Nimeurudia mara tatu baba levo umetisha sana tangu K TOWN PEOPLE. TUNAOMBA UTUPIE ILE NGOMA YAKO YA KITAMBO . WEWE NI MREMBO WAMEKUFANANISHA NA SHANI. OBIDII NA GAZI
Watanzania sijui tumerogwa na nani, nyimbo Kali kama hii ina views laki tatu afu kaangalie ya amaboko, ngoma mbovu ina maviews yote, tujifunze kusapoti vitu vizuri,
This beat will rock Sana endapo tu club za hapa #QATAR zikifunguliwa... I will make sure this Dude anakuja hapa Insha'allah... Kazi zake zote sio za kitoto.
kudadadadadadekiiiiiiiiiii. this is more than a movieeeeeeee Nanilivyojaa kama Benjaminimkapa hahahhahahahaaaaaaa Hatari fireeee K-town Kigoma ni Noumaaaaa Home
Nimirudia kutazama kama mala 10 nikiwa msumbiji cabo delgado mocimboa da praia kwenye vita. .aha iyi ngoma ni kali. nikisikia mlio wa bunduki tu nacheki mzigo.yaniv low.kigoma iyo umitisha sana babav levo adi nasahu corona virus na vita uku kwetuv ubanguni nani anaefuata na ngoma kali kama iyi anitowe setres
Hivi hawa ama dislike huwa wanageuza simu juu chini wakijuwa wame-like au ndio wazee kubonyeza kujuwa kuwa hawahuwi wanacho kifanya.... Hii ngoma Kali bhan
Kgmaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kma kigomaaaaaaaaaaaaa duuuuuu l see u come back my brother respect respect piga keleeeeeleeeeee Kwa roow yaaaakeeeeee diwani wetu wa kgmaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa moo town bb l like kgmaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa is my town thanks you BBA levo kueweka bendela la kgmaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
naaminigi sana uwezo wako bro hili bongo la ngoma beat na mistari ipo mia mia achilia video ndio balaa kaka enheheheheeeeee your sign keep it up bro Kigoma stand up
...kaka hiki kitu ni balaa, hakuna maneno mazuri kuelezea jinsi gani huu wimbo ni international standard. Keep the good music up....hatujari youtube viewership ni ngapi sisi tunajari kitu kizuri basi. #babalevo #legend
Chuma ya moto saaana baba levo fundi achia like ipenye
Sikutegemea Kama uyu DIWANI Angetoa dude kali Kama ili big up saana nimependa ubunifu Wake💥🔥🔥🙏
nyimbo nzuri sana
utakua humjui tuulize cc enz hiz anatamba
Shikamoo director, editor, coulorister, designer, location manager na Baba levo haki mmeitendea haki. Filing, mood and props 💯
Hii ngoma has all values kupenetrate into international market.
Wimbo mkubwa sana aseee, who else anauskiliza this time
Nimeurudia mara tatu baba levo umetisha sana tangu K TOWN PEOPLE. TUNAOMBA UTUPIE ILE NGOMA YAKO YA KITAMBO . WEWE NI MREMBO WAMEKUFANANISHA NA SHANI. OBIDII NA GAZI
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾Yale ma movie nayapendaga ndo hayaaaaaa safi sana baba level
Umejuaje mkuu
mnyonge mnyongeni ila kwa goma hili tawireeee babaaaaa!.....
Pepelusha bendera ya kigoma kaka nimekubali kazi yako baba levo wana mlio kubali ngoma hii usipite bila ku like
Kama umesikia baba levo kasema...
