Broo nyimbo safi sana hii😇 kweli Hakuna ALIYE kama BWANA MUNGU, muumba mbingu na NCHI. UWEZA WAKE NI MKUU na WAAJABU, Anastahili sifa na utukufu. YEYE hutupa furaha wakati wote, haijalishi tumepatwa na SHIDA Gani, yeye hubaki kuwa mfariji wetu.
Hongera barikiwa mdogo wangu wimbo mzuri sana tena sana una ujumbe mzuri naomba utulie tu kwenye uwepo wa Mungu jishushe sana alafu Mungu atakuinua kwa wakati wake yeye achelewi wala hawai
Hallelujah 🙌 Praise God! Sam De Psalmist over here 🇰🇪. I'm in love with this sound. I've never heard your ministration or come across you but I can attest that this one is Spirit filled 🌟. Let the sound break the ceilings.I pray that miracles,signs and wonders will accompany this song to God's glory. Be blessed sir.
Mungu akubariki sana Onesmo pamoja na Babycia kwa kazi nzuri..... Endelea kuchochea karama hii ya thamani kuna namna utafika tu
Bebicia is just amazing u just made it this song awsome
Waoh so nice jaman namwona na debooo my mom
Broo nyimbo safi sana hii😇 kweli Hakuna ALIYE kama BWANA MUNGU, muumba mbingu na NCHI. UWEZA WAKE NI MKUU na WAAJABU, Anastahili sifa na utukufu.
YEYE hutupa furaha wakati wote, haijalishi tumepatwa na SHIDA Gani, yeye hubaki kuwa mfariji wetu.
Ameen Yesu ainuliwe juu
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu,,,, congratulations my friend Rehema
Kazi njema mdogo wangu, barikiwa.
Nimebarikiwa san mungu akubariki kaka
Hongera sana mtu wa Mungu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mungu uwajua watu wake
Sichoki kusikiliza ubarikiwe Kaka,
Kazi nzuri sana , hallelujah hakuna mwingine .from Kenya am really blessed ❤❤
Mungu azidi kukuinua
umebarikiwa sana pacha
Kaz nzur mfike mbali🔥
Amina barikiwa sana
Ubarikiwe Mnoo Mtumishi wa Yesu 🙏
feel so blessed
so much mdogo angu
katto from dar es salaam good song hakika imetubariki sana
Barikiwa sana kaka 🔥
Hongerah sanaa wajina❤❤🙌🙌🙌
Mzee wa Siku ni Mungu Pekee 🙌🏾
Hongera barikiwa mdogo wangu wimbo mzuri sana tena sana una ujumbe mzuri naomba utulie tu kwenye uwepo wa Mungu jishushe sana alafu Mungu atakuinua kwa wakati wake yeye achelewi wala hawai
2024
Hongr kaka
Mbarikiwe watumishi
Safi
🙌🙌🙌🙌
❤❤
🔥🔥
🙌🏾
🎉🎉🎉 Haleluyaah
Utukufu kwa Mungu na mubarikiwe kwa utumishi huu
Hallelujah 🙌 Praise God!
Sam De Psalmist over here 🇰🇪. I'm in love with this sound. I've never heard your ministration or come across you but I can attest that this one is Spirit filled 🌟.
Let the sound break the ceilings.I pray that miracles,signs and wonders will accompany this song to God's glory.
Be blessed sir.
Congratulations Sanaaaa Barikiwa sana Mtu mwenye vocal lake!
Powerfull 🎵😢🙌
Mungu atupaye utoshelevu ni yeye pekee kwakweli be blessed man of God.... Mungu aendelee kukuinua zaidi ya hapo....
Bro wew ni mwenye huduma kubwa 🙌 na heshim mafuta Yako sanaaa kwa kwer hakuna mwinginee 🔥🔥🔥
Mungu akuinuee mno. Am blessed with this song❤
mbarikiwe sana
Nice one. Glory to God
🔥🔥🔥🔥 Hakikaaah hakuna mwingine kama ww Bwana .
Kazi ni nzurii Sanaa, Ubarikiwe na Bwana Yesu mtumishi.Oooh hallelujah 🥳🥳🥳🥳🥳 Glory to God 🙏
Newest Jam on repeat. Mungu awabariki Sana mtumishi wa Mungu
Big up Bro 💯
Mbarikiwee sana watumishi wa Mungu kwa wimbo mzuri🥰🥰
Blessed brother onesmo and your team
Nice song bro
Am blessed
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Woow amazing message
💪💪💪
Mungu akubariki Sana brother Onesmo , uinuliwe utukufu Hadi utukufu 🔥
May God bless you my dearest friends 🔥🔥🔥🔥
Glory to God 🙏
Nimebarikiwa san mungu akubariki kaka
More favour my brother 🙌