RADDI YA 03 KWA YUSUF DIWANI MKUFURISHAJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @SIMAIHAJI
    @SIMAIHAJI 3 หลายเดือนก่อน +1

    assalam alaikum ndungu yangu yussuf diwan baada ya ukumbusho ni kuleta stighifar wala si kuleta kibri wala jeuri nasaha zangu chukua taaluma kwa huyu shekh na uifanyie kazi.ahsante.

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shekhe wetu Mohamed isghaka sisi wenye akiri tunakuwelewa vizuri sana

  • @user-hd3pi3bc9v
    @user-hd3pi3bc9v 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yusuf diwan na doctor Sule pamoja na genge lao ni Wapiga ramli makuhani wachawi wanamsirkisha ALLAHU na dini wameifanya kichaka cha kuficha Madudu yao ndio maana hawaoni tabu kuuchafua Uislamu na Masheikh bila ya kujali ALLAHU akurejesheni ktk haqqi na kama si wenye kuongoka waangamize na wasiendelee kuwapoteza waislamu wengine In'shaa ALLAHU.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 หลายเดือนก่อน +3

    SHEIKH MUHAMMAD IS'HAAQ AMEKUWA MWIBA MKALI KWA WATU WA BID'A!
    ALLAH AKUHIFADWI

  • @Jumaamsagaty
    @Jumaamsagaty 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yusufu diwani ww baki tu kwenye uganga hizi sio fani zako

  • @yangayanga1553
    @yangayanga1553 3 หลายเดือนก่อน +1

    Diwani Mganga wa Tunguli ndio hao akina sele wanafuga misukule Eti anatia Irab kulikua na Haja Gani ya kutia Irab hapo kwani upo Darasani kwa Ujiti

  • @user-lz3cc1pe6x
    @user-lz3cc1pe6x 3 หลายเดือนก่อน +1

    YUSUF NI MJINGA ARUD ASOME TENA HAJUI DINI HATA KIDOGO

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sufi Yusuf Diwani mpiga Ramli

  • @user-xi4le1hp4y
    @user-xi4le1hp4y 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tujue nyinyi masufi wakina Diwani na mashia ngoma ni drow? mbona hatuwaelewi? ni uisilamu upi huo wa kiuganga uganga mnao ufundisha?

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 หลายเดือนก่อน +4

    masufi wapiga ramli hawawezi kupambana na watu wa tawheed,watu wa SUNNAH hawapigi ramli wala kufuga MAJINI!!

    • @darajanida
      @darajanida 3 หลายเดือนก่อน

      watu wa suna ni nan mawahabi au inalilah wainna ilaih rajiun msiba

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 3 หลายเดือนก่อน +1

    Waganga wa kishirikina nishida sana kukubali Haqqi.
    Yani Diwani bado tu unawaza.............
    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
    Waislamu musipokua makini na hawa waganga wanao tuchafulia Dini yetu, nanyi mtakua mateka kwa hawa waganga kama walivyokua mateka baadhi ya juhalaa

  • @user-ug8hc4yh5k
    @user-ug8hc4yh5k 3 หลายเดือนก่อน +3

    Uyu mganga wa kienyeji mpinga vipande Yusuf diwani hana la kusema ni porojo tu basi

  • @KAIPAAA3211
    @KAIPAAA3211 3 หลายเดือนก่อน

    Wapumbavu wamitandaon nyie upumbavu kira chiz anachambulia mwezie upumbavu t

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 3 หลายเดือนก่อน +2

    A. Aleikum
    Jamaa bado hamjagundua masufi na mashia ni wamoja mfano hai ndio huu sasa twauona, kule Dajjal shaffii Basalim anangangana kumkufurisha mwana wa chuoni mkubwa Ibnu Taymiya na huku nako Sufi mshirikina Yusuf diwani nae anajaribu kumkufurisha mwana wa chuoni na mwanafunzi wa Ibnu Taymia Mohammed ibnu Abdul WAHAB.Je hamuwaoni hawa??. wanacho kifanya Wallahi kinatukata maini sisi watu wa sunna.

  • @abakibibi9917
    @abakibibi9917 3 หลายเดือนก่อน +1

    WATU WA BIDA'A NDIO ZAO HAWAKAI KWENYE MADA SIKILIZA MADA YA MAULID MARA WASEMA MAULID NI KUMSIFU MTUME (S A W) UKIWABANA UTASIKIA TWAMSWALIA

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 หลายเดือนก่อน +3

    Yusufu Diwqn inamchanganya maneno tu hayı ya tawheed
    Lkn angesoma Suratu Faatıha tayr ameshaingia ndan ya tawheed 3.
    😅😅😅😅😅 Sufi uwezo wa kusoma kitu bado
    Tatizo wao ni porojooo nying mnoo tatzoo hilo!

    • @user-vl8ks7ps6l
      @user-vl8ks7ps6l 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hadith gani ya Mtume au ni Hadith ipi alqudusiy duuh Allah s.w atudumishe kwenye njia ya sawa suratul fatha = tawheed 3

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-vl8ks7ps6l
      Mashia na masufi kazi yenu kupinga Quraani.
      Allah kawarekebisha ndani ya Quraani bado haujaridhika basi bakia kua Kafiri Ambae kukubaliana na kua
      1. Allah ndo Mmiliki wa viumbe vyote.
      2. Allah ndo anastahiki kuabudiwa peke yake.
      3. Allah ana majina mazuri ambayo Tunaweza kumuomba kupitia majina hayo.
      Pinga sasa Kama wewe Kafiri kwamba haifai Allah kuabudiwa au kuitakidi kua ni mlezi wa viumbe vyote au Allah hana majina mazuri matukufu.
      Pinga hayo Tukujue wewe ni Kafiri

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 3 หลายเดือนก่อน

      ​@user-vl8ks7ps6l
      Mashia na masufi kazi yenu kupinga Quraani.
      Allah kawarekebisha ndani ya Quraani bado haujaridhika basi bakia kua Kafiri Ambae kukubaliana na kua
      1. Allah ndo Mmiliki wa viumbe vyote.
      2. Allah ndo anastahiki kuabudiwa peke yake.
      3. Allah ana majina mazuri ambayo Tunaweza kumuomba kupitia majina hayo.
      Pinga sasa Kama wewe Kafiri kwamba haifai Allah kuabudiwa au kuitakidi kua ni mlezi wa viumbe vyote au Allah hana majina mazuri matukufu.
      Pinga hayo Tukujue wewe ni Kafiri .

