Abdukiba Afunguka kukutana na Diamond Platnumz Nyumbani kwake na Ku-Party pamoja - Part 2
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ก.พ. 2024
- Tazama full interview ya Abdukiba, Afunguka kukutana na Diamond nyumbani kwake, Amuongelea Zuchu na ishu kibao!
Subscribe, Like, Comment & Share! - บันเทิง
KAMA UNAAMINI MONDI NA KIBA HAWANA NOMA ILA NI BIASHARA TU LIKE HAPA
Namkubali abdukiba
Itifaki imezigatiwa sana, safi sana kma ilivyopigwa sumu af upo pale mbna mpango mzima
Nafarijika Sana kuskiza interview za Lilommy. Big up Sana
Unyama sana
Ameongea point San 😂😂😂❤❤
❤❤❤
Waooooooo
Oya kiro safi singo
Safi sana
Jama kasomea❤❤❤❤
Makini Wajna
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Singer
MONDI.. hazi kolabo na ABDU ila ata mpa shavu la kufanya na msaniii yoyote alie wcb ambae yuko iti ili wacheki upepo
Santos ndio nani tena mbona diamond kila siku ana ndugu wapya et n mdg ake😂😂
Iddy Santos
@@mosesjnr8436 aah nimekupata
Mwenyewe limenichanganya sana huyu Santos ni kama kabeba urahisi wa yeye kwenda pale ni bora angeelezewa kidogo
Santos ni mdogo wake Ricardo momo
Next week tuletee Zuchu...😢
Unyama sana