RASMI KAMATI SAA 72 YAMFUTA LESENI KAYOKO,TFF NA TPLB WATOA TAMKO,MECHI IMEFUTWA SIMBA NA YANGA...?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 128

  • @haidarykufakunoga8869
    @haidarykufakunoga8869 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mapendekezo ya Hovyoo. Hapo kwenye GOAL KEEPER MMEMLENGA DJIGUI DIARA. PILI VIJANA WATAFUTE TIMU YAO. MPIRA NI BIASHARA. ACHA UJINGA.

  • @josephatilunde9329
    @josephatilunde9329 7 นาทีที่ผ่านมา +1

    Hamna kitu hapo ni kuweweseka tu, unafikiri ligi ya NBC kushika nafasi ya 6 Africa ingewezekana kama porojo unazozisema zingetiliwa maanani?Tafakari

  • @mpekuzimedia-xw1rb
    @mpekuzimedia-xw1rb 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Simba wanateseka kipigo tulicho wapiga kenge hawa kila siku wanakuja na hoja nyengine

    • @LailaLaila-kg2qd
      @LailaLaila-kg2qd 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wacheni uchawi utopolo

    • @saidjoseph9280
      @saidjoseph9280 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hawa wametumwa na watu walioshindwa hawa wote ni Simba nasema haiwezekani hilo jambo la hovyo kabisa hizo kanuni ni baada ya simba kufungwa mara nne mfululizo hawa wote simba wamechanganyikiwa

    • @saidjoseph9280
      @saidjoseph9280 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyu anaweweseka hii kamati haijitambui ni vema ifutwe hovyo kabisa kanuni hizo kapelekeni nyumbani kwenu

    • @MashakaShabani-s5m
      @MashakaShabani-s5m 39 นาทีที่ผ่านมา

      We huna akili wacha wenye wanajua sheria za mpira wafanye kazi yao

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 39 นาทีที่ผ่านมา

      ​@@saidjoseph9280Utopoloooooo ukweli utaendelea kubaki kuwa ukweli mnatesekea wapi mmezoea kubebwa eeehhhhh

  • @jacksonndutu4024
    @jacksonndutu4024 4 นาทีที่ผ่านมา

    Kwenye Kigezo cha Goal keeper yaani naona kabisa mnavyourudisha nyuma mpira wetu wa Tanzania, sidhani kama mmeliangalia hilo kwa mapana.

  • @rizyoneboffi3662
    @rizyoneboffi3662 นาทีที่ผ่านมา

    Kwenye wachezaji wazawa unataka kuinua vipaji sawa ila hamkuangalia kwenye ushiriki wa mechi za kimataifa tutaburuzwa kama zamani

  • @michaeljoseph7745
    @michaeljoseph7745 5 นาทีที่ผ่านมา

    yaani team km simba au yanga isajili wachezaji wa 4 tu pumbavu sana halafu unategemea ukachezea na mamelod au Al ahaly aisee acheni upuuzi wenu huo

  • @ChristopherMisungwi
    @ChristopherMisungwi 16 นาทีที่ผ่านมา

    Mukosaw lakini kwanza mwafaja kuhusu hujuma waliyofanya yanga narefa wao ilitujue kwer mnataka haki

  • @NgamelaYussuph
    @NgamelaYussuph ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Anzisheni Timu Zenu Mchezeshe Makipa Wazawa

    • @PhilimonJosephu
      @PhilimonJosephu ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Makolo mnateseka mkiwa wp?

  • @godfreysimoni4270
    @godfreysimoni4270 32 นาทีที่ผ่านมา

    Andaen academy ya kuwajenga vijana na kujenga timu ya taifa hizi timu achen kuzibana hayo mapendekezo yenu hayana mashiko.

