Nilichokipenda na ukristo wangu wote amemuongelea YESU vizuri sana kuonyesha kwake amekomaa kidini mungu ampe zaidi na zaidi na tunahitaji sana viongozi wa kidini wa aina hii ambao hawatugawi kama TAIFA
Mwenyez mungu akjalie kila lenye kheir hapa dunian na kesho akhera nakpenda kwaajil ya Allah leo yote nmeshinda kkckiza nmepita kila pahala penye lecture zako Allah barik.
Mashallah tabarakaallah sheikh Allah atakulipa kwa kulisha chakula roho zetu hatuna cha kulipa lakini malipo utakuta kwa mola wetu mlezi Subhanaallah na tunajivunia tunajisifia kwa watu kupata elimu ya bure ambayo hatuilipi Shukran Jazakaallahu kher
Mashaallah ustadhi wetu kwa kweli Allah amekujalia kipaji namuomba Allah anijalie mtoto wangu wa kwanza anijalie mtoto mwema wa kiume nimuite jina la mtume wetu muhammadi Allah amjalie awe na mwenendo wote wa mtume wetu yaarabbi nitakabalie dua yangu...aamiin
Mashaallah kwa kweli maneno yako thabiti umenikumbusha mbalii ....inshaallah Allah atujalie subra kila kinachotakiwa ni Allah mwenye kupanga kwahiyo tuwe n.a. yakini nayo...allah atujalie furaha na atuondoshee huzunii ktk mioyo yetu.aamiiin
Mashaallah alhamdulillah Allah Akbar namuomba Allah anpe mwisho mwema na subra kwa Yale yanayonkuta mmh yaan mungu anatoa viumbe daah mawaidha ya huyu sheikh wangu daah yananlwaza kla nnapoyacklza naona km npo mji mwengne mzur daar Allah akulpe kla lakheri inshaallah
Sh muhammad wlaah mm napatwa na matatzo mengi nikiwa saivi nna umr wa 21 years but kila nnayopitia mawaidha yko haya yananipa strong 💪🏻 snaaa Shukrn snaa wlah allah akubarik
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nimetumwa hapa na rafiki yanguu kutoka mombasa shukran sana sheikh napenda kuskiza islamic teachings sana am christian thanks u guys hope i willl be welcomed
Wallahy nakupenda kwa ajili ya Allah nimekutafuta mpka nimekupataa....wallahy ww ni mmoja kati ya mashekhe wanaoniathiri na mawaidha ...Allah akuzidishie...na uendelee kueneza kilma Laa Illaaha Illah Allah....Amiiin....na jamii islam na waso islam Allah awaongozee...Amiiin....shukran Sheikh....ningependaa unijuze kwa kila jmbo la uislam....
Wallahi nimepata funzo,Allah akujaze kheri,akuzudishie umri tuzudi kupata ilmu toka kwako sisi ambao hatujafanikiwa kuipata ilmu,Allah anjalie mume mcha mungu kama huyu ama zaidi yake, Takabala Llah minda waminkum.
Hakika zidisha ibada huwezi mpata mchamungu ikiwa wewe c mcha Mungu,Hakika nilikua nafunga,naswali kumuomba mungu anipe mume mwema na kwa hakika kanipa mwema,mcha mungu,mpole wakuniheshimu kwa ajili ya Allah!hakika namshukuru na nazidisha ibada Allah atuongoze katk ibada na kizazi chetu.Kwahyo mpnzi zidisha dua hutoamini mungu anajibu kwa wakati ukimuomba kwa thati.
