FAYVANNY ATAMANI KUINGIA KWENYE NDOA KWENYE USIKU WA NANDY/NATAKA KUONGEZA MTOTO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ค. 2022
- Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
FAYVANNY ATAMANI KUINGIA KWENYE NDOA KWENYE USIKU WA NANDY/NATAKA KUONGEZA MTOTO
#Bonatv #Exclusive - บันเทิง
Jamanii faymaa ni mremboo mashallah
She is beautiful 💖
Faiyma ❤
Duuuuh fahyma nae pisiiiii
Fayma 😍😍😍
Hongera sana my Nandi mungu akuhifadhi ktk ndoayenu naujitahidi kuwa mvumilivu idumemishe mapenzi yamitere smeen
Love you fahymah
Mdada mzuri
Fayma mzur sana😘😘😘
huyu mtangazaji 😢😢😢😢 angekuwa kenya lazima angepingwa kofi
Maswali mareeeeeefu majibu yake simple hadi Raha👌
Mungu akimjalia nayeye ataolewa
Hajuui kweli anapoozesha shuhuri
Mtangazaji hapana kwa kweli
N kuwa mama bora Maana hii miamba haitqbrk 😂😂😂😂
Mwandishi waabari kazi huiwez maswali ya kipumbavu
Wameokota wapi huyu mwandishi ajui kuliza maswali
Huyu sijuwi wamemuokota wapi kweli
@@queen.christelle1 😂😂😂😂
huyu nae anaforce vitu 😅😊
MUNGU Amuongze
Mmmh huyo mwandishi
So mke wa mtu nihasala wa mtu au unaishi na mtu 😂😂😂
Faymaah
Bro ogea kwa utaratibu
😂😂😂wengine kama vile hajasomea io kaz
Nampenda fahyvan asee mzuri Leo ndio nimemuangalia vzr ajafanana ata na Dolly,Dolly ana mishavu na meno na mdomo wake cjui ukoje,wamefanana rangi tu na sura ya round
Nahana kadiri acha kuumbua usicho kiumba ubaya na uzuri anaujua muumbaji pekee wewe hujafa hujaumbika kumbuka.
Izo kucha unajitawazaje shoga au unatawazwa na chui
😂😂😂😂nimecheka kwa nguvuuu
Mtangazaji mmbea si haba.
Wee kumbe fayma mpole vile
Kweli mpole
Mtagazaji anaboa aisee
Mikucha kama barikoa
Umejua kunchekesha 😂😂 barikoa kisha bado yuko hai kweli
Bado kuolewa mwanaume hamna atakae kuowa we zaa ukichoma ondoka
🤣🤣🤣🤣🤸♀️
Kwa nini? Mungu yupo ipo siku
Huyu mtangazaji aisee arudi kusomea tena
This Man is too much..pooo
sio wanawake wote wanaotamani ndoa .wewe ndio unatamani kwasababu uko desperate
Fayma ayuko desperate labda wewe.u know it within ur self unatamani sana.nxi ndyo wakuiba wanaume was watu mkijifanya amtamani ndoa
Na kweli ni desperation, mwisho wa siku unaishia kuwa baby mama, sitaki kuwa baby mama wa kijusi mtu mie😂😂
Uyu nae mashauzi ai
Ila watu wivu jmn 😂😂😂acha hasira tafuta pesa maringo kaumbiwa mwanamke
@@SADEE._ mxiuuu wivu wapiii we angalia anavyojibu mashauzi yenyewe yanamipaka yake kwaio ukiwa na pesa ndo Unapaswa kujishaua namna hiyo basiiii kaziii
@@jujufitnessvlogs7694 tafuta pesa acha makasiriko
@@jujufitnessvlogs7694 wanawake wivu jmn 🙌🏾
We n’a yeee ka mshamba tuu.