  • @TariqKununginoti
    @TariqKununginoti 13 นาทีที่ผ่านมา

    Kaka hapo amjafikiria je shabiki wa timu nyengine akajigeuza shabiki wa timu nyengine na kufanya madudu ya kishirikina

  • @hafidhhabib7116
    @hafidhhabib7116 51 นาทีที่ผ่านมา

    Tutashuka hata ya 20 ligi yetu kwa ujinga wa viongozi wa tff waliokuwa wanaegemea kwenye timu fulani

  • @CharlesLutandula-y3c
    @CharlesLutandula-y3c นาทีที่ผ่านมา

    Nyiendiyo mnavuruga livi mngekaa kwanza navilabu namkazungumza namkakubariana hapomnawalinda yanga

  • @yilodhasunga3967
    @yilodhasunga3967 26 นาทีที่ผ่านมา

    Andaeni academy za vijana vilabu vinatumia gharama kubwa hamjaongea point hata moja😂😂😂

  • @GeorgeRichard-ww1cb
    @GeorgeRichard-ww1cb 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Acha sisa kwenye mpira

  • @renatusnchali7393
    @renatusnchali7393 38 นาทีที่ผ่านมา

    Mnataka kuharibu mpira wetu tanzania siyo ya wajumbe wa tff ni ya wote, et mashabiki wafungiwe nyi mnajielewa kweli?

  • @christinataimu
    @christinataimu 26 นาทีที่ผ่านมา

    Na wanaopewa penalty za uongo na magoli ya offsiide point 3 zifutwe yote ni dhuluma ileile tu

  • @elinihakimsuya1673
    @elinihakimsuya1673 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Soka letulitashuka sana,tunarudi kulekule,wachezaji wetuhawajitumi mnatakakuwabebatu

  • @EliaMfyate
    @EliaMfyate 38 นาทีที่ผ่านมา

    Kwq kanuni izi zimelenga san kuijenga time bora yatqifa napiq kukomesha tabia yaushilikinq katika mpila maan ukikatwa point 3 zitauma io tabia itaisha. Tu😂

  • @ThomasAssey-uq2ur
    @ThomasAssey-uq2ur ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huu ndio upuuzi na upunbavu mkubwa zaidi
    Unatokewa na chombo I watakao kuwepo

  • @ndizeyemadjaliwa2024
    @ndizeyemadjaliwa2024 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa ligi yenu njo bora zaidi Afrika?kuzidi ligi zote za Afrika 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Tanzania Tanzania Tanzania kama leo munajiona kwenye soka la afrika mko juu siyo wachezaji wa ndani 😂😂😂😂😂😂 acheni utani pesa watu wanaweka pesa zao juu ya club zao leo na kesho iyo kauli zenu mutajuwa amujuwi vimbeni kichwa tu kesho kesho yake mtaviba midom😅😅😅😅

  • @CharlesWilliam-iz3fz
    @CharlesWilliam-iz3fz ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie hacheni mapendekezo yasio na na faida kwa vilabu.namini wenye akili timamu hawezi pitisha zaidi ya 10 % ya mapendeko hayo

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 54 นาทีที่ผ่านมา

    Naona washirikina wameanza kulalamikaaa"na kupita mageti ya uwani nayo ni ushirikinaaa

  • @Majhidymhessa
    @Majhidymhessa ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Katika watu wapuuzi wewe ni mwalimu wa wapuuzi wote.
    Hayo mapendekezo anzisha team yako ukifanikiwa utakuwa umeshawishi.....
    Mpira ni biashara siyo maneno maneno.

  • @umalqasimalhamhami6707
    @umalqasimalhamhami6707 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wasege

  • @JonathanMgaiwa
    @JonathanMgaiwa 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mbona sijaona ishu ya kayoko na leseni yake

  • @solomonbenjamin8592
    @solomonbenjamin8592 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa mtajuaje mshabiki kama amejifanya simba au yanga,akikutwa na hayomambo ya ushirikina adhabu mtachukua vp?jitafakarin.

  • @SaraJinalangu
    @SaraJinalangu ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa wasenge Nini yaani waandishi wakawahoji wachezaji
    Hivi wanadhani Yanga tumesahau aliyotufanyia Jembe kwa Morrison😢
    Hawana sera wakijipange upya

  • @rizyoneboffi3662
    @rizyoneboffi3662 5 นาทีที่ผ่านมา

    Kuhusu kocha msaidizi mzawa ni utayari wa mtu matola mwaka wa ngapi huu na hakuna anachojifunza hapo mmefeli

  • @hashimsalum7025
    @hashimsalum7025 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mpira wa sasa , hauendani kabisa na mapendekezo yenu, huwo ni upuuzi mtu, hamna cha maana .