hakika dini yetu haijacha kitu kuhusu mwanadamu na maisha yake , mwanzo nilikuwa na waamini wanasaikolojia ila Sasa sitofanya hivyo tena Qur'an haijacha kitu kabisa Alhamdulilah kuwa muislamu
Yarabi tupe imani nyoyozetu tuzidi kushikamana katika dini yako na utujaalie mshikamano wa kweli SHEH MUHAMMAD MUNGU AKUPE AFYA NJEMA UZIDI KUTUELIMISHA INSHA-ALHAH
Allah akuzidishie uzidi kutuzindua awali nilijihisi mkosa vingi kwa nafsi ila kauli zako zimeniamsha nakunifahamisha katika maisha kinachokufika haikuwa kikukose na kinachokukosa haikuwa kikufike Alhamdhulilllah shukran jazilllahhh ....Alllahu jalllah jallllaluhu
naiman machoz yang niliyolia leo shekh kwaajil ya ukumbusho huu cntouzunika tena nimeuzunika miak10 leo nimeona rehma za allah nimefika makka nimeomba faraj mwez wa ramadhan mwak jn ila nimejibiwa leo nitalud kumshukul allah pia kumsabah tena mjumbe wake madina inshaallah nilikata tamaa nikiwa kijan leo naumli wa miak26 nimepewa faraj
Maashaa ALLAH, Mwenyezi Mungu akulipe kheri nyingi kulingana na juhudi zako za ku ufikisha ujumbe wa ALLAH kwetu waislamu wenzako. ALLAH akujaalie wewe ka sisi mwisho mwema, aamiin.
mashanllah hakika kuwa muislam ni bahati kubwa anllah akupe kila la kheri akuepushe na mitihani ya dunia na akhera pia ili tuzidi kupata dawa yako ewe anllah nakuomba nijaalie mm mja wako kunipa mume kama huyu mashanllah
Allah akupe kila la kheir unataka ktk hii dunia na akhera na masheikh wote in sha Allah lakini nawausia watu wengine msiwavunje mioyo binaadamu ukiona ww unaweza unakaribishwa kutoa mawaidha binaadamu anapenda sana kurudisha wenzao nyuma kwa maneno makali sana ni bora mtu akupige ngumi ya uso kuliko kukutolea maneno makali yanayo umiza moyo. Allah atupe khair wote na atupe mwisho mwema in shaa Allah
siwezi kumwita binadamu bosi hata siku moja hajamiliki bingu na aridhi yy si bosi ni tajiri utajiri wenyewe kapewa na mungu ndio bosi shekhe hapo umekosea
Mashallah mashallah mawaidha sahihi yasisimua ..Inshallah tuta twiih yarabi atuongoze na tutubie tuifanye toba natu ikinai dunia ...Ya RABI Tujalie mwisho mwema
Wallah nampenda huyu shekhe sijui nisemeje napenda mawaidha yako allah azid kukuongoza inshallah
Mashallah allah akupe muongozo mwema uzidi kutupa elimu🤲🤲
Nilichokipenda na ukristo wangu wote amemuongelea YESU vizuri sana kuonyesha kwake amekomaa kidini mungu ampe zaidi na zaidi na tunahitaji sana viongozi wa kidini wa aina hii ambao hawatugawi kama TAIFA
Mwenyez mungu akjalie kila lenye kheir hapa dunian na kesho akhera nakpenda kwaajil ya Allah leo yote nmeshinda kkckiza nmepita kila pahala penye lecture zako Allah barik.
Mashallah tabarakaallah sheikh Allah atakulipa kwa kulisha chakula roho zetu hatuna cha kulipa lakini malipo utakuta kwa mola wetu mlezi Subhanaallah na tunajivunia tunajisifia kwa watu kupata elimu ya bure ambayo hatuilipi Shukran Jazakaallahu kher
Mashaallah Allah na mpenda sana huyu shekh Mawaidha yake yana pandisha imani
Mashaallah ustadhi wetu kwa kweli Allah amekujalia kipaji namuomba Allah anijalie mtoto wangu wa kwanza anijalie mtoto mwema wa kiume nimuite jina la mtume wetu muhammadi Allah amjalie awe na mwenendo wote wa mtume wetu yaarabbi nitakabalie dua yangu...aamiin
Mungu akupe mwisho mwema
Amiin 😊
2020 am here alikua mwanafunzi mwenzangu huyu madrsa leo nanufaik na darsa zake Ma Shaa Allah
Mashaallah kwa kweli maneno yako thabiti umenikumbusha mbalii ....inshaallah Allah atujalie subra kila kinachotakiwa ni Allah mwenye kupanga kwahiyo tuwe n.a. yakini nayo...allah atujalie furaha na atuondoshee huzunii ktk mioyo yetu.aamiiin
Habar
Mashaallah alhamdulillah Allah Akbar namuomba Allah anpe mwisho mwema na subra kwa Yale yanayonkuta mmh yaan mungu anatoa viumbe daah mawaidha ya huyu sheikh wangu daah yananlwaza kla nnapoyacklza naona km npo mji mwengne mzur daar Allah akulpe kla lakheri inshaallah
Sh muhammad wlaah mm napatwa na matatzo mengi nikiwa saivi nna umr wa 21 years but kila nnayopitia mawaidha yko haya yananipa strong 💪🏻 snaaa Shukrn snaa wlah allah akubarik
Asalm alkm
MashaAllah sheikhe Allah akujaalie kila la kheyr.. tumekumiss sna sisi wanafunzi wa Muthurwa
MaashaAllah yani sheikh umeniliza wallahi, Allah atukutanishe ndani ya firdaus Insha Allah.
