Anapoishi DUDU BAYA baada ya kupotea miaka miwili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 191

  • @gabbymnyamaa4148
    @gabbymnyamaa4148 2 ปีที่แล้ว +8

    Kukonda ajakonda bali nywele zimemnyonya mwili... Nywele zinakula vitamini sana

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 2 ปีที่แล้ว +17

    Nampenda sana dudu kwa sababu mwema kwel

  • @rabsontryphon9254
    @rabsontryphon9254 2 ปีที่แล้ว +34

    Inasikitisha wanaume kusema mwanaume kakonda wakati maisha yanaeleweka Duniani hapa ni kupanda na kushuka

  • @biggievandar254
    @biggievandar254 2 ปีที่แล้ว +11

    Kakonda sababu yajela

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 ปีที่แล้ว +18

    Kaka umepungua sana kama nimatatizo Mungu akusaidie kama nipombe acha kaka🙏

    • @allykazoa8324
      @allykazoa8324 2 ปีที่แล้ว +3

      Maisha ni kupanda Na Kushuka Autopanda Milele So Ni Kwa mda tu Kwa Sababu ni mtafutaji kupungua Kawaida

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 2 ปีที่แล้ว +2

      @@allykazoa8324 yah!Mungu amfanyie wepesi🙏

    • @sirialemmy37
      @sirialemmy37 2 ปีที่แล้ว +3

      Fety China,
      Wewe ni mtu mwema sana! Asante kwa kubariki wengine

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 2 ปีที่แล้ว +2

      @@sirialemmy37 🙏🙏❤

    • @sirialemmy37
      @sirialemmy37 2 ปีที่แล้ว

      @@mwasamiladldm7557
      Mbona unatufokea?
      Mbona unaparamia hivyo?
      Hakuna unafki popote, ni kweli hiyo sio afya ya brother Dudu! Inaonekana kuna jambo linalomtafuna moyoni na akilini, ndio maana Fety Mchina, amekataa lawama na kumweka mwamba huyo mikononi mwa Mungu, kwani hapo ndio kuna usalama na utakaso timilifu.
      Acha kuhukumu na kulaumu wengine bwan Mwasamila!

  • @desderymakoi6595
    @desderymakoi6595 2 ปีที่แล้ว +11

    Bahari yenyewe inajaa na kupungua iwe Konk Konk!YESU Anaokoa jamani Tuokoke vijana

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana pale akicheka na kugonga

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 2 ปีที่แล้ว +12

    Mbona mchafu na kakonda ile mbaya!😁😁😁

    • @agwalubifaridah7079
      @agwalubifaridah7079 2 ปีที่แล้ว +4

      Hayo ndo maisha humu duniani kupanda na kushuka

    • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
      @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 ปีที่แล้ว +4

      MIND YOUR OWN BUSINESS KOMAA AKILI BADALA YA KUKOMAA MWILI.

    • @nassjog990youtube6
      @nassjog990youtube6 2 ปีที่แล้ว +2

      we agwulubi sjui ndurubi
      POST PICHA ZAKO TUKUONE ULIVYONENEPA ALAFU MSAFI Ku"MA WEWE

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 2 ปีที่แล้ว

      @@nassjog990youtube6 kuma Ya baba yako! Msenge mwenzio ,Mimi naishi Atlanta

    • @sknapoleonshoo3145
      @sknapoleonshoo3145 2 ปีที่แล้ว

      @@johnmichaellukindo21 😂🤣😂🤣 labda ndotoni kuma kibuyu wewe!

  • @mkamajames2786
    @mkamajames2786 2 ปีที่แล้ว +4

    Mpaka anatembea anashiikilia suruali duh

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 2 ปีที่แล้ว +4

    Sasa hii nyumba lodge hehehehe dah mwana huyu anapotea kbs hapo alipo uhakika ht elf20 hana

  • @boniphaceantony4807
    @boniphaceantony4807 2 ปีที่แล้ว +8

    Yaaan mtangazaji hujui unafanya mahojiano na dudu baya kichwa sana...hembu andika point muhimu Kwanza kabda hujamuuliza, maana naona huna hata hoja zaidi yakutaka tu kupata views.

