EXCLUSIVE: Simulizi ya mtu mrefu kutoka Chato hadi Marekani | Futi 7.5
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2021
- Mtazamaji wa Mwananchi Digital Wakati binadamu wa kawaida akikadiriwa kuwa na urefu wa futi 5 hadi 5.5, hali ni tofauti kwa Julius Charles mwenye urefu wa futi 7 na inchi 5.
Katika exclusive wiki hii Hariet Makweta ametembelea katika eneo la mbagala mbande jijini Dar es Salaam na kukutana na Kijana Julius Charles ambaye amefunguka na kuelezea historia ya maisha yake kutoka chato hadi Marekani Karibu. - บันเทิง
Sauti nzuri(sauti ya zege),jaribu utangazaji !!Fuatilia safari yako ya Marekani,anga limefunguka baada ya chanjo...
Iko siku lazima nifike chato kwa JPM kunavivutio vizuri vya utalii .mtu mrefu kuliko wote Tanzania anatoka chato!hii nimeipenda serikali mtumieni huyu jamaa kwa utalii yuko vizuri.avalishwe nguo yenye picha ya ngorongoro ikiwa na maandishi ya ngorongoro is among the seven wonders of the world itasaidia kutuletea watalii pia kuitangaza tanzania.serikali ikimpa pesa huyu nikitu kizuri imejilipa yenyewe zitarudi kupitia utalii.kazi kwenu viongozi kivutio hicho Toka chato.
Why can't big business companies utilize Joshua Charles's uniqueness as an ambassador for their brand names and products and give him endorsements so that he lives a decent life.... Please help him out folks.
Jamaa umeongea vizuri Sana Ila mwishoni kwenye..... sijaelewa vizuri
Siyo Samia kuna waziri wa khabari sanaa na michezo! anafaa ashughulike na haya mambo!
Mtafuteni dada mmoja anaitwa Francesca Martin ni mdada mrefu kama huyo nimesoma nae Dakawa Morogoro mwaka 1999
Nimekukubari,
jaman
Noma sana jamaa yuko juu
Huyu ndugu anapenda maisha ya kiwango Fulani Ila akili yake tegemezi na asipo funguka ataishia tegemezi na kubezwa
Acha dharau wewe humlishi
Mungu akupe haja ya moyo wako
He should be the tallest Man in Africa
Huyu kaka nimesoma nae tuition mapambano,mcheshi kweli tulikuwa tunamuogopa
Ni noma
Jamani interviewer amefanya kazi yake vizuri
Nkweli kaka hayonimapenzi ya mungu nahuyo mkewe yuko hivyo hivyo ao nimfupi
Chanzo cha kuwa hivi ni ubongo kukosa control.
Huyujama Tajiri engekuepo hapa.marekani
Huyu jamaa nilimuona Seattle ilakosa alilofanya alijitambulisha kuwa anatokea Kenya
Upo seatle pande zipi nakujaga sana huko mzee naendaga kijij kinaitwa sila
Chanzo cha kuwa hivi ni ubongo kukosa control.
Mbona mie naona anaurefu wa kawaida tu, kuna watu warefu huko Sudan.
Futi 7.5 si urefu wa kawaida wewe. Hata hao wa South Sudan wapi wengi tu anawazidi
Mtu mrefu katika inchi ya Tanzania
@@davidngwesa Wa Sudan wa kusini ndo wanao ongoza kwa urefu duniani, na hasa kutoka kwenye kabila moja. Ni warefu hasa! huyu cha mtoto! Na angalia record ya mtu mrefu duniani mbona huyu kawaida sana. Na hayupo kwenye record yoyote ile!
Ssa si umesema Sudani Sudani na Tanzani wapi na wapi wao watatangazwa kwao hko sudani ila ssi tunamtangaza huyu wetu
@@mdzainb3722 Sorry siko kubishana, naongelea viwango vya kimataifa. Mi watu niliokutana nao niwarefu zaidi ya huyo. Ndo maana simshangai namwona wa kawaida tu. Tusilazimishane !
Mtangazaji nae mfupi sana
Bado ajamfikia hashimu thabit
Broo hili lakupigwa hebu tueke sawa,inakuaje kwa mfano yaani watu wanakupigaje,
Alipokuwa mdogo,sasa usijaribu.
