Shikamooo dada yangu shinyaa Bosii wangu Auna dogo Mami ninakupenda Sana umenisaidiya Sana kwenye maisha yangu Adi Apa nilipo unamchango mkubwa Sana kwangu kipenzi daaa Mimi niliwaii kudaiwa nahuyu dada milion 30
Safi sana serikali yetu. Kusikiliza kero moja kwa moja ni alama njema sana ya demokrasia. Inaumiza shida za watu ndani ya taifa lao wenyewe. Ila kuna namna nzuri zaidi ya kuongea na kiongozi.

Ongera kama umemulipa Safi sana
Mam sana wew nijemb ais 👏👏👏
Kuna watu wanaconfidence jamani
Safi sana serikali yetu. Kusikiliza kero moja kwa moja ni alama njema sana ya demokrasia. Inaumiza shida za watu ndani ya taifa lao wenyewe. Ila kuna namna nzuri zaidi ya kuongea na kiongozi.
kweri kabsaa dda umesema hukweri wadda wanajishugurisha kwa mitaji mdgo mnawabana mbaka mitaji inakufa sasa tukadange wananch wamechoka hari ngumu
WAZIRI ANA MKE AJISHIKE UYO MAMA
Hahahahahah daaa ngoja nikakojoe kwanza
Atoe namba wazir uyo wapeane apointment
Ukosawa dada yetuuuu
Poinment kha mama kaua huyu mama
Daa tra kweli wamechambwa leo
Waziri mkuu toa appointment kwa mama vipodozi
Nimempenda jamanii😅
Nimecheka jamani
Aiseee
Leo watu wametema nyongo
HAPOOO KWENYE POINTENMENT NDO KIZAA ZAA
Kwelia mama yetu na dada yetu kachafukwa
Nchi ngumu Sana hiii wallahi
TRA chondechonde na mishangazi yetu jaman ndo inatuweka mjini..✍️😅
😂😂 TRA dar watakoma
Safi sana
Ila wachaga 😂🙌🙌
Mkono wake sasa
Bibi kachamba na kuchekeshaa😅😅😅😂, Naomba Likes zangu jaman
Izo likes unakul ushib 😂😂
@@faidhamyovela179 ndio 😅😅😅
Mama kazimuaa
WAZIRI WETU ANANIVUTIA SANA ANAVOONGE NA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI...KWAKWELI ANAZO BUSARA NYINGI
Ametatua wap ndg
Kama angekuwepo Mzee Magu leoleo eangekosa kazi watu TRA hakuna cha uchunguzi
Kweli kabisa
Ata huku mkoani ni hv hv duka ni una million 10 wanadai million 30
Kinyaaaa umetisha angalia tu usitukane
Pointment😂😂😂😂😂hapo tu
WAZIRI MKUU KICHEKO SASA HAHAHA 🤣🤣🤣
Nimecheka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ekheee hatari na nusu😮
Mimi mkono tu wa mama! Kono kono
😂😂😂😂😂😂😂😂
Kono Kono Kweli Hahahaha 😅
😂😂😂😂ila watu mafutahisha jaman
HAKIKA
Make kwanza nicheke
Yuko sahihi huyu Bonge
Mama ataki mchezo
Mbavu zangu😆😆
😅😅😅😅😅😅
Hahaha 🤣
tunanyanya sika sana
😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅
th-cam.com/video/_3GnLUSGZWA/w-d-xo.html
Maajabu mdada ashangilia mpaka kuvua nguo zote kisa yanga wamefunga magori 2
😂😂
Mmmmh huyu mama anajingine kwa waziri siyo bure.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
😂😂😂😂