Dear kama utakuwa unaangalia recipe na kufatilia kwamakini utajua tofauti zake tu. Ila mandanzi ni mahamri wa tanzania tunaita mandanzi na wa kenya wengiwao wanaita mahamri. Baadhi ya watanzania mandazi ya ku bake wanaita mahamri.
Sual zuri dear, Visheti vipo ainanyngi ujue, kwa hiyo tofauti zipo nyingi kuligana na utavo fanya, lakin toofauti kubwa ni HAMIRA, mitai wanatia Hamira visheti hatutii.
Mashallah
Aslm alkm ww.... Masha Allah. Shukran sana ❤❤❤❤
SO Yummy and Superb Delicious Recipe with Excellent Presentation Love to watch i am connected with bell icon to support
Mashallah allah akubarik unapika vzr Mashallah
Mashaallah vyakula vyako vizuri
Shukran
Wow Tabaraka Allah
From Canada
Amin ,Shukran
Mashaa Allah yummy yummy 😋😋
She can explain very good
Mash allah habibty Shukran sana kwa mapishi yako mazuri
MaShaAllah sukari ya mbali. Thanks for sharing
Afwan
MashaAllah MashaAllah, nzuri hii na kibaridi hichi kwa chai, thankx 🥰
Kabisaa, shukran
Mashaallah mashaallah Allah akubarik inshaallah
Amin yarabi kwa sote
MashaaAllah 😋
Mashaallah 👌nimependa upishi huu shukran
Afwan
Bismillah Mashaa ALLAH, Tabaraka rahman♥️♥️
Amin
😋
Na urojo recipe please
In shaa allah
Ahsante..samahan tofauti ya mitai, halfcake maandazi na mahamri ni nini tafadhal
Dear kama utakuwa unaangalia recipe na kufatilia kwamakini utajua tofauti zake tu. Ila mandanzi ni mahamri wa tanzania tunaita mandanzi na wa kenya wengiwao wanaita mahamri. Baadhi ya watanzania mandazi ya ku bake wanaita mahamri.
MashaAllah Meat cake tunaomba recipe yake
In shaa allah caming soon
Pls show how to make Singapore rice..love from Tanzania
Which one you asked? Fried rice or Singapore nudoole rice ?
asante habibty, je ina utofauti gani hasa na visheti?
Sual zuri dear, Visheti vipo ainanyngi ujue, kwa hiyo tofauti zipo nyingi kuligana na utavo fanya, lakin toofauti kubwa ni HAMIRA, mitai wanatia Hamira visheti hatutii.