Shukuran Sana ,, juhainah utumika kwa watoto wa kike wa kiislam , jina hili umaanisha BINTI NDOGO , katika maana nyingine ni ,, giza litokezalo kabla ya muangaza kutokea ,,
Asalam alaykum waulizaji wa maana ya jina tunapata wengi ivyo kumjibu kilammoja nikazi kubwa , ivyo tumerahisisha , Tuma shilingi elf moja 1000/= M PESA kwenda 0766743301 - Jina Hakim shakuru mkandala ,, Kisha tuma neno KIM SWAHILI likifatiwa na jina unalo taka kufahamu maana ya Mfano Kim Swahili - Amaira Kupata maana jina lako itachukua Dk 15 tu AHSATE
Walaykum musalaam ,, jina hili linamaana mtu mwenye kungoja , mwenye kusubiri , mwenye uvumilivu , hasie kurupuka , mwenye kufahuru kwa kila alifanyaro ,
Asalama alaykum waulizaji wa maana ya jina tunapata wengi ivyo kumjibu kilammoja nikazi kubwa , ivyo tumerahisisha , Tuma shilingi elf moja 1000/= M PESA kwenda 0766743301 - Jina Hakim shakuru mkandala ,, Kisha tuma neno KIM SWAHILI likifatiwa na jina unalo taka kufahamu maana ya Mfano Kim Swahili - Amaira Kupata maana jina lako itachukua Dk 15 tu AHSATE
Jina hili litokana na meno la kiharabu ,, Nadhaa - ndipo likazakiwa meno au jina NADHAT ,, maana ya jina hili Ni ,,MREMBO , JASIRI ,, MJUZI , MWENYE AKILI
Mashallah
Naomba maana ya jina hayyam
Assalam alaykum naomba maana ya jina hayyam
Assam allaiqum warm tumrai wabalakat nilikuanaomb kuuliz jina la haurni linamaangan?
Naitaji kujua maana ya jina Aimali
Naomba jina LA mtoto wa kike linaloanzia na heruf hu
HUDA=UONGOFU
husda
Humaima
@@RayaAhmad-g5o huzwayifa
Hudhaifat
Asallamu aleykum mwalahma turahi wa balakat nilikuwa naomb nijue maan ya Jin hadija
Walaykum musalaam Karibu WhatsApp 0766743301
Naomba kujuwa maana ya jina mizla
Aslam alaykum warahmatullah wabarakatuh naomba kufahamu mana ya jina Humaira, Ridhwani,
Walaykum musalaam Karibu WhatsApp 0766743301
Naomba maana ya jina la safina
Maana ya jina seyran
Naomba maana ya jina la shazinati
Naitaj kujua maana ya jina Aimali
Naomba maana ya jina la udhunuur plz
Naomb maan ya jina zurhaiya la kike linamaan gan ??
Naomba kujua maan ga jina dabrina
Naomba mnisaidie Maan ya Jina nahya
Naomba maana ya jina mudrik na murhati
Walaykum musalaam Karibu WhatsApp 0766743301
Naomba maana ya Jina Jawahir
Naomb kujua maan ya jina nashfat
Naomb kujua maan ya jin nashfat
Asalaam alykum naomba majina ya kiislam watoto wakike mapacha
Karibu WhatsApp +255766743301
Salam alaikum naomba kujua maana ya jina samayra🙏
Walaykum musalaam karibu WhatsApp +255766743301
Asalam alekyum naomba jina linaloanzia r
Naomba jina linalo anziya spelling R na kumalizikiya N
Me naomba maana ya jina la umaila
Habal kak naomb kujuw maan ya jin juhainah
Shukuran Sana ,, juhainah utumika kwa watoto wa kike wa kiislam , jina hili umaanisha BINTI NDOGO , katika maana nyingine ni ,, giza litokezalo kabla ya muangaza kutokea ,,
Ninn maana ya jina nasma
Karibu WhatsApp +255766743301
Asalam.alaykum.naomba.kujua.maana.yajina.nahlat
Karibu sana Kim swahili , kufahamu maana ya jina lako karibu katika Whatsapp yetu +255766743301
👯naomba majina ya mapacha wa kike
As Aleykum naomba kujua maana ya jina Zulaykha
