IFAHAMU HISTORIA YA DARAJA LA MTAMBASWALA LINALOUNGANISHA TANZANIA NA MSUMBIJI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 31

  • @hamzakimbengele6584
    @hamzakimbengele6584 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana umeonesha weledi wa hali ya juu katika kuelezea historia na Mambo yote kuhusu hili daraja inabidi wakuongezee kazi ya kulitangaza na kuongoza watalii wa sehemu hiyo!

  • @sultannassor9756
    @sultannassor9756 4 ปีที่แล้ว +3

    hongera kwako mkuu umetujuza mambo

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 4 ปีที่แล้ว

    safi sana asfa hii ndiomana halisi ya afande Tanzanian najivunia

  • @SeverinMagwaya
    @SeverinMagwaya 6 หลายเดือนก่อน

    Mtosaaaa!!

  • @cidewashington467
    @cidewashington467 4 ปีที่แล้ว +7

    We mzee wa uhamiaji nimekuelewa ,ila inabidi wakupe na kazi ya mambo ya utalii maelezo yako yanajitosheleza

  • @FadhiliSalumu-k7e
    @FadhiliSalumu-k7e 2 หลายเดือนก่อน

    Umoja wetu uwendelee jamani

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 2 ปีที่แล้ว

    Ni kweli,kutoka Tanzania kwenda Afrika kusini kupitia msumbiji Ni rahisi na karibu kuliko kupitia tunduma,shida Ni usalama maana msumbiji haijatulia.

  • @faqueabdala4099
    @faqueabdala4099 4 ปีที่แล้ว +1

    Sawa mh tumikwelewa

  • @samuelsimonit
    @samuelsimonit 26 วันที่ผ่านมา

    boda megomano kuna rushwa sana upande wa msumbiji

  • @ashirafukitololi540
    @ashirafukitololi540 2 ปีที่แล้ว

    Na hao wenzetu wa msumbiji wawe Sirius daraja limefunguliwa zaman hadi leo wanasua sua kwenye kukamilisha barabara upande wao hii ndo Africa yetu duh....

  • @Salimo-l9q
    @Salimo-l9q 14 วันที่ผ่านมา

    Nimeipe ripot yako mkuu nikiwa nakusiliza kutoka palma ningetamani serikali zote mbili ² zingejalibu tufanyia kirambo boder vs namoto kwani ni moja ya vitu vizuli ,,,,,,,assante

  • @hamisilukanda4725
    @hamisilukanda4725 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa alisomea uwandishi wa habari maana anavongea

    • @s33dm20
      @s33dm20 4 ปีที่แล้ว

      Kikubwa huyu jamaa napenda anachokifanya na ana ueweledi wa hali ya juu. kama hauna interest na kazi na upo upo tu basi huwezi kuwa deep huyu jamaa anaelewa sana kazi yake

    • @hamisilukanda1008
      @hamisilukanda1008 3 ปีที่แล้ว

      Yupo vizuri katika kuwelezea

  • @KidawaNgondai
    @KidawaNgondai 5 หลายเดือนก่อน

    Negomano cabo delgaldo

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 3 ปีที่แล้ว +1

    Maduwi wafrika watafurahi kweli sasa vita navuguru zimasha anza msubiji mauaji.kuchoma nyumba yukimbizi wavijiji jiulizeni sasa Hao yanatokea wapi? Eti kuna majihati wadini wakati ambao msubiji tokea uhuru mambo ya dini wakuni lakini sasa hivi pétrole n'a gaz zimepatikana kwahio lazima vurugu navita zingie au zianze sasa

  • @blazingsaddle7492
    @blazingsaddle7492 3 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania ni nyota ya afrika mashariki

  • @ashirafukitololi540
    @ashirafukitololi540 2 ปีที่แล้ว

    Daraja limeisha toka zaman mbona hatuon taa za barabaran hata kwenye daraja lenyewe au ndo kipind hicho cha serikal za wapigaji , bora liende tuu sio kiwango cha kizalendo

  • @muungujaunguja8609
    @muungujaunguja8609 3 ปีที่แล้ว

    Hawajengi tena

  • @yaqoobalhinai3805
    @yaqoobalhinai3805 4 ปีที่แล้ว +2

    C.c.m kila kitu kwao ni utalii hatadaraja ni utalii kazi ipo

    • @paulpalapala7043
      @paulpalapala7043 4 ปีที่แล้ว +1

      Sawa mkuu

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 3 ปีที่แล้ว

      Tupe maana ya utalii kwa wwe unaefahamu
      Hivi unajua wazungu unajua wanakwenda chi flani kwenda kutalii utalii wao mkubwa sehemu za siri za wanaume sasa sijui wwe unamaanisha utalii unaanzia wapi😅😅😅
      Kila kitu ni utalii inategemea kimeboreshwa vipi na sio lazima wwe ujue ila kuna wanaojua maana ya utalii hata wwe mwenywe watu wanakutalii

  • @keagleeagle821
    @keagleeagle821 4 ปีที่แล้ว

    Afisa unatiwa upewe na idara ya utalii

  • @kanikionlineTV
    @kanikionlineTV 2 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/ExjfShs-Z0U/w-d-xo.html baadhi ya maeneo ya mkoa wa tunduru taarifa ambayo imetolewa na moja ya viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema mara baada ya benderea zao kuondolewa katika baadhi ya maeneo mkoani tunduru th-cam.com/video/ExjfShs-Z0U/w-d-xo.html

    • @BenjaminMuhaya
      @BenjaminMuhaya 5 หลายเดือนก่อน

      Tunduru siyo Mkoa Ndugu,ni wilaya ya Mkoa wa Ruvuma ikiunganisha Mkoa wa Mtwara,KUPITIA Nanyumbu DC

  • @anthonyvitulis5174
    @anthonyvitulis5174 4 ปีที่แล้ว +1

    Naww ukienda kutalii

  • @fatmaali2050
    @fatmaali2050 4 ปีที่แล้ว +1

    Utalii kwa hilo daraja huko ulaya kuna madaraja tele mazuri

    • @hemedimangole9231
      @hemedimangole9231 4 ปีที่แล้ว +1

      Afisa unaeleweka vizuri sanaaa

    • @barakachawe6241
      @barakachawe6241 4 ปีที่แล้ว +1

      Hilo daraja lina mito kama hiyo yenye wanyama kama mamba na viboko, na vinginevyo vilivyopo na vinginevyo vya utofauti vilivyopo hapo. Acha kuwa mpinzani kwa kila kitu hao marekani na uliowataja wana madaraja mazuri ya kisasa kutokana na level ya technology yao ila je yana vivutio kama hivyo..

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 11 หลายเดือนก่อน

      Nenda bac huko Us lkn sisi tutabakia hapahapa Tanzania. Hatutaki vya wazungu. Sisi tunathamini yetu.