😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤ Joti Ukiceza ukiwa Kiboga yani hujuwi tu ninavyo penda jamani Joti I love you 😍 wapenzi wa Kiboga mkono juuu na like hapa nawapenda wote munao mpenda Kiboga, na ninawapend wa Tanzania 🇹🇿 I from Burundi 🇧🇮 Bujumbura
JOTI leo umenifuraisha kushilikiana na mastaa wenzako. Nimeipenda hiyo. Sio kama yule MAMA CHOGO mtoto yeye, mama yeye, baba yeye, bibi,babu yeye kizamani.
Dungu alie kufa ni muislam maswal ya kuomboleza hakun mtu akifa akizikwa bc imeisha hio hakun mamb ya kuomboleza hat alipo kufa mwinyi hat siku 3 hazikufika shughuli nyengine zikaendela
Kisa cha kupiga marufuku p2 nini?? Ni kweli ni kama wanapangia watu, 2024 mpige marufuku p2🙄🙄🙄🙄🙄nchi inasumbuliwa na mambo makubwa &ya kuhitaji ufumbuzi mnaingilia matumbo ya watu. Au ni njia ya kuhamasisha matumizi ya kinga na uzazi wa mpango...kama ivo ni sawa,ila kama ni fitna 😮
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤ Joti Ukiceza ukiwa Kiboga yani hujuwi tu ninavyo penda jamani Joti I love you 😍 wapenzi wa Kiboga mkono juuu na like hapa nawapenda wote munao mpenda Kiboga, na ninawapend wa Tanzania 🇹🇿 I from Burundi 🇧🇮 Bujumbura
Tupo hapa
Nampenda kiboga pia❤
@@rosierajabu2280 🫂🫂🫂🫂
@@samiragabre6713 🤝🤝🤝🫂
Kiboga is the best character
Ukisikia Mwaka wa kuforce ndio hii Salute ma single mama wote.. Kweli mnaforce hapa joti akasome
Nikiona tu kiboga lazima nicheke,akicheza kama kiboga huwa nnafurahi saana❤❤nakupenda kiboga wetu❤🎉
Character ambayo Joti anaicheza vizuri ni KIBOGA nothing else😂😂😂😂
💯
Kabisa!!!!
Kiboga character forever 💯
Kweli kabisaa
Kabisa
Joti leo umenikosha kweli.ukicheza mwanamke au babu mm.❤❤❤❤❤😊😊
Namimi napenda akicheza kama kiboga 😅😅😅tunakupenda kutoka Burundi 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
JOTI leo umenifuraisha kushilikiana na mastaa wenzako. Nimeipenda hiyo. Sio kama yule MAMA CHOGO mtoto yeye, mama yeye, baba yeye, bibi,babu yeye kizamani.
😂😂😂kwel kbisa
😂😂😂😂
Ndio nani huy
😂😂😂
😂😂😂😂
Hilo wigi na makeup Kiboga is the best.single maza mna kazii
Ndo ututukane ivo😅😅😅
Mmekutana na tin white wote hamnaozo ni ushindi sana , mchakato wa kumvuta ringo uanze , safi sana from Dodoma
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅
Na penda uki cheza kiboga una nipa raha kweli love yo so much ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamani mbona likes nyie mnapata, me sipati?
Km mimi😂
Umetisha kibongaaaa mwendo wa kufosssss tu mwaka huu
''DADA MTOTO ANA BABA ...BYEEEEE'' Brother if u know, u know 👏👏
Huyo mtoto sasa amepata baba ,baba ndo huyu ila kibogaaaa😅😂😂😂😂
Tunaojichekesha chekesha na kucheka tukiwa kitandani, tujuane
Kama umeniona
Na hii mvua😂
😂😂😂
Joti anashindwa kuweka mdada aigize Kama "Kiboga" coz hawatoitendea haki Kama anavoipatia mwenyewe
Wadau wa joti cjawahi pata Likes hata mia. Hebu tuone nguvu yetu hapa kama P2 😂😂😂
Never disappoint jotiiii 😂😂😂
Nmekuw wa 10 le0 hmm! Pr0ud 0f me giys 🎉
JOTI UMEZINGUA KWA KIPINDI HIKI CHA MSIBA, LEO ULIFAA KUOMBOLEZA KWA KUMPOTEZA YULE MAMA KISHA UNGETOA TU WIKI IJAYO. KWELI DUNIA HURUMA IMEISHA
Dungu alie kufa ni muislam maswal ya kuomboleza hakun mtu akifa akizikwa bc imeisha hio hakun mamb ya kuomboleza hat alipo kufa mwinyi hat siku 3 hazikufika shughuli nyengine zikaendela
kweli kabisa aisee
Kweli kabisa
Kweli hatuna hizo ss
Kwani mtu akifiwa hali Chakula?
