INASIKITISHA! SIMULIZI YA MTOTO ANAYEDAIWA KUNYONGWA NA BABA WA KAMBO KISA WIVU WA KIMAPENZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2024
  • Mkazi wa Mwitikira, Kitongoji cha Mgumwa wilayani Bahi, Mkoa wa Dodoma, Sophia Peter Thadei (27) ameeleza namna alivyompoteza mtoto wake Gooluck Mathias wa miaka mitano kwa kunyongwa na mumewe ambaye ni baba wa kambo wa mtoto huyo usiku wa Julai 7, 2024.
    Mwananume huyo, Stephano Mabula maarufu Mungo (44) inadaiwa alifanya mauaji hayo kutokana na wivu wa mapenzi kwa kumtuhumu mkewe kuwa anatembea na baba mwenye nyumba.
    Imeandaliwa na Hamis Mniha

ความคิดเห็น • 17

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mwanaume wakupiga mimi namuogopa sana pia mwenye hasir namuogopa sana hayo maisha nimeyaishi sana kukiwa na ugomvi hulali unaogopa anaweza kuchinja pole mwanamke mwenzangu

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 19 วันที่ผ่านมา +1

    Alafu mimi mtu akifanya ivi alafu niambiwe niwivu wamapenzi uwa sielewi kabisa sio wivu ni rohombaya

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 19 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana kwa kupoteza mtoto wako. Mtoto kakatiliwa nafsi bila kosa lolote 💔😭

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 20 วันที่ผ่านมา +2

    Ukatili mbaya sana

  • @LeonardmpembaMsemakweli-q8s
    @LeonardmpembaMsemakweli-q8s 20 วันที่ผ่านมา +1

    DAAAAA INAUMAAA SANAAA DADA POLEE SANAAA DUUUUUUUUU 👐

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 20 วันที่ผ่านมา +2

    Your the best mwananchi digital

  • @AsiaSaid-tq4yw
    @AsiaSaid-tq4yw 17 วันที่ผ่านมา

    Yalinikuta hy mm tena mume wng kabis pole shoga ila mm nimedai talaka

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 19 วันที่ผ่านมา

    Yani uchungu jamani 😭😭😭😭😭

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t 20 วันที่ผ่านมา +1

    Innalillahwainnalillah rajiuun ila kuna watu niwanyama por

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok 18 วันที่ผ่านมา

    Jeshi la polisi mko wapi??

  • @SyliviaMbuya
    @SyliviaMbuya 19 วันที่ผ่านมา

    Pole dear ila mm nisingekubali kabisa, amnyonge mtoto wangu labda sijaenda labor
    Oyaaaa hilo suala hata polisi haliwahusu, waniachie mwenyewe, nitamuua!!!!!😢😢😢

  • @pendo8082
    @pendo8082 19 วันที่ผ่านมา

    Duh😢

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 19 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢ukatili wa kinyama sana

  • @madelynillu3818
    @madelynillu3818 19 วันที่ผ่านมา

    Kwann amuue malaika ambae hajui chochote uwiiii eeh Mungu ww ndo mtendaji naamini utafanya kitu

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 19 วันที่ผ่านมา

    Sasa mtoto anahusiana nini 😢😢

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 20 วันที่ผ่านมา

    Walaya chamwino au bahi??

  • @LeonardmpembaMsemakweli-q8s
    @LeonardmpembaMsemakweli-q8s 20 วันที่ผ่านมา

    DAAAAA INAUMAAA SANAAA DADA POLEE SANAAA DUUUUUUUUU 👐