Mimi nawashangaa mnaolalama ama Mbowe ama Lisu kupata uenyekiti nje ya uchaguzi.(Kutaka mmojawapo asigombee)Hivi kwa nini tusiache tu wakagombea wote tukasubiri mshindi?Kutakuwa na raha gani kuwa na kiongozi ambae hajachaguliwa. 1:04 Nafikiri huu mnyukano wa timu Lisu na timu Mbowe upo ki maslahi binafsi ya wapambe na si ya CDM kwani haukitakii mema chama.
Nyerere aliwaogopa Sana kuwapa madaraka wachaga matokeo tunayaona eti Chama chake hivi alikianzisha yeye Je Kesho akifa na Chama kife???ulafi na uroho unamsumbua
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Niunge
Mbowe must goo we need New challenge from another leadership team 3:41
Chadema kwishaaaa
Hakuna jpya
Mlitukana sana mm samiya sasa liana inawarudia chadema
Hakuna kuondoka acha aingie uchaguzi bwana si mnadai demokrasia jaman?
MBOWE MAAMUZI MAZURI MWENYEZI MUNGU AKUTANGULIE
Chairman kwisha
Et pamoja na joto nzima la uchaguzi kesi ya mweshimiwa Lissu huko Ulaya imefika wapi?
Luba aika eli mbowe
Mimi nawashangaa mnaolalama ama Mbowe ama Lisu kupata uenyekiti nje ya uchaguzi.(Kutaka mmojawapo asigombee)Hivi kwa nini tusiache tu wakagombea wote tukasubiri mshindi?Kutakuwa na raha gani kuwa na kiongozi ambae hajachaguliwa. 1:04
Nafikiri huu mnyukano wa timu Lisu na timu Mbowe upo ki maslahi binafsi ya wapambe na si ya CDM kwani haukitakii mema chama.
Asad
Mbowe no mrafi achie madaraka
Nyerere aliwaogopa Sana kuwapa madaraka wachaga matokeo tunayaona eti Chama chake hivi alikianzisha yeye Je Kesho akifa na Chama kife???ulafi na uroho unamsumbua
Mbowe wewe ndio tunakuelewa.uyo mwenye urahia wa nchi mbili aende tu ACT wazalendo.masikini hao watakuja kukiuza chama wakimbilie ubeligiji.
Asad