Na leo wakwmza 😂😂😂❤
It's a long time since Reyner featured in the episodes, happy to see her a "graduated pharmacist" ❤❤
I love joti sana ananichekeshaga sana na comedy zake hasa akicheza km KIBOGA 😂
Jotti imbombo ngafu imbombo ngafu wanyakyusa Tujuane kwa like hapaaa ❤❤
Wa Kwanza naombeni like za joti jmn
Joti na tin white mambo ni moto🎉😂😂❤❤❤
Joti !!!!!!! Loh! Sijacheka kitambo sanaa Kwaaaaaaaaah kwaaah😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zaniuma😂😂😂😂😂
Kiruuuu kiruuu keleeuwiii uwiii laaanyeee ooteeee kiruuu kirru kiphoo kiphooo kya nsiiirriii laaanyeeeee kiruuuuu😅😅😅
Kisa cha kupiga marufuku p2 nini??
Ni kweli ni kama wanapangia watu,
2024 mpige marufuku p2🙄🙄🙄🙄🙄nchi inasumbuliwa na mambo makubwa &ya kuhitaji ufumbuzi mnaingilia matumbo ya watu.
Au ni njia ya kuhamasisha matumizi ya kinga na uzazi wa mpango...kama ivo ni sawa,ila kama ni fitna 😮
Pole kwa msiba wa mamakasikasi Lucas''
Na mpe Hi Tin white.
Mkuu, mama yupi aliyefariki?😢
Kweli bhana yule mama alikuwa anacheza na jot😢😢😢😢
Ijumaa iliyopit alikuw nae kweny Tamaa yule mama kafarik @@lusajo
Tin white 🎉🎉 kama team yangu yote😂
Mim ndio wa kwanza nipeni like zang
Hizo likes utalipa kodi
Na shuleni ulikuwa wa kwanza?
Kiukweli unatufrahisha sana Joti🤣🤣🤣Kipaji cha komedian unacho aisee🙌
Jotiiii❤😂❤😂❤ from Holland 🇳🇱
Jamani mbavu zanguuuu,nikiangalia na hiyo wigi 😂😂😂😂😂jamn na hayo malapa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Very talented him mungu akuweke kaka ❤❤❤
Joti unapendeza ukicheza km dada kiboga had raha🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 usinichoshe nina kitambi
Yan kiboga unaweza hatari ♥️♥️♥️♥️
Masingle maza kwa kuforce tuko vizuri😂😂😂😂
Hicho kichwa njoo unitie humu 😂😂
😂😂😂😂
😅😅😅
Duuuh ' 😂😂😂😂 huu sasa moto mwingine 🔥🤣🤣🤣🤣🤣
Tini White anafanana na Zembwela sana 😂😂
Kweli
Mwanzoni nilijua ndo yeye Ila nikazoea nikamtofautisha
Hadi kofia hiyo kama Zembwela 🤣.
