nimeanza kukuelewa mdogo wngu nyanza moja... njoo na polisi kirumba walimkamata mdogo wngu akitoka kununua vocha dukani wkampakia kwenye cruiser wakaanza kumwekea mirungi ilikua shida Sana mpka akapimwa medical research.
Picha ulioiweka na video ni tofauti ,nafkiri lengo lilikuwa nikutaka kuvutia watu wafungue video ili blog ipate umaarufu.Lakini matokeo yake unajiharibia sio kila mtu anapenda kuvutiwa na habari kwa heading za uongo matokeo yake tuna unsubscribe na tuna subscribe channel zingine zenye ukweli.Badilika channel zipo nyingi watu wanataka ukweli
Safi sana mheshimiwa RC mimi nakupongeza Sana kwa kazi nzuri na ubarikiwe sana
Big up makonda
Dar mmepata RC kichwa Mimi binafsi ninamkubali sana makonda kwa bidii yake ya kazi
Asante makonda dar itanyooka tu piga kazi baba
safi sana
Makonda nakupenda saaaaaaaaaaaana. Zaidi yasana na Mheshimiwa Magufuli. Nawapenda saaana maana hampendagi kiki.
mkuu wa mkoa bora anaejituma
Safi sana
Kwa kweli ma RC Wote Tanzania wangekuwa kama Makonda ingependeza sana daaah. Pambana aisee
Hizi pikipiki ziko bomba sana
nimeanza kukuelewa mdogo wngu nyanza moja... njoo na polisi kirumba walimkamata mdogo wngu akitoka kununua vocha dukani wkampakia kwenye cruiser wakaanza kumwekea mirungi ilikua shida Sana mpka akapimwa medical research.
Nakuamini Mkuu wa mkoa piga kazi
Picha ulioiweka na video ni tofauti ,nafkiri lengo lilikuwa nikutaka kuvutia watu wafungue video ili blog ipate umaarufu.Lakini matokeo yake unajiharibia sio kila mtu anapenda kuvutiwa na habari kwa heading za uongo matokeo yake tuna unsubscribe na tuna subscribe channel zingine zenye ukweli.Badilika channel zipo nyingi watu wanataka ukweli
shikamoo kaka,,,we ni kichwa,,,wanyooshe haooo...hahahahaha
jembe la kazi
Ameanza tena madawa ya kulevya
haujapenda?...wacha paul afanye kazi wewe,,,
jembeeeee iloooooooooo
Hizo pkpk ningepata 1
My FP
Mkuu Wa mkoa jembe letu
Dah axante allah mwongoze uyu kiumbe acmame kwny hak na ukwl acwe kigeu geu km Viongoz wengne*
cm GOP lip
n are