SHABIKI Aifuata YANGA KIGOMA Kwa BAISKELI Kutoka MANYARA, MZEE wa MIAKA 69...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 15

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 ปีที่แล้ว +1

    atatoa mafuta mengi kwa kuendesha bike masaa marefu hayo na km ana pressure ya juu itapungua vizuri . Allah amsaidiye .

  • @natafutapesa9678
    @natafutapesa9678 3 ปีที่แล้ว

    Safari njema mwananchi mungu akulinde

  • @mariagodwin7669
    @mariagodwin7669 3 ปีที่แล้ว

    Whaoooooo,,whaoooooooo big up mwananchi

  • @eliudijastini645
    @eliudijastini645 3 ปีที่แล้ว

    Mbona hawasemi safari ya dar salaamu kuja Zanzibar

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 3 ปีที่แล้ว

    Aisee ibada ingekua tunaipenda na kuifuata km izo tim za mpila sote tungenda pepon tupende ibada ndio itatusaidya kesho kwenye makaburi yet?

  • @chedielimrutu6955
    @chedielimrutu6955 3 ปีที่แล้ว

    Carlos nawaona hapo wana Yanga. Sisi tunaeasubiri Kigoma.

  • @happydionice355
    @happydionice355 3 ปีที่แล้ว

    Mmmh pambana mzee

  • @amanchatila7607
    @amanchatila7607 3 ปีที่แล้ว

    mh kwa lipi sasa mpaka ujitese hivyo bado kuna watoto wanakutegemea au nikukosa kazi yakufanya bado utakuta mtu analalamikia serikali kisa hana pesa

  • @albertgewe4494
    @albertgewe4494 3 ปีที่แล้ว

    Nyie maneno mengi alafu acheni shombo

  • @aduramuaduramu9234
    @aduramuaduramu9234 3 ปีที่แล้ว

    Muzee mupili wamesha mupa hong mumwanglie

  • @bunzarisisa2831
    @bunzarisisa2831 3 ปีที่แล้ว

    Tanga motooooo25kigomaaaaaaaaaa

  • @omaryjuma1276
    @omaryjuma1276 3 ปีที่แล้ว

    Ndo wanao peleka uchawi hawa

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว +1

      vibaya kumsema mtu , nyie ndio munawaita wazee wenu wachawi kwa kuwa wamezeeka , ujue tu uchawi wa siku hizi vijana ndio wengi maana wao ndio wameingiwa na tamaa ya maisha

    • @amanchatila7607
      @amanchatila7607 3 ปีที่แล้ว

      huyu bwana anajinasibu kwa mbwembwe kuwa simba anaandaliwa majibu wacha tutaona ubora wenu huko tulikowabeba

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

      @@amanchatila7607 . mpira hautabiriki team ikifika final kila mtu ni best , nawawaulize Waengereza wamelia hapa ingawa wenye uelewa wamefurahi kufika pale .