"Ninaweza kuimba pombe na wote mkalewa" like apa... Pamoja Sana baba levo chuma liko poa Sana
Baba levo hili goma ndio umedhihirisha uwezo wako asee ....video Kali sana na sikutegemea idea ya hii video ulivyouwa
M amenifanyia maajabu sikufikiria kama video itakua iv
Wangapi wameirudia hii nyimbo
Salehe Mfuchu hii ngoma nairudia mara ya 9 hii, nahisi inastahili kuwa na views hata 200k plus mpaka muda huu
Mimi mara tatu
10+ times
mm apa ata ckumbuk mala ngap
Mm
Hata niimbe kwaya................. #Kali sanaaaaaa
Kama umesikia kamtaja mkapa kwenye hii nyimbo Gonga like kumuenzi MKAPA
From Canada first one kuone hii Quarantine days a k a corona virus nani mwengine like twende saaaaw🔥🔥🔥
Tizama filamu ya .......... Bonyeza hapa👇
th-cam.com/video/KgZtEBi6WI0/w-d-xo.html
Dj B2k Zer0 from Canada 🇨🇦 Montreal Quantine kwenda mbele 😂😂😂🦠🦠
Fils Lt 😁😁😁🙌🏾🙌🏾🙌🏾
hii ngoma Kali jmnnn fanya kusubscribe kwa bba levo bac apate vwerz wengi afke ata 1M nyimbo zake ni kali
Tayari mmesamehewa maombi nimewaombea nimependa sana hiiiii # baba levo k town
Haposawa Babalevo nakukubali mbona sanatu 👍👊
ninaumri wa miaka 32 tangu nazaliwa sijawahi kumsikiliza baba levo nikamuelewa ila kwa goma hili lilivyokali nishakuwa shabiki yake
Baba Revo ni mnyama mbayaaa...hii miondoko huwa ndo yake. Kuna moja ile pia inaitwa wamenichokoza...nayo ni nyokoooooo!
Hii ngoma kama ile wanyee nmekubali baba levo another level ktown
hatarii cn king wa making xx naona kalud kwa kishindo duu
Namim naomba mnisain mashabiki wa baba levo nimekuja ileile aise kuna madude konk kinyama duh
Sijawahi kucomment ila leo duuuu Jamaa katisha sana hvi ndo tunataka wabongo wawe kweny music bhan nakubali Baba Revo bigupp broo
Watanzania sijui tumerogwa na nani, nyimbo Kali kama hii ina views laki tatu afu kaangalie ya amaboko, ngoma mbovu ina maviews yote, tujifunze kusapoti vitu vizuri,
Nadhani hii ni miongoni mwa ngoma bora kabisa
salute bro hiki ndo tulichokuwa tunakumiss sana toka kwako🔥🔥
Tizama filamu ya .......... Bonyeza hapa👇
th-cam.com/video/KgZtEBi6WI0/w-d-xo.html
pascodee official musiufuate nyayo ya Tembo ni atali sana
Kama unampenda baba levo....naomba like tujuane ....💯
Nice
Reyvyn
Yeah
Baba levo natamani Usajiliwe Kings music broo bdo wewe uko juu king kiba naombebi likes zenu
Nilichogundua hapa #highJamaaAnapandaLoooowAnacooldown safi sana babaLevo hili goma uliandika na kufikiri vyema 👮👮👮
This beat will rock Sana endapo tu club za hapa #QATAR zikifunguliwa... I will make sure this Dude anakuja hapa Insha'allah... Kazi zake zote sio za kitoto.
kudadadadadadekiiiiiiiiiii. this is more than a movieeeeeeee
Nanilivyojaa kama Benjaminimkapa
hahahhahahahaaaaaaa
Hatari fireeee
K-town Kigoma ni Noumaaaaa
Home
Goma Kali sana
Tizama filamu ya .......... Bonyeza hapa👇
th-cam.com/video/KgZtEBi6WI0/w-d-xo.html
Nimirudia kutazama kama mala 10 nikiwa msumbiji cabo delgado mocimboa da praia kwenye vita. .aha iyi ngoma ni kali. nikisikia mlio wa bunduki tu nacheki mzigo.yaniv low.kigoma iyo umitisha sana babav levo adi nasahu corona virus na vita uku kwetuv ubanguni nani anaefuata na ngoma kali kama iyi anitowe setres
Aiseee hii imenitoa machozi ya furaha imenikumbusha mkali wetu k-town baba levo karudi! Yaani nimeshare nimecomment na nimelike hatareeeeeeeee!!!!!
nisiwe mnafiq,,,,,huu ndio wimbo wangu bora kutoka kwa babableovo,,,umeuwa kwanzia punching,,floo,,mistari hadi vedio umetisha Sana💪💪💪
Gonga like hapa kwa baba levo..