  • @frankmakyao7657
    @frankmakyao7657 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Vijana wawe 2 hapa lazima na Tz( wazawa WENGINE wawe 4) . Yaani mechi ya NBC WA Tz wasiwe chini ya wachezaji 6.

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Haya mapendekezo na kanuni ni za kijinga...huwezi kuwa na kanuni baada ya ligi kuanzia.....ni ujinga mtupu ilibidi haya yafanyoke kabla ya ligi.....tafutenibibunifu sio kuleta mambo ya kijingan yasiyo na tija hasa ligi ikiww imeanza
    Upande wa makocha ...angalieni upande timubyavtaifa na siyo kilabu

    • @SalumRwambo
      @SalumRwambo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndiyo yale kocha wa timu Moja kuzuiwa kuvaa pensi uwanjani

  • @samochristopherroche9953
    @samochristopherroche9953 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hii yote ni kwakuwa kolo amechezea mara 4 mfurulizo

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Amechezea"au mmenunua mechi mara 4 mfululizoo

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 28 นาทีที่ผ่านมา

      Hakuna geni hapo Mnyama alishachukua ushindi mara 4 mfululizo nyie utopolokwinyo mkiwa Chali Sasa nyie kushinda mara 4 tu ndo mnajikuta wababe ushindi wa kayoko nao 😂😂😂😂😂

  • @saidihaibe2375
    @saidihaibe2375 29 นาทีที่ผ่านมา

    Mnataka ligi iwe ya mwaka 47 mmechemsha

  • @ibrahimmwaya3929
    @ibrahimmwaya3929 56 นาทีที่ผ่านมา

    Naongeza nyingine
    Kama Ikibainika kuwa mchezaji alipewa KADI nyekundu kimakosa na ikatengliuliwa wakati mpinzani amenufaika kwa kupata point 3 kwa kupungua kwa mchezaji huyo basi points 3 hizo zifutwe ili ilete uwiano kwa kuwa kuendelea kwa mpinzani huyo kunufaika itakuwa bado haisaidii chochote kufutwa huko kwa KADI hiyo

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa supu fc watashuka daraja"msisahau na wanao nunua mechii"

  • @saidingumbo-is2oe
    @saidingumbo-is2oe ชั่วโมงที่ผ่านมา

    TPLB siyo kuchukua fedha tu na kuongea mdomoni anzisha academi moompo tu na kuropoka hivyo kabisa

  • @SheikhMusa-z4e
    @SheikhMusa-z4e ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ligi Gani namba sita hata refa wa kimataifa Moja TU hamna, pumbavu nyinyi TU wa tz hamna lolote, tafuteni na wachambuzi, hamna wachambuzi, wachambuzi wenu wa mchongo

  • @JustinBombom
    @JustinBombom ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga inawaumiza kichwa sana viongozi

  • @YUSUFUKAMBALE
    @YUSUFUKAMBALE ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi ninyi munageuza kama vile hizi timu Kuna kitu mnazisaisia ktk kugharamia! Mnakuja na midomo yenu mioano tu,mkifikiri Kuna kitu mnakiongeza badala ya kubomowa,hivi nani atakubai kuweka fedha zake,kwakuwa na timu ambayo hamfikishi kwenye malengo yake ya kurejesha gharama zake? Achaneni kabisa na mawazo ya kutaka kutawaliwa mambo ambayo hajawahi kushiriki ujenzi wake

  • @NuwairaAbuubakar
    @NuwairaAbuubakar ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna Cha maana kabisa kwenye Hilo na Hilo suala halitoumiza sana yanga TU hata hao makolo pia nao watateseka Bure , huu ujinga unasababishwa uchoyo wa ushindani

  • @SheheHamad-pg5bk
    @SheheHamad-pg5bk ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pumba tupu hayo mapendekezo

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 58 นาทีที่ผ่านมา

    Wanao nunua mechi wameshaanza kuogopaaa"😂😂😂😂😂😂😂

  • @RemidiusRwehabura
    @RemidiusRwehabura ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna point hata moja ya uboreshaji hapo Kuna kitu kinakuumiza

  • @saidjoseph9280
    @saidjoseph9280 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acheni mnachokifanya ni kutaka kuharibi ligi yetu kwanini tff isiwe na timu yao ili iwe timu ya taifa ? Mpango huo mnataka kuhumu Yanga kifupi sikubaliani na maoni yenu hata kidogo .