Sana utafikiri ndugu
Nilijua baba yake kumbe kufanana tu
Joti sijawai comment ila ur good kwakwel tena character ya kiboga ndo inaenda vizuri ur amazing 🤣🤣🤣🤗🤗
Kiboga ndio comedy hasa yaani hukosei unavowajuulia wanawake 😂😂😂😂
Msoma comment wa Kwanzaa 😂😂😂 km na ww n msoma comment km mm na unamkubali jot tujuane kwa kulike Hapa 👉👉. All in all Polen Sana jot TV
nakupenda Sana my from🇰🇪💞💞😂😂😂🙌
Joti napenda san unavyoigiza na nakupenda sanaaa 😊😊😊😊
Nmeipenda aisee singo Maza mungu awapiganie mnapitia mengi
Joti wadau tunapendekeza uwe unatuwekea clip nying za characters ya kiboga unaicheza vizr zaidii tunaipenda sana😂😂😂😂😂😂😂
Asante. Tunaomba aone hii comment
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.... P2..... nyieeee single Mother....🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Aahh leo nimekumbushwa asha ngedere leo😂😂😂😂😂
Bro ww namb moja comedy Tanzania chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂 aiseee unakipaji,huwezi lala na njaa haha siku moja
Joti Kila sk ucheze ukiboga yaan unatupa raha ❤
Pole jot wangu.❤❤❤👍👍👍👍👍
Waa 600 ku like...muna nipenda hamuni pendi....nitawatia kwenye mtaroo.kma hamunipi like..😂
Napenda ku watch video zako bro but hii kujifanya mwanamke sipendi ku watch
“ nimejishusha mpaka tukawa kimo sawa “ 😂😂
Aaah joti unajua kutisha sana aseeh.... Ukieti kiboga unanoga
Good job kiboga❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
kibogaaaaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉....hii ndio character yangu pendwa kwa jotii
Mfuko upo chini mm nime shika tai toa hela😂😂😂😂❤❤❤
Hapana sio duka la dawa,ni bucha la nyama😂😂😂😂😂😂
😂😂😂ndara elfu50 jaman joti kibokoo
😂😂😂😂 JAMANI SINGO MAZA WANAGORCE HATARI. MKIINGIA TU KWEMYE MAHUSIANO UTASIKI 'MWITE DADIIOOI😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Tin White and Joti they never disappoint
😂😂😂Mtoto kishapata baba . Tumbo lisokuwa na hata mjumbe tujuane😂😂😂😂
😂😂😂😂ety dada mtoto Ana baba byeeeeee😂😂😂
know 5yr nikiwatch aki hyo joti nakupnda aki from 254😂😂😂😂❤❤❤
Nishai ww ni noma sana 😂😂😂 watt wadogo wakae mbali na huu motk
Mpaka kichagga joti ni namba one 😂😂
Joti nimeipenda hiyo,Sasa umekutana nahuyo jamaa so mchezo
Mtoto anababa single lady tujuane hapa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
Joti tv poleni kwa msiba wa mama kasi kasi
Kwani alifariki lini!!
Ndio yupi huyo
Bi ubwa yule mnene
Leo nimemuwahi Yule wa kitandani wanaoangalia wako kitandani tujuane
toka magettoni😂
@@nikkithe2rd383 😂😂😂👍
Tuongezee za kiboga joti plss😂😂😂❤️❤️❤️
Anafurahisha uyuuuj jamaniiii nampenda
😂😂😂😂😂😂 dada mtoto ana baba byeeeeee😅😅😅😅😅
Dada mtoto ana baba byeee😂😂😂😂😂
Ila joti we mjinga sana😃😃 ila mmekutana na tiny white wote machenjeu😅
😂😂😂😂 nimecheka joti fala sana ww ni noma
Nikikukamata nakutia kichwa, icho kichwa njoo unitie umu😂😂😂
Joti nitakuja nikuzabue siku😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂upoje lakini
Nishai mtomba ngwile kitwango mikazo miguno misuguano kila ijumaa 👍🏻😂😂😂😅😊❤
Hiii niliitafuta Toka Ijumaa iliyopita sikuiona😂😂😂😂😂😂
@@makawan_Bway5478 kula chuma hicho 🙌🏻🤣
Single maza wana stress kama zote na bado ...😅😅
Shindwa....
😅😅😅😅😅unajua kaka
RIP BI UBWA. JOTI TV KAZI IENDELEE.🙏🙏🙏🙏
Ni mwaka wa kufoss ,kiboga umetisha from Burundi
From Japan Kuma moto i love u yanga bingwa nimenunua cm nyjngn
😮😮😮
Hahahahaa hiyo kiruuuu wachaga mko wap😂😂😂😂
Hata kama ukimpa tutazungumza kwenye gari😂😂😂😂Joti jamanii
Lkn singomaza kwann jmn😂
Jamini mchekeshaki bora wa mda wote
Mecheka,,,,sn an doh😂😂😂😂😂😂jot n fwalaaaa
Usinchoshe nnakitambi ........ hahahahhahahahhahaaaa
Hawana malezi mazuri atakuwa VP rahisi
Ukiambiwa huyu ndo alikuwa msibani kwa gadner😂😂 jmn huyu haya umetuweza joti
Singo maza tunahekaheka sio ndogo😂😂😂😂🥰
Nmcheka sanaaa wallhy🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