kazi nzuri sana wadau wangu na kazi iendelee hongereni sana kwa tunzo hapa mtanga mwezio kutoka tanga pangani kwa jina kaunya bali niko ugaibu nawapata vizuri sana
MY BROTHER ZIMWI MY ALLAH WILL GIVE YOU SHIFA INSHALLAH THAT MY DUA FROM BOTTOM OF MY HEART UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 WS. AMEEN AMEEN AMEEN 🌎 🙏 ❤️ 💖 ♥️ 💕
PONGEZI SANA KAZI NZURI,SHIDA IPO KWA KUIDITI VIDEO HAPO BADO.... VIDEO INAISHA GHAFULA WAKATI BADO WATARAJIA KUPASUKA MBAVU.MBONA ULIWACHA KUIGIZA KANJIBAI???
Mwaka huu mtanga kapatikana maana Zimwi anavokandamiza atamuua😀😃😄 ni yule yule from 🇶🇦
Congratulations for the silver🎉🎉
Big up mtanga comedy
Mzigo tayari nimeupokea mkubwa mzito mpana mrefu mzuri kwa hisani kuu ya Mtanga Comedy
My best comedian."kimeumana" "kimetafunana"🤣🤣
Congrats . Love from Burundi
ASSALAAMU ALEYKUM MY BROTHERS FROM TZ I WILL SUPPORT UR COMEDY INSHALLAH AMEEN AMEEN AMEEN REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 WS.
Hongera mabig brother hongera sana kazi mzuri sana tuko pamoja inshallah
Hapa mmetisha😅😅 Nawapenda kazi zenu nzuri we are together
Mtanga... Hawa mademu wazuri mnawapata wapi
Mtango kauzu kweli yani
Hello mtanga love from Manchester United kingdom
Thank you so much
@@mtangacomedy we love your video shows..keep it up...wapi kanjibai n masai
Big support from Kenya 💪🏾
Mtanga vipi
Hii wakwanza nipeni like
🙏🙏
Ni sawa leo umenipiku
kazi nzuri sana wadau wangu na kazi iendelee hongereni sana kwa tunzo hapa mtanga mwezio kutoka tanga pangani kwa jina kaunya bali niko ugaibu nawapata vizuri sana
😅😅 from Switzerland.
Zimwi 😅😅😅eti mtu wa bandarii
😂😂😂😂😂😂😂zimwi eti kamuomba mwenzake mpaka kisavu
Katoto sikiliza 😂😂😂😂
Bwana mkubwa amemuomba mwenzake kisamvu
Mtangoooo
❤❤❤
Mkopesheni mwenzenu alipe deni
Bambo bwana eti kuburidishaje kwani wemuimbaji?🤣
Kisamvuuuu 🤣🤣🤣🤔🤔🤔
Kala mpaka kisambu😂🇰🇪
Eti unakula hadi kisamvu ubaya huoooooo
Mtanga comedy nitawasuppor had kacm katach kapotee dunian,,,lakn sasa nanyie nawadai huyo Mariam fuligisi
Kimboka alipe mtanga
Zimwi Akili una kamuomba mwenzako kisamvu🤣🤣🤣🤣🤣
MY BROTHER ZIMWI MY ALLAH WILL GIVE YOU SHIFA INSHALLAH THAT MY DUA FROM BOTTOM OF MY HEART UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 WS. AMEEN AMEEN AMEEN 🌎 🙏 ❤️ 💖 ♥️ 💕
Mlianza na sikitu, yukwapi nae kwenye kusherekea mafanikio yenu?
Ucheshi mnao. Big up💪💪
Wapi sikitu kitambo sijamuona
Kala mpaka kisamvu
Muimhaji
Mtu wa bandari
Hahahaaaa
ELFU 50 😂😂😂😂😂
Hahahaaaaaaa
PONGEZI SANA KAZI NZURI,SHIDA IPO KWA KUIDITI VIDEO HAPO BADO.... VIDEO INAISHA GHAFULA WAKATI BADO WATARAJIA KUPASUKA MBAVU.MBONA ULIWACHA KUIGIZA KANJIBAI???
Amekukopa eti wewe muha?
Walau tumuone Mariam Fuligis