  • @festonyakaya4646
    @festonyakaya4646 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa akili zake yeye bado ni msaniinmkubwa mfalme na tajiri mkubwa but kwa ground anahitaji usaidizi kinoma

  • @lgdnce8309
    @lgdnce8309 2 ปีที่แล้ว +3

    Umevaaa t-shirt kuwa Ili tusigunduwi..tunaona hâta ungevaa coti kubwa

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 2 ปีที่แล้ว +4

    We badala ya uandishi ungekuwa mchezaji mpira miguu yako imekaa vizuri sana

    • @zenadaudzena2849
      @zenadaudzena2849 2 ปีที่แล้ว

      Umeona ee

    • @amonamiri4487
      @amonamiri4487 2 ปีที่แล้ว

      Watu mnachunguza kweli...niljua nimeona peke angu kumbe video nyeupe

  • @reubenkissinga5802
    @reubenkissinga5802 2 ปีที่แล้ว +5

    Sasa hapo ndio safii,,,umekuwa DuDU BayAa kweRii KweRii!!!

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @lgdnce8309
    @lgdnce8309 2 ปีที่แล้ว +5

    Duuu ametokea kwenye tundu la sindano kweli kakonda sana

  • @msafirimboyo9582
    @msafirimboyo9582 2 ปีที่แล้ว +2

    Iyo t-shirt imeandikwa MAYEMU yaan bangi au😁😁

  • @sultansultans9462
    @sultansultans9462 2 ปีที่แล้ว +4

    Koki naona kma kapata wehu

  • @leonardmtemi2026
    @leonardmtemi2026 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣MAYHEM JAMANII KAMA HAMJUIWI MAAANA YAKEE NI MABANGI UYUUU JAMAAA KUNA SHIDAAA

    • @silverrichard1211
      @silverrichard1211 2 ปีที่แล้ว

      Mayhem ni movie ya kitambo sana ya kivita

  • @mohamedabubakar4694
    @mohamedabubakar4694 2 ปีที่แล้ว +6

    Anasema hawez kufa hata siku Mmoja, Allah amsamehe

    • @zenadaudzena2849
      @zenadaudzena2849 2 ปีที่แล้ว

      Kila nafc itauonja umaut

    • @mawazoit8070
      @mawazoit8070 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo kauli ni ya kijahili walliitumia ma firauni. Tumwombe Allah Amsmehe na Atujaalie mwisho mwema

  • @annahchaz5537
    @annahchaz5537 2 ปีที่แล้ว

    acheni tu jmni konk konk master napnda nikweli msemaji ukweli jpo hpo kweny migod katupig 😂😂😁😁 ila maongez yk nayaelew saaanaaaa .marehem Mzee wangu alikua anaepend saan

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 2 ปีที่แล้ว +8

    Kakonda kinoma

    • @ezeedi871
      @ezeedi871 2 ปีที่แล้ว +1

      We hujawah kukonda?? Mbn kawaida kupanda na kushuka kaka??

  • @nassjog990youtube6
    @nassjog990youtube6 2 ปีที่แล้ว +2

    Dudu baya sikupingi unaelewa ishi bro UTATU ###

  • @famo02
    @famo02 2 ปีที่แล้ว

    The man of true the g o at kony kony master

  • @jumannerajabu1356
    @jumannerajabu1356 2 ปีที่แล้ว +4

    mamba kawa kichaa huyu atakua alikula fisi mtoni du anaelekea kua mjusi ss

  • @frankkimaro1354
    @frankkimaro1354 2 ปีที่แล้ว +6

    Daresalama kwani kuna madini, Kwani c kuna Malaya tu"Dudu ww

    • @jumaabdu7054
      @jumaabdu7054 2 ปีที่แล้ว

      Mwime madini yapo mimi nipo apa saiv kuna gora zinauza azam hadi mil100

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 2 ปีที่แล้ว

      @@jumaabdu7054 Huwa unajihusisha na biashara ya madini mkuu?

