Mnampakazia tu ila nabii Issa (Yesu ) hana sija ya uungu wala hatakuwa nayo, nyinyi wenyewe kwa wenyewe hamna msimamo wapo wanaosema Yesu ni Mungu wengine wanasema siye Mungu.
Bro Akasha kazi nzuri sana ila naona picture quality iko poor kidogo. Alafu video kadhaa ulikua ukiweka advertisements za WhatsApp na Play Store ambazo zilikua zinakera sana kisha ukaziondoa, hongera sana kwa hilo. Naomba pia hiyo counting clock uwe unai switch off wakati una shoot coz wengine macho yetu mabovu zatusumbua plz.
hv hao wanaojiita wakristo kwan wanatumia biblia gan mbona mambo yako waz kabisaa yesu mwenyw anasema yy ni mtu nyie mnamvisha uungu kasema wapi jmn kuw yy mung muogopen allah nyie watu mnamkacrisha mutamjibu nn cku ya kiama ikifka ee mwenyezmung waokoe hawa watu wanazid kukufur
Yani makafiri hawajielewi vichwa vyao vigumu Paulo ndiye aliwaambia yeso mungu Mku na nimkobozi wao lakini maneno ya yeso hawayataki yeso kawambia mungu ni Mku kuliko mm jamani hamuoni hao maandiko lakini hatuwalaumu yeso kawambia tama ya baba yao ibilisi ndizo wsnazozipenda kusofwata
Cha ajabu wanataka kwenda mbingu ni kupitia kwa yeso lakini hawayashiki maneno yayeso baliii wa nayashika maneno ya baba yao ibilisi baulo.alie uwa watakatifu wa yeso ndani ya mskitini akawashartiza kukufuru vipi mutapata uzima wa milile kupitia wapi wajinga
lakini waslamu ivi mnaele Bible kweli kama unaelewa kwa nini msiokoke nyiye ivi mnaelekea mbingu gani yanani?Maneno YESu alio yazungumza katika bible kurudi kwake yana endelea kutimia sasa mnamungaja nani?
Shukran Bwana Mazinge kwa kazi nzuri. waislamu TAKBIIR. ALLAHU AKBAR.وقل حاء الحق وزهق الباطل إن الباطل كان زهوق. Wakisto nadhani leo wameuona ukweli.
Mesaid Tsozi h
Mesaid Tsozi unaakili
Ubalikiwe Sana MAMA mungu awabalikisana mazinge anamapepo wasio isambika
Mashallah jazaakumullah khaira ma jazaa
Shukrani za dhati brother AKASHA Mungu akupe nguvu uzidi kuturushia kanda hizi. congratulation kwa kazi yako.
Wewe dada aujuwi ulitendalo unaitaji maombisana
Mazinge! !wew ndo staring wao
Allah atawalipa kila lakher inshaallah
Mungu wangu uyo mama naakapike in shaa Allah mungu atawaongoza mazing kiboko yao
God bless you habib
mashekhe kazi nzuri waoneshe makafiri ukweli uko wapi mungu awahidi waingie katika nuruu wako gizani
Sina lakusema ila nasema MashaAllah
wakristo hawajielewi maskini Allah awaongoze
Mnampakazia tu ila nabii Issa (Yesu ) hana sija ya uungu wala hatakuwa nayo, nyinyi wenyewe kwa wenyewe hamna msimamo wapo wanaosema Yesu ni Mungu wengine wanasema siye Mungu.
Yesu ni mtume wa Mwenyezi Mungu wala siye Mungu, mtake mkatae habari ndio hio
nakubali mama, shehe mazinge kazidiwa leo na mke....
🐟
fubu b wewe auna jina unajita bubu
alhamdulillah waislam sio makafiri. jina baya sana. wamepewa jina hilo wasiokua waislam. na wanajua hivyo
Hamdo lillah
Bro Akasha kazi nzuri sana ila naona picture quality iko poor kidogo. Alafu video kadhaa ulikua ukiweka advertisements za WhatsApp na Play Store ambazo zilikua zinakera sana kisha ukaziondoa, hongera sana kwa hilo. Naomba pia hiyo counting clock uwe unai switch off wakati una shoot coz wengine macho yetu mabovu zatusumbua plz.
WE WE HUWEZI KUSHINDANA NA MAZINGE UYO NI BREKI YENU NA UYO SIMBA ULANGA WENI
tteresia okopa mungu moto yakungoja
Tunakuitanji mama mwesimiwa uje uwatowe watu gizani uku PALMA moçambique
wafipa wenzangu mkiacha njia yakweli mkafata Yale yawafundishayo manabii waungoo nawahulumieni San nduguzangu maan v
AKASHA PART TWO YA HII
hv hao wanaojiita wakristo kwan wanatumia biblia gan mbona mambo yako waz kabisaa yesu mwenyw anasema yy ni mtu nyie mnamvisha uungu kasema wapi jmn kuw yy mung muogopen allah nyie watu mnamkacrisha mutamjibu nn cku ya kiama ikifka ee mwenyezmung waokoe hawa watu wanazid kukufur
Ww mwanamke nenda kampikie mumeo acha izo
kumbe makafili wapo wengi alafu sijakierewa unachokisema na sipendi uwizalilishe cor an kitabu kisicho na shaka yoyote
hapo mende kabwaga kabati yaani mazinge kaishiwa paka kaletewa mama amfundishe marahii paka uokoke mazinge
Elim bila akil
ukweli ni kwamba mungu anasema natufanye MTU kwa MF wetu na kwa sula yetu hivyo hapo mungu ni MF wa mwanadam
had mamako kafafana na yesu
Pumbaa
Mmmh!!!
Yani makafiri hawajielewi vichwa vyao vigumu Paulo ndiye aliwaambia yeso mungu Mku na nimkobozi wao lakini maneno ya yeso hawayataki yeso kawambia mungu ni Mku kuliko mm jamani hamuoni hao maandiko lakini hatuwalaumu yeso kawambia tama ya baba yao ibilisi ndizo wsnazozipenda kusofwata
Cha ajabu wanataka kwenda mbingu ni kupitia kwa yeso lakini hawayashiki maneno yayeso baliii wa nayashika maneno ya baba yao ibilisi baulo.alie uwa watakatifu wa yeso ndani ya mskitini akawashartiza kukufuru vipi mutapata uzima wa milile kupitia wapi wajinga
lakini waslamu ivi mnaele Bible kweli kama unaelewa kwa nini msiokoke nyiye ivi mnaelekea mbingu gani yanani?Maneno YESu alio yazungumza katika bible kurudi kwake yana endelea kutimia sasa mnamungaja nani?
kwa imani yangu acha ukiristo
Nyinyi nd hamuielewi wakristo mana hamfati yale yalioandikw ndani yke wachungaji wte mbwa unakataa unakubali?