    • @IssaBosco
      @IssaBosco ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ww ni kama nani 😂

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 23 นาทีที่ผ่านมา

      ​@@IssaBosco Bora umemuuliza anajikuta yeye nani eeeehhh mharo unaanza mapema utopolokwinyoooo hizo ni Kwa timu zote sio nyie tu maana naona mshanza kuchachawa

  • @YUSUFUKAMBALE
    @YUSUFUKAMBALE ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bodi mbona mnataka kuirudisha Ligi kwenye kupoteza Ubora? Unamlinda nani wakati Hana kiwango? Naona ninyi munayaendee mambo kimhemko saana na Wala hakuna mnacho kijenga kwenye lingi.Achaneni na siasa ktk Maendeleo ya mpira.

  • @HamiduMtemekela
    @HamiduMtemekela ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kissing mapendekezo mengi hayana tija ktk mustakbari ya hadhi ya ligi yetu. Bodi ya ya ligi insoaswa ijitambue majukumu yake mambo mengine yatakiwa yabski kwa timu husika.
    Pili kuna swala hili la ushirikina na hali ya labia ya sasa kwa baadhi ya washabiki maana utamuona ni shabiki wa yanga lakini anajifanya ni shabiki wa simba sasa kwa staili hii akifanya tendo au mambo ya kishirikina si mtaiadhibu timu wakati kiuhalisia si shabiki wa timu husika..

  • @fadhilisheckimweri2512
    @fadhilisheckimweri2512 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wapi academy mlioanzisha acheni kuharibu Biashara ya mpira,watu wameweka pesa ili wapate matokeo msiturudishe nyuma,hawa ndio watu wa kuwapiga chini

  • @charlesrweyemamu8352
    @charlesrweyemamu8352 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona kichwa Cha habari hakiendani na mada iliyo mezani!

  • @AdamRashidi-n9g
    @AdamRashidi-n9g ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HAPO HAKUNA KANUNI MAROFA NA NYINYI NDIE MMEBEBA RUSHWA MGONGONI ,HAPO MPUNGA UMEINGIA MBONA MUNATAKA KUTURUDISHA NYUMA MAWAZO HAYO YOTE NI CHENGA TU HAMNA KITU HAPO

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 52 นาทีที่ผ่านมา

    Msisahau na mtu mmoja kudhamin timu nane"

  • @EmilyMalwata
    @EmilyMalwata ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hayo mapendekezo yenu hayapo sw kikubw makocha na wchezaj wa ndan waongeze juudi ili waonekane

  • @denisshimela169
    @denisshimela169 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makolo wanaweweseka sana na kayoko

  • @MahadhiRahim
    @MahadhiRahim ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mambo yenu ya ovyo bodi ya ligi,mjitafakali upya mfyuuuuu

  • @EmilyMalwata
    @EmilyMalwata ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Msiweke kanunua za upuuz kama mnataka mamb makubw wekezen kw vjana ili muwe na tim ya taifa

  • @JoshuaMwambene-h5j
    @JoshuaMwambene-h5j 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie Watanzania mpira ni uwekezaji siyo maneno...Simba wekeza jamani

  • @frankmakyao7657
    @frankmakyao7657 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kingine kila mechi 3 zitakazochezwa wa TZ WOTE KWENYE KILA TIMU WAWE WAMEPATA NAFASI YA KUCHEZA SIO CHINI YA DAKIKA 30

    • @frankmakyao7657
      @frankmakyao7657 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ushirikina Ni dini ya mtu. Basi tusiruhuru hata kusali.
      TFF, WASIINGIE HUKO WAWAPIGE FINE TU. INATOSHA.ILA FINE IWE KUBWA,
      Kwa mfano Kapombe ( Baba Ester) kiteleza
      Utasema Ushirikina au Ishara ya kushindwa kabla ya mechi.
      CHONDECUONDE
      TFF ACHENI HAYO. kwani ukinyewa na kunguru anashabaha??
      Rais wetu wa Awamu ijao Mama, Kazi IENDELEE MICHEZO NI FURAHA , MAAMUZI YA MCHEZO NI REFA,
      KESHO NAYO NI SIKU.
      TUJALI KESHO YETU.
      MTU AMBAYE HAPENDI MPIRA NAMWONA KAMA ANAUPUNGUFU fulani.( SAMAHANI)

    • @frankmakyao7657
      @frankmakyao7657 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mimi ni Simba, ndana ya Tz na nje ya Tz. Lakini kwa Yanga Mimi Ni Mpenzi wakicheza nje ya Tz, lakini Yanga wakicheza na Timu yeyote ile iliyosajiliwa na TFF hata ikiwa daraja la la tano natata WAPIGWE TU .