Mashaallah ustadh we2 M'Mungu akulnde mahacd wackuone wanapokudhamiria kukufanyia uhacd nyny ndio wa2 muhmu zaid ktk dunia hii
Mashaallah allah akujaalie kila la kher uzidiku2pa mawaidhaa ili 2elimike n cc allah akubarik kwa,kipaji chako nayapend mno mawaidh yko
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nimetumwa hapa na rafiki yanguu kutoka mombasa shukran sana sheikh napenda kuskiza islamic teachings sana am christian
thanks u guys hope i willl be welcomed
Karbu sana
shekh mola akupe mwisho mwema nimeuzunika kwa miak mingi sn nikiwa kijana mdogo ila leo nimepata faraj kutokan naww shukran mola akuongoe kwenye haki
Yarab nijaalie mume mwenye dini mashaallah mawaidha mazur
Mashaallah
Amin yalambir utapatatu
Inshaallah, Allah yuko pamoja nawe
Shehe muhammad. Omary mungu akuhifadh duniani akesho kiama akupe hifadhi njema akukinge na moto wa jahanam
Mashallah mashallah mawaidha mazuri sana Allah akupe kila lenye kher na wew in shaa Allah
Wallahy nakupenda kwa ajili ya Allah nimekutafuta mpka nimekupataa....wallahy ww ni mmoja kati ya mashekhe wanaoniathiri na mawaidha ...Allah akuzidishie...na uendelee kueneza kilma Laa Illaaha Illah Allah....Amiiin....na jamii islam na waso islam Allah awaongozee...Amiiin....shukran Sheikh....ningependaa unijuze kwa kila jmbo la uislam....
Mashaallah shukran jazzak Allah Allah akujaze kila la khery
Alhamdulillah, mawaidha mazuri, "Starehe katika maisha yako "
Ya Allah nijalie Mimi,ndugu zangu pamoja na waislam wote wamchao mungu tuwe na mwisho mwema
Aamiin
Allahumma Amiiiin
Amiiin
Aaamin Insha Allah!
Amiin
Mashallah Allah akujalie heri shekh napenda sana mawaidhayako shekh.
MASHALLAH ust omariiy Allah akujalie barraqa UKO uliko na akupe afya njema. Na akupe kilala kher na ma
Jukum yak INSHA ALLAH AMIIN RABBALA ALLAMIN
Walahi sheikh ,,unatupa ,,,,hope katika maisha yetu
mashallha Mungu akulipe mema shekhe umenikosha sana mi kwa uwezo wa mungu inshaalla lazima nikutafute kwakweli
shekh mashaallh umefanya moyo wangu umejawa nafraha wallah allh akukhifadhi
sheghe wangu kwamara ya kwanza nakusiliza hakika nimepata darasa basi inshalla mungu akupe maisha malefu ameen
MASHA ALLAH ! Shekhe wetu ALLAH akupe UMRI wa HEKRI Amin Amin na
Mashaallah, mawaidha mazur niwajib wetu kuyafuata na kuyafanyia kazi
MashaAllah Sheikh Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu ya dawa In sha Allah.
Wallahi nimepata funzo,Allah akujaze kheri,akuzudishie umri tuzudi kupata ilmu toka kwako sisi ambao hatujafanikiwa kuipata ilmu,Allah anjalie mume mcha mungu kama huyu ama zaidi yake, Takabala Llah minda waminkum.
