F more chunya mwamba ni fire 🔥🔥 sana wakati mwingine dakika 10 zikiisha huku mtu anaendelea kuachana msimkatishe jamani mnatunyima uhondo maana vibe ni loteeeee
Hivi ndo dk kumi za maangamizi zinavyotakiwa kuwa Dj anagonga biti kali MC mkali Studio mzuka mwingi. Watu wa mbeya mpaka sasa hakuna alieharibu 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Hii ni ya kudownload kabisa....
Talented Mbeya boy wew nihatari nanusu kaka Yan nimeisikiliza Mara 7 online nimedownlod audio HALAFU nikaona Kama siinjoe nikaona nikichukue na video Yani we nimnoma 🔥🔥🔥🔥💥
Kiumbe nyota6 umetisha sana 🎉 FMO MCHUNYA
Big up to green city still prove hip-hop city , big up to F more Mchunya that is big talent one
Saf sanaaa 100%%%
Studio pia mmechangamkaa safii
Nikisikia tu mtu ana tokea mbeya au mwanza najua awezi niangusha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
F more chunya mwamba ni fire 🔥🔥 sana wakati mwingine dakika 10 zikiisha huku mtu anaendelea kuachana msimkatishe jamani mnatunyima uhondo maana vibe ni loteeeee
Og sana mchunya 🔥 🔥 🔥 Dk10 azitoshi like kama angepewa 20 mins
Asante kwa wote mnao sikiliza planet bongo
Umetisha baba
🎉🎉🎉🎉umetisha home boy
Unyamaaaa sanaaaaa maniggar
Aminia blood unajua🔥👊🏽
Insta unatmia kina ganiiii
Mbeya hatujawahi angusha midundo❤❤❤
Huyu dogo humu kaharibu haina mdogo Haina lika, hip-hop yakucheza bila wga tingisha kichwa,kipindi,chake na kazingatia,kuludi nyumbani dahhh tumeioga kwkua ukubwa Dawa,sana Fmore mchunya
Hivi ndo dk kumi za maangamizi zinavyotakiwa kuwa
Dj anagonga biti kali
MC mkali
Studio mzuka mwingi.
Watu wa mbeya mpaka sasa hakuna alieharibu 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Hii ni ya kudownload kabisa....
Watot wa green city Hip_hop.
San home boy umeuwah...❤
Chunya oyeee
Umetisha sana dogo
Mwanangu wa utoto umetixha sanaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mwana kachafua sana audience imemuangusha sana
Jr knew the vibe
mwanangu F MORE MCHUNYA ni moto saana mzee
Katisha mjomba chunya
Mmoja kati ya marapper nao wakubar umetisha sana mwanang fmo mwenye chunya yake🙌
F More we ni moto wa kuotea mbali big up brother 🔥🔥🔥🔥
Mwana katisha sana ✌️✌️
Yaani Langa flani hivi wa zamaniii 🎉🎉🎉
KAKA UNASIKIO LA MZKIII💣💥
That is talented man
Good job hm boy umetisha sana🎤🎧
Umeuwa sanaaaaa mdogo etu 👏👏
Mwanangu f more mchunya umeuwa sana babu bigup sana kwako
Talented Mbeya boy wew nihatari nanusu kaka Yan nimeisikiliza Mara 7 online nimedownlod audio HALAFU nikaona Kama siinjoe nikaona nikichukue na video Yani we nimnoma 🔥🔥🔥🔥💥
❤❤❤
Daaah uyu mwamba ni hatareeeeee jaman khaaaa!!!!!!! Sema MBEYA wana miamba ya hip hop
Mwanangu wewe nihatari sanaaaa☄☄like mbeya boy chuma,
Congratulations bro, umeua i sey
Hii yenyewe kabisa kinaishi ulicho tupatia HipHop F*chunya
Wazee uyu ninja ni Atari acheni utani🔥🔥🔥
Brooo yupo right apewe rights zake ❤
Keep it up mchunyaa
🔥🔥🔥🔥 aina lika umetixhaa
Umetisha mwamba🔥🔥🔥🔥
Mchunya We Noma 🔥 izo verse ni balaa
Nakubali mwanangu
Noma sana chunya iyoooooooooo
Nakubr
Umetisha familia toka chunya 🔥🔥
LANGA KAZALIWAAAA UPYAAAAA
Huyu mwamba ana tungo kama mawe🔥
Amazing
Aloo huyu dogo ni hatari katuwakilisha vyema sana watoto wa Chunga 🔥🔥🔥🔥🔥
Mwanangu umetisha sana
Big up sana
Ooh jmn CHUNYA +LUNDUNO =F More💥💥
Chunya one f more
Moto sana🔥🔥🔥
Unyamaa San kaka
Hii Kali Sana
Yaan ni humu Tu.. kmmke 🙌
Mkari sana mwana
Kokaja konunu big up bloop nyendo zile zile za mbeya boy chuma, mbize mc ..... Shaulin seneta
Ukubwa dawa mwana anajua sana🔥🇰🇪
Umetisha broo fmo
Mbeya hatokagi fala😅
👏 F more,,,Lunduno zaid ya more F.
Kipaji alisi Toka chunya
Umetisha mameen
Planet mnajua kutuletea unyama😂😂😂
😈🙌🏾💯🔥mkubwa dawa
Ukiona kichaa analia?? Amekumbuka kilichomkuta
Ni kama utan ila imeenda mzee, ❤❤
Umetisha sana fmo
🎉🎉🎉🎉uyu jamaa noma na nusu
deal done #fmooo ... I see you jombaaaaaaaaa #Chunya gonga like alafu comment hapaaaaaaaa
Very talented
Aaah Kaka mbeya juu Sana ujatuangusha
oya mwamba katisha
Umetisha sana fam
Balaa sana🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂😂😂
Oyaaaa weeee ukubwa dawa wewe mwanangu umeuwa mnooo
Tingisha Kichwa wewe🔥🔥🔥✌🏾
Aiseeeee jamaa anajua 🔥🔥🔥
Hicho kiingereza Chako hakiongez pesa mfukon😂 sishushi kwenye tuta .. mchunya umetisha
Oooooiiii huyu jamaa ni noma na nusu
Bigup Man❤
Daaaaaah hiii nomaaa
NYAMWANGAA PUBLIC 😮😮
Wanyumbanii🎉🎉🎉
Niko hapa natingiza kichwa😅😅🇰🇪
Hawa ndio watu tunaowataka sasa😅😅😅😅😅😅💪💪💪💪
Mbeya city Stand up
Noma san wat wa anga izo.
Mdogo wangu unafunja sana mungu asimae na ww
Home boy nakubali Sana uswahilini boy
Umetisha broo
Fireee 💯💯💯💯
Salute Jembe
mbeya mbeya mbeya mbeya❤❤❤❤
mbeya cityyyy
Pooooh pooooooh pooooh 🔥🙌
Hiiiiiiiiiphooooooooop💥💥💥💥💥💥
Home boyyyy
Leo watangazaji mmechangamka hongera sana
big up mkuu🔕
Uko vzuri mzee baba
Mchunya umeua🔥🔥🔥
Punch line🙌
Wameiba groli karashan ww up dar
Ajari kazn iyo
Hahahahaha umemaliza mwana wa mbeya kwenye mdini
Greeeeeeen cityyyyyyyy woooooi