@@uledimtumwa2406 😀😀😀😀😀
Du! Hii toll
Mimi nirikutana nae gerezani siku moja Hamad ase nusu nifeee moyo namwili wng uriweweseka
Unapigwaje brooo? Ww ni hujachangamka tu sio wakupigwa, punguza upole, chapa kila anayezingua au njoo nikupe the way you can fight every single kilaza 😀😀
Nani nashangaa
Hichoo ni kilemaa😂😂
Wamtafte kun mwingn yup iringa
Nilishaonana nae mwenge mpaka mama mmoja alitaka kukimbia nikamzuia asikimbie jamaa alinambia freshndugu yangu
😄😄😄😄
mm pia ningekimbia
Jamaa uwexi kuwa na mpenzi maana utakuwa mrefu kote
Ni vyema ukawa na moyo wa kumpa moyo mwenye tatizo na si kumwambia lugha zitakazomkatisha tamaa ,tambua hata ww unaweza ukawa unawatoto au ukawa bado unatafuta watoto nadhani utajisikia vibaya Sana mungu akikupa mtoto atakaekuwa mrf zaidi ya huyu kaka
namjua yupo hapo mbagala wala hayupo marekani
Sasa wanashtuka nn sasa kuna wengine vimbilikimo.ila vimbilikimo wafupi wanachekesha.urefu ndio dill utuletee mamiss
Hakuna alichagua kuwa vile alivyo, hata wewe hukuchagua jinsia yako au kuwa hivyo ulivyo. Mheshimu Mungu kwa uumbaji wake kuanzia kiroboto hadi tembo
Nina mme mrefu Lakini huyu kiboko MUNGU fundi. Lakini urefu wake ndio mtaji achangamki fursa pambana ww ni mtaji unaoniuza pambana utafika tu!
huu ni ugonjwa
Tozi kama tozi
Aje atangaze utalii nyumban kwake chato,
Siku iyo naludia mpilani usiku nilimuona uyu kavaa kazu weee uliza kilichotokea Sasa
Yaani yeye amekaa, wewe umesimama na bado umeongeza kakiti ndio umejisikia huru 🙄🙄🙄🙄, nawewe dada unaweza kuwa kijidada cha msitu wa Congo 😀😀😀😀
🤣🤣🤣🤣
Huyu jamaa anampenzi au mke
Urefu wote Nani amkubali avae pete
@@msowamhokole7714 🤣🤣🤣
Jilani yangu uyo msongola
Huyo jiran yako hatar
Kinyosi anamnyoaje sasa kama huyu dada kapanda Kwa kiti kumhoji
we mtangazaji..muulize ana demu kweli huyo jamaa🙈🙈 maana.....hatareii🏃♀️🏃♀️🏃♀️🙊🙊
huyo dogo sio wachato kazaliwa mtaa wa igogo majuberi na kabila ni mkurya
msaidie mwita kaka yako acha saund
Ukifunga azam kichwani unanasa bila chenga
😂😂😂😂😂 pumbavu sana ww
🤣🤣🤣🔥🔥🔥
Goriati
😃😃😃🤭🤭🤣🤣🤣 Ni kweli!💯✔️
Sauti k m ya yule mrefu mwingine thabiti na pia thabiti alicheza basketball
Watu warefu wote sauti zao ziko hivyo!... ni maumbile yao.
Wewe ni hazina mojawapo wa nchi nenda kwa raisi mojakwamoja mwenyewe atakupa kazi inayokustahili
Hazina ipi.
Du
Ngongoti
Kama umebaki kumshangaa jamaa kama mimi...tujuane
Alipigwa utoto sio umri huo fuatilia mahojiano ya nyuma Alisha chana mtu Taya kwa kofi Moja tu
Shida ni akili mgando...badala ya kutumia akili unataka misaada
Mfano...anzisha kijiwe cha kupiga picha na mashabiki wako...na kila shabiki anakulipa...utaona matokeo
Kweli
Kila kitu kinaanza na mtaji bana... Mbona machawa feki wanapewa dili nono nono kiholela nchini?!
Jamaa ni mwana spoti na naamini makampuni ndizo zimezembea kwa kujifanya hawamuoni Joshua Charles... Sio poa.
Mpe ushauli sio kumbeza,ww mwenyewe inaonekana akili zako ni tope
Jamaa sauti yake siyo nzur
We nae eti sauti mbona mnakufuru aaaah
Muazime yako mbona wwe mfupi kuliko yye
Kuna mwingine huku
Yuko wp