hongereni sana mtanga na bambo na zimwi jamani tunawapenda sana bali mmasai yuko wapi jamani tumemisi mngemuweka hapo akacheza kama mlinzi wa shule ingelikuwa safi sana
😂😂😂😂😂😂😂😂zimwi zimwi nakuita mara nyingi mjomba huyu si mama bambo we koma wee usilete umama mtanga forever lakini kwanini ulete system za kuweka kwenye mtandao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣💋💋💋💋💋💋❤️❤️❤️❤️
Nikecheka sana
hongereni sana mtanga na bambo na zimwi jamani tunawapenda sana bali mmasai yuko wapi jamani tumemisi mngemuweka hapo akacheza kama mlinzi wa shule ingelikuwa safi sana
😂zimwi 😂jamani Mungu akuponye bro it is the best na wa jamaa 😅
🔥❤🔥
Hongera sana mtanga
🤣🤣kumekuchaaaa zimwi mweeee
🤣🤣🤣 sawa kabisa Zimwi mjomba ni Mama huyo mjomba Bambo lazima akubali awe Mama
Zimwi mwehu kabisa
Zimwi unachekesha mwanangu 🤣🤣🤣
Nawa kubari sana
Kama Kawa 👍🇰🇪💚🙏
Aaaaaaah mwalim mwalim apo unatuchanganyaaaaaaaa kwenye kilugaaaa🤣🤣🤣🤣 si kinyelezaaaa iko au
Daaah
Mwenyezmungu awape uzima naafya tele munatufuraisha sana manenoyenu zimwi mulimuachawapi sikuzotee usilete umama kwenyekesi nyinyi ninoma sana
Zimwi na ngoma jamani hapo ndio unani malizanga sana 😄 🤣 😂
Kudadeek huyu zimwi ananiua😂😂
Taaa inamuuza macho zimwi
😂😂😂😂😂😂😂😂zimwi zimwi nakuita mara nyingi mjomba huyu si mama bambo we koma wee usilete umama mtanga forever lakini kwanini ulete system za kuweka kwenye mtandao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣💋💋💋💋💋💋❤️❤️❤️❤️
😂😂😂😂 mtoto asome kwa token za laki sita za nyumba ya nyumbani duuuh zimwi eti apo amewaza
Mtanga eti mpelekeni mtoto akasome tanesco,zimwi et akasomee umeme eeh?
Zimwi🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
Zimwi' saa sita na dakika sabini'!!
Hahaha, Bambu umenunua Umeme wa LAKI SITA... Hahaaa
saa sita na dakika 70
Kama kawa kama dawa nambar ek wenu Baba lenu naload taratibu na mzigo huu mkubwa kwa hisani kuu ya Mtanga Comedy
😂😂😂 Bambo ushaingia cha kike Karo imeliwa na Tanesco hiyo
narudisha muamala dadeki 😂😂😂
Bambo itabidi ukawashe taa mchana 😂😂😂
Nyie jamaaaa babkubwa,,burudan traaaaaaam saaaaana ,yaaaan Kama mbuz katoriki
Bambo unamuulza mbona mwalimu haioni hela wakati umetuma tanesco
Zimwi alikonda sio mwili wake huu tatizo nini???
Zimwi kapunguasaana shida nn
Dah zimwi ame konda sana 😢kulikoni jman 😮😢
Masomo urusi
Zimwi anaumwa hali si Nzuri mtanga kasema
😅😅😅
Bambo sasa walimu wamesababisha kivipi wewe kukosea?
🤣😳🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haha
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 sawasawa Bambo meter iletwe shule kwa mwalimu ifidie ada ya Karo