SIFA NA TABIA ZA MTU MWENYE JINA LINALOANZIA NA HERUFI,,A,,MWANAUME, MWANAMKE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @naseeriddi4346
    @naseeriddi4346 2 ปีที่แล้ว +6

    Upo Sahih kabisa bro Yan mwake kabisa yan nimekuelwa sana Leo nimetambua kumbe niliyyafanya yametokan na heref yangu 'A' Asante Sana bro

  • @allyhassan7522
    @allyhassan7522 2 ปีที่แล้ว +7

    Mi Ally,nimecheka sana.Maana ktk sifa kadhaa ulizozitaja,1 tu(kuumwa Kichwa) hapana.

  • @HenrietteUwimana-es6bm
    @HenrietteUwimana-es6bm 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kaka

  • @rottiManyanya-do6kn
    @rottiManyanya-do6kn 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli

  • @salumwekah99
    @salumwekah99 9 หลายเดือนก่อน

    Ukoo vizurii kaka

  • @hannamakamba6108
    @hannamakamba6108 2 ปีที่แล้ว +1

    Somo nzuri

  • @natasatungaraja7392
    @natasatungaraja7392 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwelii kabisaa babu

  • @ShawaliMponda
    @ShawaliMponda 11 หลายเดือนก่อน

    Naomba nichambulie doa ya shawal na anifa Ni ndoa ya Aina gani

  • @elizabethjackson3865
    @elizabethjackson3865 2 ปีที่แล้ว +6

    Mimi huyo ubishi na kuharakisha mambo kufosi nyie nyie 🤣😂😂 kweli kabisa

    • @AlexMkembo-j6m
      @AlexMkembo-j6m ปีที่แล้ว

      Dah siyo powa😂😂😂😂 kwenye wasi wasi wa kufa afu nime ziamini sifa zote

  • @ashaamini8384
    @ashaamini8384 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamna nikoivyo Mimi 🔥🔥

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 ปีที่แล้ว

    Asante ☑️🙏

  • @jamalsaid9159
    @jamalsaid9159 2 ปีที่แล้ว +1

    mm kabisaaaaa

  • @DatiusMathayo-e3e
    @DatiusMathayo-e3e ปีที่แล้ว

    Brother unatishaaaa

  • @annageorge43
    @annageorge43 2 ปีที่แล้ว +6

    Kwa kweli A ni wabishi na wenye misimamo. Akiamua lake kumbadilisha sio rahisi. Unaweza Allykk. Utafiti wako ni WA kweli. Sasa dawa yake nn?

    • @allykk1459
      @allykk1459  2 ปีที่แล้ว +1

      Yapo matibabu yake.

    • @annageorge43
      @annageorge43 2 ปีที่แล้ว +1

      @@allykk1459 Tunapataje matibabu?

  • @MaguruNdaki
    @MaguruNdaki 7 หลายเดือนก่อน

    Jaman hapo kwenye haraka hapo. Utaniua, stak kabisa kusubiri ndo nilivo.

  • @BINTIwaKITANGA
    @BINTIwaKITANGA 2 ปีที่แล้ว +4

    Mimi jamani kichwaa tangu nipo mdogo jamani 😔 na kiliambatana na kutoka damu puani Ila Kwa sasa nashukuru nilipona tangu nikiw drs la saba.pia nikiamua langu 🙌🙌 sitaki lipigww

    • @naseeriddi4346
      @naseeriddi4346 2 ปีที่แล้ว +3

      Unasema kweli ??

    • @BINTIwaKITANGA
      @BINTIwaKITANGA 2 ปีที่แล้ว +1

      @@naseeriddi4346 kweli .. halafu Nina hasira sana

  • @stopperTv
    @stopperTv ปีที่แล้ว

    is true

  • @dianagidion2832
    @dianagidion2832 2 ปีที่แล้ว

    Vipi Kama wakikutana herufi A Kwenye maisha ya mapenzi au ndowa, watadumu au kuelewa na?

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nacheka tu😂🙏

  • @elizabethjackson3865
    @elizabethjackson3865 2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi natumia majina ma 2 Elizabeth na Asha ila asha la kuzaliwa nilibadili badala ya kujua ni kiislamu

    • @allykk1459
      @allykk1459  2 ปีที่แล้ว

      Hapo tazama lililo kulea mpaka kupata akili

    • @elizabethjackson3865
      @elizabethjackson3865 2 ปีที่แล้ว

      @@allykk1459 okay thanks

    • @paulinasamwel3975
      @paulinasamwel3975 9 หลายเดือนก่อน

      duh! Na mm nilizaliwa nikaitwa asha ila mm so mwisilam nilipo batizwa nilipewa jina la paulina nyumbani nafamika asha shulen paulina duh sjui nishike lipi

  • @UlomiAnna
    @UlomiAnna 9 หลายเดือนก่อน

    Wa nanyota gani wenye herufu a

  • @mwinyihamisi6181
    @mwinyihamisi6181 2 ปีที่แล้ว +2

    Je herufi A inaweza kuoana na Herufi H?

    • @allykk1459
      @allykk1459  2 ปีที่แล้ว

      Ingia hapo hapo utapata majibu yote

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa ila apo kwenye marazi spo

  • @SelinaWoiso-vl7vr
    @SelinaWoiso-vl7vr ปีที่แล้ว

    Nini maana ya jina ADELPHINA😊

  • @hannamakamba6108
    @hannamakamba6108 2 ปีที่แล้ว +3

    Ahsnte