Walaykum musalaam karibu WhatsApp kwa maelezo zaidi +255766743301
Naomba unambie majina ya humaima na haitham
Samahani kaka naomba maana ya jina munaiyya
Karibu WhatsApp +255766743301
@@KIMSwahili jina munaiyya
Maman ya jina aridja
Naomba maana ya jina la fahma
Mwenye akili
Au mweye fahamu
Naomba mahana la jina muznati
Asalam alaykum waulizaji wa maana ya jina tunapata wengi ivyo kumjibu kilammoja nikazi kubwa , ivyo tumerahisisha , Tuma shilingi elf moja 1000/= M PESA kwenda 0766743301 - Jina Hakim shakuru mkandala ,, Kisha tuma neno KIM SWAHILI likifatiwa na jina unalo taka kufahamu maana ya
Mfano
Kim Swahili - Amaira
Kupata maana jina lako itachukua Dk 15 tu
AHSATE
Naomba jina LA mtoto wa kike linaloanza na herufi f
Naomba kujua maana ya jin rumaiswa
Naomba kujua jina khadija linamaana gani
Assalam alaykm na maana ya jina Hinaa
Walaykum musalaam karibu WhatsApp +255766743301
Assalamu aleyku naomba maana ya jina SWABRA
Walaykum musalaam ,, jina hili linamaana mtu mwenye kungoja , mwenye kusubiri , mwenye uvumilivu , hasie kurupuka , mwenye kufahuru kwa kila alifanyaro ,
Shukrani
Shukuran pia
A.a naomba unijibu raya yamanisha nini
Karibu WhatsApp +255766743301
Milhaty lina maana gan
Maana ya jina hili ni mwanamke mwenye wadhifa ,, muheshimiwa
@@KIMSwahili shukran
Asallam Allahikum naomba kujuwa jina la tayana na Tatihana na mahana zake
Walaykum musalaam karibu WhatsApp+255766743301
Naomba kujua maana ya jina khairuni
Walaykum musalaam karibu WhatsApp +255766743301 kwa maelezo zaidi
Naomb maan ya mahira
Naomba kujua maana ya jina israa na jina mahdi
Walaykum musalaam karibu WhatsApp +255766743301 kwa maelezo zaidi
Nisaidie jina lasuhailla linamaana gani
Noor si mwanaum
Naomba maana ya jina Trisha
Naomba majina ya mtoto wa kike yanayoanza na herufi M
Karibu WhatsApp +255766743301
Habari, naomba kujua maana ya jina la junairat
Asalama alaykum waulizaji wa maana ya jina tunapata wengi ivyo kumjibu kilammoja nikazi kubwa , ivyo tumerahisisha , Tuma shilingi elf moja 1000/= M PESA kwenda 0766743301 - Jina Hakim shakuru mkandala ,, Kisha tuma neno KIM SWAHILI likifatiwa na jina unalo taka kufahamu maana ya
Mfano
Kim Swahili - Amaira
Kupata maana jina lako itachukua Dk 15 tu
AHSATE
@@KIMSwahili asalam alaykum nilikua naomba kujua maana yajina munayfa
Asalam alekum naomba maana ya jina shaheer
Walaykum musalaam karibu WhatsApp +255766743301kwa maelezo zaidi
Maana ya tulkani
Hajrah maana yake ni nini naloo
Naomb kujua jina saaifat la kike au kiume na maana yake
Shukuran Sana kwa kuasiliana nasi , tumeshindwa kulipata jina hili katika kamusi yetu ya majina
Kiongozi wa malaika jina lake linakuwaje
Katika lugha ya kiharabu ,, uitwa ivyoivyo Kama ilivyo kwa kiswahili ,, malaaika
Ashnaifat nambiy maan yke
Naomba maana ya jin junaina
Naomba maaana ya naifat
Maana ya jina Hamilat
Naomb kujuwa jina hudhaifa
Naomba maana yamajina faudhia na naira
Hudhaifa
Karibu WhatsApp +255766743301
Nnaomba maana ya jina bal-qis
Naomba maana ya Nazbihab
Asante Sana kwa kuwasiliana nasi Kim Swahili,, jina lako Nazbihab halipo katika orodha ya majina
A/alykum mi naomb maana ya hudayrah nn maan yke