    • @frankmakyao7657
      @frankmakyao7657 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sasa ukiichukia Yanga na kusema ifungwe na wageni, wakati Baka, Clement, Mwamnjeto, Jobu, Yahaya, wanaweza wajao wakweo halafu unataka wafungwe, nafikiri mirembe ya Dom inawasubiri ili kupimwa tu.

  • @OmaryHeri-c3h
    @OmaryHeri-c3h ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mapendekezo ya kihuni hayo yaani unaamini ushirikina una nguvu kwenye soka haya roga alafu kacheze na manchesta

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 30 นาทีที่ผ่านมา

      Mbona mapovu au ndo waarabu wa pemba😂😂😂😂😂

  • @goodluckymaganga7074
    @goodluckymaganga7074 4 นาทีที่ผ่านมา

    Tena mkome mkome mkome tuondoleeni usenge

  • @NgamelaYussuph
    @NgamelaYussuph ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani Tunaenda Kuua Soka Uchawi Una Ushahd Gani Au Mnataka Kuhalibu Ligi Yani Timu Isipite mlangoni ikatwe pwenti Nyie ni Vichaa

    • @SaumuSaidi-z2v
      @SaumuSaidi-z2v ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mbona gsm anatoa Sayaka ya supu kwa yanga tu?timu nyingine anazozamini a hazinywi supu?hapo iko je?

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 33 นาทีที่ผ่านมา

      Sasa kwanini upitie mlango wa nyuma, wakati mlango rasmi upo?

  • @AdamRashidi-n9g
    @AdamRashidi-n9g 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo hakuna mulicho jadili baada ya kuja na kauli kuhusu kayoko munatuletea upumbavu tuu vioengele hivyo ulaya hakuna kama mmechemka achieving ngazi hivi wewe Huna hadhi ya hayo

  • @mustafamandindi6434
    @mustafamandindi6434 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amna jema kabisa nyie kwani mnataka kuludi kwenye mpira wa zamani acheni ujinga kwani waseme na mo aweke pesa ili na wao wawe vizuli kwani atutaki kuludi nyuma

  • @Sema_TZ
    @Sema_TZ ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha kutuambia kenge huna adabu kabisa

  • @MrleeLee-ki7sj
    @MrleeLee-ki7sj ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Washamba tu nyie mngejua mpira unaendeshwa kwa gharama huo ugoro wenu usinge ongea yani watu wanendesha mpira usonge mbele nyinyi unataka mpira urudi kule ulikotoka

    • @MrleeLee-ki7sj
      @MrleeLee-ki7sj ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mnakaa mnenenepeana tu kwenye ofisi zenu wakati nyuma ya pazia watu wanaumiza vichwa

  • @denismutungi4045
    @denismutungi4045 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huuu niujinga, nahamjui gharama za uendeshaji wa club, ulaya hakuna upumbavu huu

  • @IssackJackison-f2x
    @IssackJackison-f2x ชั่วโมงที่ผ่านมา

    huyu nae ni nana pale tff

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Msipofungia kayoko tutadili naye mtaani

  • @FilipoBahava-x8y
    @FilipoBahava-x8y 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mapendekezo yenu hayana Mshiko hayo yote ni makolo kusheng'etwa Mara 4 na yanga

  • @denisshimela169
    @denisshimela169 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii yote ni kwasababu kila tuzo nzr zinaenda yanga na ubigwa ndoo mnataka kuhalalisha ujinga fala sana nyie

  • @DiniMwambashi
    @DiniMwambashi ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hizo sheria zinatungwa simba akifungwa na yanga tu?

  • @JohnsonMichael-c2x
    @JohnsonMichael-c2x ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwanini na vyama vya mikoa visihusiswe kuchangia mawazoyao?