Mashaallah mashaallah Allah akuzidishie elimu na umri shukran sna ustadh mawaidha mazuri
Mashallah nafrai sana kusikiliza mawaidha mazur aswa Allah akujaalie kila lakheri inshallah
ma Sha Allah ustadh yani nataman niwe mkeo hadi mahar ntakupa
Mashallah sheikh Allah akuzidishie umri uzidi kutuelimisha yarab
mungu akupe ujuzi zaidi pamoja nass pia
Mashallah wallah Allah bless you all day and all the time to uu brother
kiukweli ndgu yangu mohammad nakukubali sana Allah akujaze kila rakheri maneno yako yamenifanya nimche Allah ipasavyo
Rajabu Selemani mashallah vizur zaid
Allah atujalie Aladhina yastamiuna bikaul fayatabiuna Akhassan Allah atujalie wenyekusikiliza nakufanyia kazi
Nanzidi kuomba munguakipenda anijalie mume mwrnyeimaniya dini yakislamu ..inshaallah3
Inshallah Dada ,,,utampata
Hakika zidisha ibada huwezi mpata mchamungu ikiwa wewe c mcha Mungu,Hakika nilikua nafunga,naswali kumuomba mungu anipe mume mwema na kwa hakika kanipa mwema,mcha mungu,mpole wakuniheshimu kwa ajili ya Allah!hakika namshukuru na nazidisha ibada Allah atuongoze katk ibada na kizazi chetu.Kwahyo mpnzi zidisha dua hutoamini mungu anajibu kwa wakati ukimuomba kwa thati.
@@jaliakamote5485 shukuran...kwaushauriwako..ilanajitaidi...kufanyanaatakufungasuna😢😢😢😢..ilasijakatatamaanajuwaipo..sikunitapatatu......lnshaaallah...tupendane kwaajiliya...Allah
@@aishasalimaishasalim1323 Insha Allah!Utapata hitaji la moyo wako mlilie Allah atakupa hakika hawezi kukuacha.
@@jaliakamote5485 inshaallah.
Mumgumkubwa
Masha Allah ya Mohammad Mila akujalie kher
hakika dini yetu haijacha kitu kuhusu mwanadamu na maisha yake , mwanzo nilikuwa na waamini wanasaikolojia ila Sasa sitofanya hivyo tena Qur'an haijacha kitu kabisa Alhamdulilah kuwa muislamu
mashaalla alla akupe killa kheri shekhe umenifundisha kit mhim sana
mashaalla alla akupe killa kheri shekhe umenifundisha kit mhim sana
Allah akuhifadhi nakupenda sana
mashallah mungu akulipe kher mawaidha mazur yanatupa moyo kuwa na subra na kuzid iman yetu mungu atusaidie
mashaallah mung akuzidishie ishaallah na atujaalie mwisho mema
mimi Tangiya nimusikilize huyu Mwalimu Imani ya Ngu ilipanda kuzidi wala siwezi tambusha Siku na sidjamuskiliza , nikiwa na wasiwasi nahangaliya Mawaidha yake ndo yananipa moto! Mwenyezimungu amupe Erimu mulefu kuzidi na Amuezeshe Inshallah ! tunamuomba basi atutiliye Videos zingine Djazakallah khailan
Mashaaa Allah mungu tujalie mwisho mwema😍😍
Ahsnte UST Muhammad Omar Allah akujaalie kila la kheir
jazakallah khair sheikh muhamad
Yarabi tupe imani nyoyozetu tuzidi kushikamana katika dini yako na utujaalie mshikamano wa kweli SHEH MUHAMMAD MUNGU AKUPE AFYA NJEMA UZIDI KUTUELIMISHA INSHA-ALHAH
Mm sio mwisilam Ila nawapenda sana 💞 pia napenda kujiunga na uwislam
Mashaallah mashaallah shukran ya sheikh mungu akulipe pepo kesho
Masha Allah Allah akupe umri mrefu wenye baraka uzidi kutupa dawa
masha Allah Allah akujaalie umli mmrefu na yenye kher ili tufaidike namawaidha namwomba Allah anijaalie mume mwema km uyu kaka aliesoma mchamungu
Allah akujaalie insha Allah
Inshallah
@@zaharanihassan9013 ,,,inshallah atapata
Alhamdulillah nakushukur san shekh Mohamed omar umenifunza nisio yajua jazaqa Allah khar
Mashaallah mungu akupe umri mrefu sheik
Mwalimu mungu akuzidishie umri mrefu uzidi kutufundisha nasis
