TEKNOLOJIA ya KUPANDIKIZA MIMBA YAFIKA TANZANIA, GHARAMA ni MIL 10, DAKTARI AFAFANUA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • TEKNOLOJIA ya KUPANDIKIZA MIMBA YAFIKA TANZANIA, GHARAMA ni MIL 10, DAKTARI AFAFANUA...
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amefungua kituo cha kisasa cha afya cha Kairuki Green IVF cha Hospitali ya Kairuki.
    TBC imefanya mahojiano maalum na daktari Kairuki wa kituo cha Kairuki Green IVF ambaye ameeleza kwa kina...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 37

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @maioscar1809
    @maioscar1809 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awasamehe Sana maana duh

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 ปีที่แล้ว +3

    Eti nikakope kisa mtoto,,,,,nikishindwa kulipa😳. Punguzeni hizo gharama, hapo hamjawafikiria walala hoi, huo ni ubinafsi asee

  • @JenifaFilbert
    @JenifaFilbert 11 หลายเดือนก่อน

    Bei ni kubwa sana

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 8 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢inch ya ovyo hiii

  • @tatualmasi4399
    @tatualmasi4399 ปีที่แล้ว

    Nduh bona pesa nyingi Ivo na masikini je?

  • @seifalful
    @seifalful ปีที่แล้ว +4

    Kueni makini sana maana huu ni mpango WA shetani

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 5 หลายเดือนก่อน

    Sio lazima mke mme ata ukiwa hivihivi mwanamke unaenda tu zipo mbegu za ziada unapandikizwa tu

  • @mayombomajenga9778
    @mayombomajenga9778 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ni michezo ya hatari.sasa mazombi watapatikana tz

  • @arafahabibu5039
    @arafahabibu5039 6 หลายเดือนก่อน

    Beikubwa sana milioni 10 huo ni unyanya saji sasa fanyeni hata milioni 1 au 2

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 8 หลายเดือนก่อน

    Nyooo milion kumi yote iyo mbn nch nyingi n milion nanusu

    • @ZuwenaKabwe
      @ZuwenaKabwe 6 หลายเดือนก่อน

      Nchi gan niende

  • @azizams5721
    @azizams5721 ปีที่แล้ว

    Lakini wengine ni maskini ni wanyonge million 10 jaman mbona ivo au munataka tufe hatuna wtt

  • @LatifaMihambo-op5yv
    @LatifaMihambo-op5yv ปีที่แล้ว

    Mim nauliza je Kuna mtu ni mzima kabsaa lakin anataka kupandokizwa mimba hii okoje

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba tupunguzieni izo gharama wengine atuna uwezo wa izo hela, je kulipia awamu ngapi?

    • @RenaldaZeramula
      @RenaldaZeramula ปีที่แล้ว

      Tumieni dawa za kienyeji.
      Tafuta zile nyanya ndooogo za mvirjngo kamua juice yake na mbegu zake kunywa wewe na mwenzi wako fanya hv hadi uone matokeo.

    • @RenaldaZeramula
      @RenaldaZeramula ปีที่แล้ว

      Unazijua ndulele au tulatula.chukua changaa km growing za bauskeli Chelsham kunywa nzima nzima usitafune.

    • @RenaldaZeramula
      @RenaldaZeramula ปีที่แล้ว

      Au tafuta mizizi ya mboroboro na mkumakuma changanya Chelsham kunywa. Sambazia na wengine hii tiba ukishika mimba

  • @rosekimath2614
    @rosekimath2614 ปีที่แล้ว

    Jaman milion 10😳😳😳😳😭😭

  • @SumaMbise
    @SumaMbise 8 หลายเดือนก่อน

    Pungu zeni

  • @saidhamed5842
    @saidhamed5842 ปีที่แล้ว

    Sisi wengine tunataka watoto ila mhh!! milion 10 labda niweke bond familia yng dah

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 ปีที่แล้ว

    Mhmh,

  • @azizams5721
    @azizams5721 ปีที่แล้ว

    Million 10 mbona ni kidogo

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula ปีที่แล้ว +1

    Namuonea huruma huyo mtoto.wa pandikizi

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nyie wasomi ndo mnaharibu dunia acheni kufuru jamani

  • @TimaBunu-g5x
    @TimaBunu-g5x ปีที่แล้ว

    Hio hela kwa maskani mutakuwa hamujawasaidia

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula ปีที่แล้ว

    Hatujaelewa kabisa baba wa.mtoto ni.nani

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 3 หลายเดือนก่อน

    Baba wa mtoto nisindano na dawa

  • @annamussa185
    @annamussa185 ปีที่แล้ว

    Wema nenda au hata million 10 nayo Huna🤔

  • @adamummy4363
    @adamummy4363 ปีที่แล้ว

    Wanashindwa kufafanua vizuri suala la kupandikiza lina mlolongo kidogo na linaitaji umakini mkubwa sana hasa kwa mama mtoto na utaalamu wa hali ya juu na mbona ghalama kubwa hivyo daah

    • @wardaa4121
      @wardaa4121 ปีที่แล้ว

      Alafu Naskia wanakuwa mapacha watoto lakin Mama lazima atakuja kupata kansa Baadae

  • @alirama515
    @alirama515 ปีที่แล้ว

    Nataka muongozo

  • @joramkimario9321
    @joramkimario9321 ปีที่แล้ว

    Kwahyo tutapata mtoto asie na baba.kwann msikubali kuliwa tu

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 3 หลายเดือนก่อน

    Baba wa mtoto nisindano na dawa