dah! Wa congo Mungu awarehemu! watu wa congo mko wapi basi jitokezeni tuwaulize alivyo wafanya mtanga!..hhhhhhh. dah! manake hata mimi nimeanza kumuogopa mtanga.
Dada kipaji anacho sema anatakiwa kufanya zoezi zaidi lkn kipaji kipo niugenitu sauti asiibane sana labda kamandosauti yake hakunatabu bt yupovizuri ajitaiditu zoezi nakujikosoa mwenyewe sehemu kadhaa
Dada anajua kuigiza lakn hayupo serious anacho cheka cheka nini kama hapo amecheka nakuficha sura amaharib yan kama anajua nimchezo kuna kamera mbele yake atake serious kama hapo mwisho sim ilikotoka nd angecheka lbd hapo ss nakushangaa kua kumbe mwizii hvy sio unacheka sehem ambayo haitakiw position hio
I like mtanga ......nawotchi nikiwa Kenya wah mnatisha ...alafu Kiswahili cha bomba kitamu sana
Napenda Sana MTANGA COMEDY hongereni kwa kazi zenu nzuri 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ahahaha wa kwanza Leo nipeni like zangu
huyu nitamuibia tena alie, bado hajalia! hhhhh. hiyo kali from bambo
Huyo Dada anaweza bhna...Ila uzoefu tu
Mtanga mtanga lile kazi nzuri ila umechapia kidogo unaenda kununua hela hahahahh ila bigapu sanaaa mtanga tuko pamoja
Mtanga kila ck lazima nikucheko
Mtangalileeee nakukubali saana kaka
dah! Wa congo Mungu awarehemu! watu wa congo mko wapi basi jitokezeni tuwaulize alivyo wafanya mtanga!..hhhhhhh. dah! manake hata mimi nimeanza kumuogopa mtanga.
Mdada huyo nomaaa
Katoto ka Kike kazuri atari
Dada kipaji anacho sema anatakiwa kufanya zoezi zaidi lkn kipaji kipo niugenitu sauti asiibane sana labda kamandosauti yake hakunatabu bt yupovizuri ajitaiditu zoezi nakujikosoa mwenyewe sehemu kadhaa
Mungu akubariki/inshallah tumpe moyo /tusimkatishe tamaa
Mtoto ameiva...
🔥🔥🔥
MUTANGA NAMWITAJI UYO DADA NIMUINGELESHE ILI TUMUSHAURIYE, MIMI MUSHABIKI WAKO TOKO TORONTO CANADA
nakukubali sana bambo
Nimechemka sana
Kapoa sana uyo sikitu nd balaaa
Congo tuko apa
Bambo bana😂😂😂
Mtoto mzuri bhan acha utani
🤣
Kiukwer uyo mwanamke hawez komedi anacheka sn
Kbs kapooza
Bamboo mbona wataka kujua sana kilichotokea Mtaa wa Congo🤣🤣
Huyo binti ni mrembo
Bambo ananoga akicheza kama jitu fulani hivi libabe, lihuni au father house.. Yaani akikaza sura lazima ukubali
🤣
😂😂😂😂😂😂
Dada anajua kuigiza lakn hayupo serious anacho cheka cheka nini kama hapo amecheka nakuficha sura amaharib yan kama anajua nimchezo kuna kamera mbele yake atake serious kama hapo mwisho sim ilikotoka nd angecheka lbd hapo ss nakushangaa kua kumbe mwizii hvy sio unacheka sehem ambayo haitakiw position hio
Aisee nimecheka et susa suuus
Ahhahahahahahahaaaaaaaa kumbe kulia ngoja nikuibie ayaaa lete simu
Nimependa sana
😂🤣🤣🤣🤣🤣
Sikitu mmempeleka wapi huyo muondoeni hamna kitu
Ha😂😂😂😂😂😂😂🎉
🔥🤣 ulizen mtanga mtangalile wananijua
Susa susa 😀😀😀
Sikitu mshamfukuza?tunaomba mumrudishe haraka iwezekanavyo
Sikitu banaaaaa
Saf san kaka
kibati yupo wapi
Mtoto mzuri yupo wapi?
Mtanga mikwala mingi ushapigwa na anko ,,,kamtoe kishipa Cha sakula
Duh! Hivi vichwa 🤣🤣🤣🤣
Wapi kanjibhai
Wazee wa Kazi
Kituuii is truth story
Bambo unatishwa kidogo unapeana simu .
Hahaaaaa
Comedy zenu msikose uyo mrembo anafaa sana
Kweli huyu mrembo anajua sana
Sawa
Anaitwa nani huyo mrembo?
Mnoko sana huyo dada hafai
Ulifanyajee mtaa wa congo....??😂😂😂
🤣🤣
Tuleeteeeeee sikitu uyo kapooza bana🤔havutii kwa kuchekesha
Mu mpe muda tu
Ni kweli
Sawq inshallah 🙏🏿 ❤️
Sikitu Yuko wapi jaman
Hiyo ni protocal sasa
😆😆😆😆😆
Input title
instagram ya dada huyu ni ipi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Eti nililia mpaka mdhamini akaja kuninunulia simu nyingine
Hahaha
Haka katoto kazuri kanafaa kwa michezo yetu,kapo wapi na vp kuhusu mitandao yake ya kijamii
Bambo wajifanya haramia mkuuubwa anayekuona akuogopa, kumbe watishika kiurahisi muoga kama wewe hakuna, nilidhani utachomoa jisu kubwa la kutisha mtanga akimbie kau farasi, kisu kidoogo hata kitunguu hakikati!
Mtanga huyu mdada hawezi bwana
Jmn kuigiz ni kazi huu dad bado San
😂😂
oya mtanga tupe basi instagram ya kibati