Allah akuzidishie uzidi kutuzindua awali nilijihisi mkosa vingi kwa nafsi ila kauli zako zimeniamsha nakunifahamisha katika maisha kinachokufika haikuwa kikukose na kinachokukosa haikuwa kikufike Alhamdhulilllah shukran jazilllahhh ....Alllahu jalllah jallllaluhu
Masha'allah
Asina Kassim mambo'mlembo hujambo unaishi wap
masha Allah sheirk wetu mola akupe maisha marefu
Wallhahi shekhe nakupenda kwa ajili ya allha Mungu akuweke kwakweli akupe maisha mema hapa duniani na kesho akhera
Mashaallah
Maa shaa Allah shukran sana shekh Allah akupe umri mrefu wenye manufaa dunani na akhera
Mansha Allah jazzakallahu khairan kwa ujumbe umefika ustadhi Allah akulipe kila lakheri
Kwel
Mashallah mashaallah, Allah akujalie uzidi kutupa dawa,lnshaallah
naiman machoz yang niliyolia leo shekh kwaajil ya ukumbusho huu cntouzunika tena nimeuzunika miak10 leo nimeona rehma za allah nimefika makka nimeomba faraj mwez wa ramadhan mwak jn ila nimejibiwa leo nitalud kumshukul allah pia kumsabah tena mjumbe wake madina inshaallah nilikata tamaa nikiwa kijan leo naumli wa miak26 nimepewa faraj
Maashaa ALLAH, Mwenyezi Mungu akulipe kheri nyingi kulingana na juhudi zako za ku ufikisha ujumbe wa ALLAH kwetu waislamu wenzako. ALLAH akujaalie wewe ka sisi mwisho mwema, aamiin.
Mashaalla mungu akupe husnilhatima njema
nimefel chuo nkawa naskiliza nyimbo znazonitia moyo ila sheik umenifanya nijue quran inatufunza tuckate tamaaa ,,,,asant
har lym mashaallah allah ata kufanyi wepesi inshaallah
Allah akufanyie wepesi usikate tamaa
Qurani imebeba mengi yalopita na yajayo yakila aina,ukitaka faraja basi ndo nyumbni.
Allah akufanyie wepesi
jazzakallah kher sheikh ALLAH hakuongoze vema sheikh wetu
mashanllah hakika kuwa muislam ni bahati kubwa anllah akupe kila la kheri akuepushe na mitihani ya dunia na akhera pia ili tuzidi kupata dawa yako ewe anllah nakuomba nijaalie mm mja wako kunipa mume kama huyu mashanllah
Mashallah sheikh wangu nakupenda kwa ajili ya allah aza wajal
Mashaa Allah mashaa Allah my ALLAH BLESS YOU
Mashaallah allah atuongoze wallah!
Maashaallah Alla atuongoze atupe mwisho mwema Inshaallah pamoja na watoto wetu wote
mashallwah shekel Mohammad Allah akuzidishie kilalakher katikamaisha yako
Allah akupe kila la kheir unataka ktk hii dunia na akhera na masheikh wote in sha Allah lakini nawausia watu wengine msiwavunje mioyo binaadamu ukiona ww unaweza unakaribishwa kutoa mawaidha binaadamu anapenda sana kurudisha wenzao nyuma kwa maneno makali sana ni bora mtu akupige ngumi ya uso kuliko kukutolea maneno makali yanayo umiza moyo. Allah atupe khair wote na atupe mwisho mwema in shaa Allah
Muhimu ni kuchunga aliyo kuamrisha Allah s.w
🙏🙏🙏🙏 asante kwa aya mawaidha mazur
Mashallah Allah akuzidishie kheri kwa mawaidhwa mazuri
Jazak Allah kheir,shukran ustadh
wapo viumbe wamepewa majina kama ya mtume, na wanayatendea haki, Allah ampe shufaa
siwezi kumwita binadamu bosi hata siku moja hajamiliki bingu na aridhi yy si bosi ni tajiri utajiri wenyewe kapewa na mungu ndio bosi shekhe hapo umekosea
lakini mawaidha yako yanipa furaha
Masha Allah mawaidha mazuri wallah asante kwa kutuongoza
Ma shaa Allah Allah atujaalie tuwe miongon mwa waja wema ustadh mada nzur naipenda sana
Alhamdulillah sheikh umenielimisha Allah akupe maisha marefu akufanyie wepesi kwa Kila jambo
Mafunzo ya huyu kaka yananifanya nifanye uamuzi nifuate Islam
Allah akbar
Tome Makwae karibu
Karibu katika dini ya kweli na yenye malipo kwa Allah ....ndugu ushamapa maelekezo ya kuingia katika dini yetu ?