    • @SaidMadai
      @SaidMadai 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@giltaemi4017 mbona mtume n makhalifa waongofu hawakuiyona hii y tauhid tatu mtwambie mliipokea kw nani ata km mna hadithi dhwaifu hem tuekeeni y kusibitisha huu ukafiri ndan y uislam

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor 3 หลายเดือนก่อน

    Hatungoji ameshatufahamisha na tumefahamu na wewe pia umefahamu ila umejizima data

  • @JabirBakar-ys8dw
    @JabirBakar-ys8dw 3 หลายเดือนก่อน

    Shahaba gani alisethibitisha hilo

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani Quraani wewe huamini maneno ya Allah.
      Ina maana Maswahaba kwa akili yako hawaijui aya hiii.
      Au na wewe ni shia ambao wanapinga mpaka maneno Quraani tuambie ili tukujue kua na wewe ni mshirikina Kafiri.
      Makafiri wa zama za mtume ndo waliona Allah na Arrahman Mi Miungu wawili tofauti au na wewe ni unaona hivyo ili tujue kizazi cha makafiri wa zama zile bado kinaendelea mpaka sasa.

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw 3 หลายเดือนก่อน

      @@giltaemi4017 nani kafundisha hayo maneno kuanzia allah mpaka maswahaba ?

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 3 หลายเดือนก่อน

      @@JabirBakar-ys8dw
      Kafundisha الله ndan ya القران الكريم

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 3 หลายเดือนก่อน

      @@JabirBakar-ys8dw { قُلِ ٱدۡعُوا۟ ٱللَّهَ أَوِ ٱدۡعُوا۟ ٱلرَّحۡمَـٰنَۖ أَیࣰّا مَّا تَدۡعُوا۟ فَلَهُ ٱلۡأَسۡمَاۤءُ ٱلۡحُسۡنَىٰۚ وَلَا تَجۡهَرۡ بِصَلَاتِكَ وَلَا تُخَافِتۡ بِهَا وَٱبۡتَغِ بَیۡنَ ذَ ٰ⁠لِكَ سَبِیلࣰا }
      [Surah Al-Isrāʾ: 110]
      Ushahidi huo hapo kataa kama hautaki tujue kua Na wewe ni walewale من الكافرون

  • @darajanida
    @darajanida 3 หลายเดือนก่อน

    nikweli mzee huna radhi za shekh wako kasema yeye mwnyewe shekh muhammd bn ayyub na utateseka sana

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 3 หลายเดือนก่อน

      Alikwambia ww au unatunga tu utajaambiwa uthibitishe siku ya qiyama sjui utasemaje

    • @darajanida
      @darajanida 3 หลายเดือนก่อน

      fuwatilia vedeo za shekh muhammad ayyub utaona akilizungumza hilo

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 3 หลายเดือนก่อน

      We mzee hoja si kuita tawhidi tatu hajafundisha ALLAH hajafundisha MTUME(S.A.W)hawajafundisha MASWAHABA je itakua ni dini ? na kwa vigezo gani ? na nani kafundisha ?

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 3 หลายเดือนก่อน

      @@darajanida nitafutie ww unitumie mm sijawahi kuona nataka uniletee moja tu sheikh Muhammad Ayubu akisema sinaradhi na Sheikh Muhammad Is haqa

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 3 หลายเดือนก่อน

      @@darajanida nitafutie ww unitumie mm sijawahi kuona nataka uniletee moja tu sheikh Muhammad Ayubu akisema sinaradhi na Sheikh Muhammad Is haqa

  • @SaleheKhamis
    @SaleheKhamis 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee hajasoma acheka tu

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 3 หลายเดือนก่อน

      ​@user-vl8ks7ps6l
      Mashia na masufi kazi yenu kupinga Quraani.
      Allah kawarekebisha ndani ya Quraani bado haujaridhika basi bakia kua Kafiri Ambae kukubaliana na kua
      1. Allah ndo Mmiliki wa viumbe vyote.
      2. Allah ndo anastahiki kuabudiwa peke yake.
      3. Allah ana majina mazuri ambayo Tunaweza kumuomba kupitia majina hayo.
      Pinga sasa Kama wewe Kafiri kwamba haifai Allah kuabudiwa au kuitakidi kua ni mlezi wa viumbe vyote au Allah hana majina mazuri matukufu.
      Pinga hayo Tukujue wewe ni Kafiri.
      Na kama yeye kucheka wewe ni kero basi wewe Lia sasa

  • @SaidIssa-tq3yv
    @SaidIssa-tq3yv 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wacha ujinga we mzee Muhammad abdulwahab alikuwa ni kibaraka wa mngereza kule Hijaz yy na abdulaziz saud . Usiwafanye watukufu katika uislamu ni wanasiasa tuu . Vibaraka wa wakoloni wa mngereza.
    Parts of Zionist.1935-2024.