wetu
Allah akuhifadhi shekh kombo darsa adhim wallah wewe ni mwalim mzuri barakallahu fikaa
Maahashallaa mungu akupe mwisho mwema ww nakizazi chako kwaukumbusho uu
Alhamdulillah. Allah akuhifadhi shekhe wetu.tunafaidika saana kwa elimu unayo tupatia.Allah akusamehe na kukurehemu wewe na wazazi wako wawili.Amiin.
Napenda kukusikiliza na kukutazama umenifundisha mengi ktka imaan yangu Allah akulipe kheri nashukuru
Allah akuzidishie umri mrefu inshaallah tuendelee kujifunza kutoka kwako inshaallah
Aslm alkm ww.... Shukran sana Sheikh wetu kipenzi. Allah atuongoze. Allah akupe afya njema na mafanikio duniani na Akhera. Jazakallah kheir 🙏🌹
Allah akuzidishie imani shekh wetu
Allah akubaliki mana umetufundisha mengi tulikua atujui
ALLAH akuhifadhi sheikh wetu
Allah atujalia khery tuwe wenye kufaulu.. Allahumma amin
Alhamdulillah MashaAllah
Allah akulipe inshallah
Sh Mashallah ❤❤
Alhah akubariki
mawaizha mazur Sana yakupandisha Imani Asante shekhe
Mashallah Allah akuweke
ما شاء الله تبارك الرحمن
بارك الله فيك 🌷🌷🌷🌷🌷
الله يحفظك ❤❤
Allah atujalie ima ani yeny kudumu kikwel nafsi zet zinaangaik Allah atusameh pia Allah akuhifadh akupe mwish mwema sheikh wetu Ally tunaitaj number zko tuwe tunawauliz
Maashallah
MASHAALLAH
Si vigumu kujua
kila nikisikiliza sifikii mwisho na wala sifahamu na lala
😁😁😁 subhannallah ..katka sala kuharakisha mtihani..
Chanel tam kama hizi hazina watu tumezingwa na chaneli chafu za miziki filam na upuuzi 😭
Mthan huu walah
@@aminaamiri7684 umeona na wewe dadaangu
@@abuumaryam185 ndio ingekua miziki au chochote cha kumuas Allah coment kibao subhana llah
@@aminaamiri7684 msiba dadaangu na ukiongea kama hv unaonekana kituko
Eeh Allah tunakuomba tuzidishie imani
Allah akuzidishie imani shekh wetu
Allah atujalia khery tuwe wenye kufaulu.. Allahumma amin