Baba levo wewe ni jini unajua sana aisee jini la kigoma unatisha kwa hapa mtu hachomoki tishaaaaaaaa
Daaaah kiukwl kama unaskiza hii ngoma bila kuambia alieimba uwez jua kama kuna mtanzania kutoka kigoma ndo kafanya huu unyama big up diwani
Baba la baba ndo habali ya mjini kama unamkubali baba levo kama mimi Gonga like twende sawa
wangapi wanasema tuwekewe behind the scene ya hili movie ?
Ila hii nyimbo iliimbwa ingekuwa imeimbwa na Mmarekani nadhani ingeuzaaa sana tena sana kama ingepigwa huko marekani
OI oi oii,sasa baba levo umeanza kufanya music na si music but international music ,good step
Kigoma stand up ,like here if your kigomanian.
🤣🤣🤣kingereza
Baba levo umeuaaaaa
Tizama filamu ya .......... Bonyeza hapa👇
th-cam.com/video/KgZtEBi6WI0/w-d-xo.html
Sio muhan🤣🤣🤣
Nataftiza kosa la hili dubwana
Lyrics 👍
Video 👍
Beat 👍
Baba levo good song polisi nawamaidiii Sana Hiyo Sehem Umetisha Sana Pamoja siiiii wanafanya Kaziiiii kwa sifa
Mwamba umeua sana rapa bora Tz kutoka kigoma town.
D 1, beat imetendewa haki, KIGOMA stand up🙌🙌
Who else is here to listen this unique vibe in the end of 2020. Hit like as many time as you can. Love from Mombasa
Baba mwenye levo zake hii ngoma nimeilewa sana mzee baba mpk mb zangu namalizia kwa hii ngoma
Mashaallah babalevo unajitahidi ila tatizo nyota tuu ila unajuwa best wngu
From Canada like here watu wakigoma tujuane
KIGOMA nowmaaa
Tupo wachu
tupo
Tupoooooooooo
From Toronto covid19 stay home/low!
Umestahili like... Ningekua naweza kutoa zaidi ya moja ninge kupa
Dah Baba Levo umerudi aisee!!! yaani naangalia hii mara ya 20
Kali sanaaaaa
Atakaye Sema Ngoma Sio Nzur Bac K ya Mama yake,
K Town🔥
Kweli kbx ngoma kali sana
Tena K ya mama yake na Bibi yake
@@eliackimsimon1890 😁😁😁
😁😁😁
@@makulesamson4968 Kunawatu Wameretwa Dunian kwaajir ya kukosoa
Kiwe kizur kiwe kibaya wao Nikukosoa2
Hivi hawa ama dislike huwa wanageuza simu juu chini wakijuwa wame-like au ndio wazee kubonyeza kujuwa kuwa hawahuwi wanacho kifanya.... Hii ngoma Kali bhan
Sikujua kama ili ngoma ni la baba levoo..... umeuaa💥💥💥💥
Mh ... Jaman hii nyimbo inaweza tumika kutolea mimba 🙆
Hahaha sure brah
Munakuwa sana
Uwiiii Vincent nkwazi😂😁😂😂
😂😂
🤣😅
Best 2020 Hip Hop Song by far!!! Masterclass
Mwanangu mwenye wa msufini baba levo.. Kiwashe mzeya..
Mamaa,baba levoo shikamooo,umetishaaa
From Qatar first one kuona hii ngoma high na low
Mzee baba umetisha yaaani mambo ni moto mh
Hujawahi toa ngoma kali kama hii nii 🔥🔥🔥💪💯%
🔥🔥🔥🔥🔥 ngoma kali sanaa mwamba ana weza sanaa
Nairudia tu masikion mwangu wallah tamu kinyamaaaaaaaaaa
Kigoma hatok falaaaa mamaeee
Huwiiiiiiii!!!! Kama inakupa mizuka hii ngoma like zangu tafadhali
Ni ngoma flani inayoamusha ubongo salute kwa Babá levo
Respect diwan hii kitu ziunganishe video za bongo na Kenya na Uganda na south yote ila hawafikii hili move 🔥🔥🔥🔥ni ujazo wa high na low 💪
Corona imekutana na baba la baba 🔥🔥🔥💥
Kumbe ili ngese linajua eeh 😂😂😂
Heheheheeeee
Haki ya Mungu siwapendi ..... Baba Levo
Umetishaaaaa baba levo umefanya masikio na macho yapge salut 👏👏👏
Kgmaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kma kigomaaaaaaaaaaaaa duuuuuu l see u come back my brother respect respect piga keleeeeeleeeeee Kwa roow yaaaakeeeeee diwani wetu wa kgmaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa moo town bb l like kgmaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa is my town thanks you BBA levo kueweka bendela la kgmaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Sio mpenzi wa nyimbo za bongo lakini kwa hii nimeielewa Sana tusaport nyimbo za harakati zinatufanya tukaze
Hizi salute zinatonea longstreet capetown,baba level unetisha sana mzee pia salute kwa DIRECTOR hanscana video kali kajitahid sana
Brow mm remo skynar kutoka k.town msan wa hip hop Ngoma yang pamban, kaz nzr sn. hapo ndio mahal pako salute sn kigoma mbele
Kigoma bendera ipepeee,kwa brother baba levo
Ni 💥💥💥
Huyu jamaa simkubali Ila huu wimbo ni wa moto Sana!!!