Walaykum musalaam karibu WhatsApp +255766743301 kwa maelezo zaidi
Naomb maan ya jina nauthary
Jina subaiha maana yke
Shukuran Sana kwa kuwasiliana nasi tunakutafutia majibu tutakujibu hivi punde
Inshallah
Subaiha ili Ni jina la mtoto wa kiume maana take - MTANASHATI
Mbn hamtoi maana ya madina 2nayouliza
Karibu WhatsApp +255766743301
Naomb jina herufi inayoanza herufi si
Naomba maan ya majina haya
1)Binnani
2) Bisani
Karibu WhatsApp 0766743301
Aridja
naomba kujua maana ya jina la falhya
Karibu WhatsApp +255766743301
sukhaira
Jina ni Suhaila, maana yke ni wepesi/ Urahisi
Maana ya awatif nn naomba maana yak
Naomba maana ya jina Shaymaa
Hili Ni jina la mtoto wa kike , wa kiislam maana ya jina hili , ni mwenye tabia njema , asiye na doa
Naomba kujua maana ya majina rujna na nuraiya
maana jina moradi
jina hili , utumika kwa watoto wa kiume maana take Ni mtumwenye hamu , kiu au matengemeo
Nini maana ya jina NASHFAH
Naomba kujua maana ya jina Naifat
Maana ya Naifat ,, ni mwenye utu
Maana ya awatif nn
mm nataka kujua maana ya jina la ajka
Walaykum musalaam karibu WhatsApp +255766743301
Mm nataka majina yanayoanzia na y jaman
Yusra
Yasri
Yunus
Yahaya
Yasin
Maaana ya jina nuruthan
Karibu WhatsApp 0766743301
Naomba maan ya jina marsad
Karibu WhatsApp +255766743301
naomba maana ya jina Ayzal
Asalama alaykum maana jina Ayzal ni Zawadi kutoka kutoka kwa mungu , au Zawadi ya mungu
Maana ya awatif nn
Naomba maana ya jina Tina
Jina Tina ,, hili nineno la kiratini lenye maana kristo hutokana na neno Christina lenye maana ya mfuasi wa kiristo
Maana ya najma
Walaykum musalaam karibu WhatsApp+255766743301 kwa maelezo zaidi
Alafu ili neno yunaitham maana yake nn?
Walaykum musalaam karibu WhatsApp +255766743301
Mbona hamtup maana yake sasa ayo majina tunayokwambieni
Hoo samahani nakupa jibu punde
Tunaomba jina tuweze kukuopa maana ,, shukuran
Shulaina maanaa ake nini
Habari jina hili tumeshindwa kulipata katika makitaba yetu
Maana ya jina nafisah ninn
Shukuran Sana kwa kuasiliana nasi ,, Nafisah ,, maana ya jina hili ni wathamani ,, wakuheshimiwa ,,, wakuigwa
Murthaina maana yake nini
Nadhat manaake nn
Jina hili litokana na meno la kiharabu ,, Nadhaa - ndipo likazakiwa meno au jina NADHAT ,, maana ya jina hili Ni ,,MREMBO , JASIRI ,, MJUZI , MWENYE AKILI
A/alykum mi naomb maan y jina hudayrah
Walaykum musalaam ,, jina hudayrah maana yake ni mwenye kufaata muongozo wa kweli jina hili linatoka katika meno la kiharabu ( hudda ) muongozo
Habari naomba kujua maan ya jina nuhaila
Maana ya jina hili ni muelevu na mcheshi
Samahani kak naomba maana ya jina naythar
Jamilah maana yake nn
Maana ya jina hili Ni MREMBO au MPENDWA
Nzuri maana jamila
Au tasnim
TASNIM ni jina la mtoto wa kike maana take Ni - CHEMCHEM YA PEPO au CHEMCHEMI YA PEPO ,, Shukuran
Shkrn sana.
Lakike
Maan ya jina la Rufaida ni nin
Rufaidh maana yake Ni Msaada ,, au mwenye kutoa Msaada , au mwenye kupewa Msaada
Nasastra maana yake
Walaykum musalaam karibu WhatsApp +255766743301 kwa maelezo zaidi
Nairah lina maana gani
Hili Ni jina la mtoto wakike , Maana ya Nairah , mwenye maono , mwenye kumulika , au kig`aracho
Maana ya jina mirfat maanayake nn