@@salimmohamed3668 ndio unaweza tumia,mimi huwa natumia British whole milk 🥛, nikisha tengeza viduara vya vitobwesha, nachemsha maji yakishapata moto na vimimina vitobwesha and then nakoroga baada ya dakika 20 , na weka maziwa ya maji nakoroga tena baada dakika 15 or 20 vinakuwa tayari, nitakutafutia video then nitapost link ili inshaAllah ufahamu zaidi.
This looks like the English version called boba. Only that in boba they use tapioca starch and it's used in drinks. Really yummy 😊
Nice👍
Napenda sana vibibi na ndiz za mkono wa tembo
so nice pambia kwa lozi , zabibu na korosho ....amazing swahili dessert
Asante
Mashallah shukrani ❤
Shukran nnaongeza ujuzi wa vanilla na maziwa m nlikuwa napika bilaa ..he maziwa ya packet hayafaii
Mashallh nice mmmwaa
Fantastic kaimati za shira
Zipo
nani nifundishe mapshi2 cjui ❤
Shukran habbty nakupnda
Nakupenda pia my darling 💕
mashaAllah... yanavutia sana
Shukran habibty 💕
Shukran habibty
💕❤
Tambi na matobosha my Favorite
Masha Allah looks delicious
Shukran ❤
Killer thumbnail maa shaa Allah
Shukran habibty 💕🥰
Napenda mathobosha na tambi
Tamu sana hizo😋🥰
My favorite
🥳😍😍
Jazakallah kheir👌
❤💕
Napenda ndizi za mkono wa tembo na kunde za sukari na uji wa dawa.
Nice 👌
🙌🙌🙌Waiting
🥳🥳🥳
Lazima milk powder?
Masha Allah
❤❤❤
MashaAllah cant wait 🔥
🥳🥳🥳
Shukran kwa mapishi😋
Karibu sana
Mashallah
❤️
👌👌👌
Je kma Haina unga wa maziwa unaeza tumia maziwa y maji ama
Custard powder ni nini tafadhali?
Ulizia supermarket utapata.....unaweza pikia desserts mbali mbali.
then how do you serve it,cold or hot?
You can eat yakiwa hot or cold, unavopenda ! Mimi napenda ya kipoa (cold) pia huwa yangu hayaivi ndani ya dakika 15, yanachukuwa dakika 45 or more 😆
@@user-sp3gg7id8q sorry naeza kutumia maziwa mahali niko sina nazi/tui
@@salimmohamed3668 ndio unaweza tumia,mimi huwa natumia British whole milk 🥛, nikisha tengeza viduara vya vitobwesha, nachemsha maji yakishapata moto na vimimina vitobwesha and then nakoroga baada ya dakika 20 , na weka maziwa ya maji nakoroga tena baada dakika 15 or 20 vinakuwa tayari, nitakutafutia video then nitapost link ili inshaAllah ufahamu zaidi.
@@salimmohamed3668 th-cam.com/video/SbGn2M8SzAA/w-d-xo.html
@@user-sp3gg7id8q mashallah shukran mpk hapa nimekufahamu...jazakallahu kheir
Ni lazima uweke custard powder
Hapana
Fanya kaimati za shira
Zipo
😋😋👍👍
Matobosha una tumia unga ya ngano au ya mchele
A.a mm nimejaribu na ikabadilika kua uji naomba nijue kosa iko wapi
Unga wako haukuwiva
Kwenye kusonga
A.A.kama natumia tui ya packet ya azam,nafaa kutumia vipakiti vingapi
Sijui hilo tui ni kiasi gani......lakini pima kwa vikombe
mathobosha yaliweza kupewa hilo jina kwa sababu ya utamu na jinsi yanavyobofwa🤣
🙌🔥🔥
Mathobosha inatokona nahiyo kutoboa shimo kwa unga😂