Baba hiiiiiii video oyooooo ni noma hiyoooo ulivyopta kwa beat Hawa, sema shida n moja unatufokea sana, aaah usifoke
Baba Level we ni #highLevel! #Bongeladude, bonge la video! Kaza usipotee! Napenda high spirit yako! #powerful😉💪👍👌
Kama umekubalii hi ngoma gonga like na comments twende saw
Huyu jamaa kaja na ujio mpya.. recovery of Baba Level
Huyu ndo baba levo (OBi D) tunaemjua since kigoma
Hili dude du! yaani nashindwa nilizungumzieje lakini hili ni dude lakimataifa
Na laizima tulitendee vyema kwa ku view kwa sana
Guys huu wimbo mzur...location, lyrics,video imekaa poa...imepangiliwa.....tuzo ipewe🇹🇿♥️
Baba level umejitahidi sana kwenye hii ngoma duh umekuja kivingine kaza Brother uwezo unao.
Amesema wanjanja wachache wataelewa na kweli tupo wachache walioelewa hili goma... 💣💥🔥
jamani ebu like ngoma ifike tunapo takaaa by team baba levo
So more impression
Goma n nouuuuuuuuuuuumah san mzazi anavunja Kuban
🦅🦅🦅🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥 good music and a hit one babale big up brother hii kubwa sana kuliko
Bonge la ngoma hii kubwa sana D moko lazima iweke historia ya maisha yako
Baba Levo basi kaka, tuonee huruma🙏 Limepigwa juzi bar ya mbagala kulikua na fujo mpaka watu wakapigana kisa wanataka irudiwe
Hip Hop imebaki kwa Baba Leo,
From cape Town south Africa 🇿🇦 wayneberg 2020 moto kwa Baba levo High and Low
Baba levo naota au nasinzia. Ngoja ya Jo makini angekaa umo Daaaaa hatari 2020
Hapa umeeleweka baba la babaaaaaa
naaminigi sana uwezo wako bro hili bongo la ngoma beat na mistari ipo mia mia achilia video ndio balaa kaka enheheheheeeeee your sign keep it up bro Kigoma stand up
This song deserves 100M views, ni vile tu fans wa tz washamba
Daaah ,mwanangu toka nimekufahamu hili Ndio dude lako la kwanza kupenya kwenye ubongo wangu
Dahh. Unatisha baba levo. Kumbe kigoma tuna kila kitu cha kujivunia. Big up sana
Imekaa poa mwanangu, Love from Bantu Bwoy+257,🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Baba levoo weeee my best interview comedian 🔥🔥🔥🔥🔥
Baba levo hii ndo ngoma ambazo zinatakiwa kwako yan Fire fieee
Baba Kevoooo aisee we ni mkali kamandA wangu kamua aaaaaaah
Sasa leo ndo nimegundua hii nyimbo aisee nimeiangalia hi nyimbo na ya 2pac ile calfonia love nimegundua kitu
...kaka hiki kitu ni balaa, hakuna maneno mazuri kuelezea jinsi gani huu wimbo ni international standard. Keep the good music up....hatujari youtube viewership ni ngapi sisi tunajari kitu kizuri basi. #babalevo #legend
As long aso
Nimekuja hapa baada ya B levo baba kutoa tathmin ya watu mbalmbal 2023 December 😂😂