Dini ya haki mbele ya Allah ni uislamu
Allah Akbar
Mashaaaallah allah namuomba azidi kukupa maisha mrefu na yenye kheri ndani yake huduma katk kazi yake allah ...
Mashallah mashallah mawaidha sahihi yasisimua ..Inshallah tuta twiih yarabi atuongoze na tutubie tuifanye toba natu ikinai dunia ...Ya RABI Tujalie mwisho mwema
Asc
Kila la kher sheikh wetu mungu akupe mwisho mwema inshaallah
نسال الله تعالى اي يجعل اعمالك خالصة لوجهه. احبك فى الله
Wallah sichoki kumsikiliza na kila nikimsikiliza najisikia iman inazidi Alhamdulillah Allah ajuzidie kila lakheri shekhe wetu mashallah
Istamtikh bihayatakh.. Naam sadakha tun'jaria hiyo umetupa sheghe.. Takbiiiiiirrr
Inshaallah mada nzuri sanaaaaa
masha Allah nataman ningekuwa mkeo ninaiman ningefaidika zaidi na diin ya Allah in shaa Allah, Allah akufanyie wepes
Aisha Abdion Hahahaaaaaaa
Aisha Abdion ...Allah akupe kama huyo.
Aisha Abdion lll,,,,l.
Allah akipa kama huyu au zaidi ya huyu
Abdu m salehe mawaiza mazuri sana mungu akulipe badala yake
Sheikh Mohammed mungu mwenyewe uwezo wote akulipe wema wako
Yani sichoki kusikiliza mawaidhayako....mungu azidi kukupa moyowaurumanakuitendea akidini yakislamu ..inshaallah...
Walahi Dada ,,pia Mimi nampenda huyu sheikh wetu mungu amweke jannah
2023 nipo napata iyi one of my favorite videos on TH-cam nikiwa niko mu hardship hua naskiliza haya mawaidha Allah atupe mwisho mwema 🙏🏾
Mashaallah....mola atujalie istiqama maishani
Allah atuongoe katka kheri.Jazaaka llahu khayra Allah akujaalie mwisho mwema ewe Muhammad Umar.
Mnyamwezi Msomali
طيب الله انفاسكم
Wallai haya mawaidha c choki kusikiza na kuangalia Alhamdhulilah nimepata faida
😢😢SUBHAAN'ALLAH 💔
🙏🙏ALHAMDULILLAH 💖🌹
😢ALLAH AKBAR☝
MASHA' ALLAH✋✋🌹
alihamdulillahi
Mungu akuzidishie kheri
Mashaallah Mashaallah Allah akupe umri mlefu wenye afya tele na utulivu
mashaallah laillah haillah anta Inny kunta minadwalimin Inny istamsah bihayatic shukaaraan for good mawaidhah
Natamani kijana huyu awe mkwe wangu
Subhanallah 46:50....sautii mashallah..Allah akuzidishieee....Amiiin....ningependaa nikuskieee ukusoma Quran...
Jamani mungu akuzidishie shekhe ukitoa dawa mimi natamani usimalizeupesi sichoki kukusikiliza
mashaallah Allah akujaalie kila lililo na kher
Ma- sha-Allah!
Masha allah tabaraka allh shiikhuna allah yaxfidag akhuuna