    • @jumaabdu7054
      @jumaabdu7054 2 ปีที่แล้ว

      @@Joe-tr2vk yaap ndio shughuru yangu

    • @valentineshembilu1256
      @valentineshembilu1256 2 ปีที่แล้ว

      Mwime iko wilaya gani

  • @josephevaristi8923
    @josephevaristi8923 9 หลายเดือนก่อน

    Dudu haumwi wala hajaathirika ila kaathirika kisaikolojia,,huyu jamaa ni mtu poa xema wengi hawamuelew

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 ปีที่แล้ว +1

    Tutafutieni basi na Pierre mama na kufa 😅😅 nae kitambo hasikiki

  • @kheryrashidi2166
    @kheryrashidi2166 2 ปีที่แล้ว +1

    Dudu baya anakaa Lodge Sinza acheni uongo 😅😅😅😅

    • @ibrahimmagesa892
      @ibrahimmagesa892 ปีที่แล้ว

      Mi mwenyew namkutaga huko huko Sinza kijiweni😂

  • @beatricesonga3468
    @beatricesonga3468 2 ปีที่แล้ว +3

    Jamani koki

  • @prankandcomedytv8705
    @prankandcomedytv8705 2 ปีที่แล้ว +8

    Uyu ni dudubaya ? Mbona kakonda kiasi?

  • @idrissajuma7308
    @idrissajuma7308 2 ปีที่แล้ว +1

    Konki master for really👊👊

  • @doubleseven7750
    @doubleseven7750 ปีที่แล้ว

    In short dudu hana nyumba
    Ila waandishi wa michongo mpo wengi

  • @damiaohorasinembe4606
    @damiaohorasinembe4606 2 ปีที่แล้ว

    Good

  • @nipolive..2745
    @nipolive..2745 2 ปีที่แล้ว +1

    Dudu baya ukapmwe afya mbona amezofika sana

    • @lgdnce8309
      @lgdnce8309 2 ปีที่แล้ว +2

      Apewe lish

  • @simonmlisa4311
    @simonmlisa4311 2 ปีที่แล้ว

    Dah! Hayupo sawa, nadhani ndio maana wengi wanaamua kuwa chawa

  • @salamanauthar480
    @salamanauthar480 2 ปีที่แล้ว +2

    Maskin dudu baya mbona umepungua sana jamani!!

    • @abrahamumusa2229
      @abrahamumusa2229 2 ปีที่แล้ว

      Kweli maisha yamembadilisha mpaka amepungua pole broo Mungu akusaidie

  • @hemedytengu5718
    @hemedytengu5718 2 ปีที่แล้ว

    Aayeeeeee. Konk. konk . Konk master

  • @makame3524
    @makame3524 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa anaonekana hayupo sw kiafya,,,,,anajifirce had kutembea

  • @hotboiii5275
    @hotboiii5275 ปีที่แล้ว

    Mzee wa konyagii

  • @rastapishow5972
    @rastapishow5972 2 ปีที่แล้ว

    Dudu kalime

  • @kichujatv8648
    @kichujatv8648 2 ปีที่แล้ว

    Kweli nilhsi jembe alipo tena Duniani huyo jamaa namkubali sana

  • @barakamnazareti5745
    @barakamnazareti5745 ปีที่แล้ว

    Wana Habari mlisomea wap kufika nakuanza interview utangulizi noo mh tunawazidi uelewa

  • @baptistaseverinonchamocose2359
    @baptistaseverinonchamocose2359 2 ปีที่แล้ว +5

    Sasa sio KOMKI,,ni gorila mzee👁️👁️

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 2 ปีที่แล้ว

    Dudubaya kachoka Brother sio Muda tutachanga kama hatabadilika

  • @mlawasteev-6954
    @mlawasteev-6954 2 ปีที่แล้ว

    Daa Cong kaisha

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa amejenga kweli

  • @topnotchtz8086
    @topnotchtz8086 2 ปีที่แล้ว

    Kanda ya ziwa unavoiongelea utafikir sio Tanzania hii

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles3585 2 ปีที่แล้ว

    Ila huo mgodi wa Mwatulole sasa😁😁😁!

  • @mulendaevent
    @mulendaevent 2 ปีที่แล้ว

    mshamba uyo

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 2 ปีที่แล้ว

    Dudu baya anadata nyingi hadi anaonekana kadata

  • @ghazalabdulkadir8679
    @ghazalabdulkadir8679 2 ปีที่แล้ว

    Dudu baya Ni mkongwe

  • @victormushi6641
    @victormushi6641 2 ปีที่แล้ว +3

    jela sio pazuri, mzee kuwa makini watakuteza

  • @Borderonemediastudi
    @Borderonemediastudi 2 ปีที่แล้ว +1

    Apunguze pombe😢😢

  • @monikakimath3810
    @monikakimath3810 2 ปีที่แล้ว

    Mmmm dudubaya;,mama anita wa maganzo kakuunguz mkuuu!