  • @user-ke7nb9rs5i
    @user-ke7nb9rs5i ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Upira ni biashara acheni upuuzi

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Vali iwekwe

  • @michaeljoseph7745
    @michaeljoseph7745 10 นาทีที่ผ่านมา

    bodi ya ligi acheni upuuzi nyie yaani mchezaji uwezo uwanjani mdogo bado apangwe tu acheni siasi wapuuzi nyie

  • @JumabJumamkuula
    @JumabJumamkuula 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila wachambuzi musiwaokote tu kama ambokile hiyo bado sana

  • @FrankJohn-q3x
    @FrankJohn-q3x ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yiyi kege Amna jipya

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona mbwa kayoko amjamfungia

  • @michaeljoseph7745
    @michaeljoseph7745 9 นาทีที่ผ่านมา

    andaene vyuo vya makocha wenu tz acheni bangi

  • @saidingumbo-is2oe
    @saidingumbo-is2oe ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acheni ujinga bana mnaturudisha kizamani sana na hii inakuja baada ya Yanga kudminet ligi wewe ni simba

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 25 นาทีที่ผ่านมา

      Imedominate wapi Kwa hizo mechi 6 tu mbona kazi Bado sana mnajikutaaaaaaa

  • @vincentdaud9954
    @vincentdaud9954 นาทีที่ผ่านมา

    Karia maliza tu . Muda wako ondoka

  • @RachelBisobe
    @RachelBisobe 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kayoko hajatenda haki

  • @Veronica-b2f2g
    @Veronica-b2f2g 25 นาทีที่ผ่านมา

    Ila cmbaakilizao 😅

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie hayoo mapendekezo yenu mengine yatarudisha mpira nyuma

  • @MossiKocha
    @MossiKocha 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchezo uludiwe sio ifungiwe leseni la kayoko tuu huo ndio usawa na haki haswa

  • @AlbinusRomanus
    @AlbinusRomanus 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sis tunao tumia mtandao c kila kit utikan kama huwez unaacha si lazima kuchangia

  • @JohnsonMichael-c2x
    @JohnsonMichael-c2x ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kafikirieni upya

  • @hamisally9255
    @hamisally9255 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sawa kayombo mmefutia leseni kwahiyo ule mchezo unatakiwa urudiwe

  • @salymgaimale235
    @salymgaimale235 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MBONA HAYA MAELEZO YA MUDA MREFU KABLA YA LIGI KUANZA

  • @DamianChiwangu
    @DamianChiwangu 15 นาทีที่ผ่านมา

    Munazunguq San yani mbaka musema mafala Sana

  • @MedsonMsovi
    @MedsonMsovi ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wewe haujui mpira

  • @yilodhasunga3967
    @yilodhasunga3967 25 นาทีที่ผ่านมา

    Hamna akili nyie

  • @swaijeremia
    @swaijeremia 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii Kanuni mbona ni ya Mwezi wa nanee??

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KAYOKO AFUNGIWE KABISA. ANAUPENDELEO KWENYE TIMU NYINGINE

  • @SylvanusMillanzi-w7h
    @SylvanusMillanzi-w7h 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uwe na akili haya matatizo ya marefa yanahusu kila timu ,rushwa inagharimu kila timu ipo siku yatakukuta na wewe 12:00

  • @AliRashid-nf9is
    @AliRashid-nf9is 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtathibitishaje huo ushirikina?

  • @eliudhezron181
    @eliudhezron181 23 นาทีที่ผ่านมา

    Mnawashwa mbwa nyie

  • @AlanMbilinyi
    @AlanMbilinyi 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HUYU REFA KAYORO AFUTWE KABISA LISENI HAFAI.PIA TIMU INAYOTUMIA UCHAWI IKIJULIKANA TIMU HIYO IFUNGIWE AU IPEWEADHABU KALI.

  • @denisshimela169
    @denisshimela169 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jinga sana wewe huna lolote pumbaless tuuuu

  • @franklinmganga736
    @franklinmganga736 25 นาทีที่ผ่านมา

    Sheria za wapi hizo wewe mpuuzi

  • @denisshimela169
    @denisshimela169 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kanye ulale

  • @denisshimela169
    @denisshimela169 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ujinga mtupu washenzi sana nyie