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 2 ปีที่แล้ว +7

    Aisee jamaa amekonda sana, mpaka suruali anaishikilia akitembea ina dodondoka

    • @jojigeorige1056
      @jojigeorige1056 2 ปีที่แล้ว +3

      Kwani alishawahi kua mnene? Halafu kunenepa sio maisha mazuri, ni kushindilia maugali na wali

  • @sabokomaila1827
    @sabokomaila1827 2 ปีที่แล้ว +2

    Oiri chafu

  • @richardsaidi2448
    @richardsaidi2448 2 ปีที่แล้ว +2

    Dudu baya

  • @kobelochande6669
    @kobelochande6669 2 ปีที่แล้ว +2

    Kashapiga vitu da maskini

  • @sekutv448
    @sekutv448 2 ปีที่แล้ว

    Hapo bar hao wahudumu wanaish hapo na dudubaya

  • @grande9657
    @grande9657 2 ปีที่แล้ว

    Msema kweli kama mm

  • @noelymwakyoma4182
    @noelymwakyoma4182 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke ndo wakuulizwa vp mbona umekonda,lkn sio mwanaume, wanaume tunayopitia Leo mtu akuulize mbona umekonda ili iwe nn?🤔👉🚮nyie

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa unaanzaje kumwambia mwanaume mwenzio amekonda

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 2 ปีที่แล้ว

    Wewe uwe unaongeakwa sauti

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 2 ปีที่แล้ว

    Mamba oil chafu konk master💪💪💪mala 3 😂

  • @esabelfadhili8432
    @esabelfadhili8432 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmh🙆

  • @taifaonlinetv.3670
    @taifaonlinetv.3670 2 ปีที่แล้ว

    😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @bonnycostacosta7339
    @bonnycostacosta7339 2 ปีที่แล้ว

    Kakola my home

  • @miriammiri8295
    @miriammiri8295 2 ปีที่แล้ว

    Kakonda maskin dah

  • @yunussale602
    @yunussale602 2 ปีที่แล้ว

    Kimuonekano kabisa nyumba kaazima kushuti interview

  • @shubbaantv4588
    @shubbaantv4588 2 ปีที่แล้ว

    Hi namwamnia dudu baya,Jamani naweza pata namba ya simu ya dudu baya?jamana naiomba namba yake.

  • @hoseakavubu2844
    @hoseakavubu2844 2 ปีที่แล้ว

    Kwake au anaishi

  • @kusagakusaga729
    @kusagakusaga729 2 ปีที่แล้ว

    We mjinga ha

  • @mirriamnalupya4684
    @mirriamnalupya4684 2 ปีที่แล้ว

    Kweli umekoa rasta maana sio kukonda uko

  • @jastinimushi5992
    @jastinimushi5992 2 ปีที่แล้ว

    Media siku hizi ni za mchongo sana mmekaa kimchongo mchongo tu

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 ปีที่แล้ว +1

    Imenibid nicheke Bure et dsm hakuna madin Kuna Malaya tuu

  • @stainasimkoko708
    @stainasimkoko708 2 ปีที่แล้ว

    Mwee mbona anatisha alikuwa wapi

  • @mkamajames2786
    @mkamajames2786 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah kweli kaisha Yani kabaki kichwa tu

  • @godfreydestury8813
    @godfreydestury8813 2 ปีที่แล้ว

    Mbona ni nje

  • @brunoyusuph8469
    @brunoyusuph8469 2 ปีที่แล้ว +1

    Nipe ukweli jamani Mimi Niko Dubai but kama mwime Kuma madini tuanboane jamani

    • @kasabukuanthony6208
      @kasabukuanthony6208 2 ปีที่แล้ว +1

      Dubai tena mzee,,,, mi nipo mwime

    • @brunoyusuph8469
      @brunoyusuph8469 2 ปีที่แล้ว

      @@kasabukuanthony6208 hapo mwime napajuwa bro kwasasa naishi huku Dubai ila home nihapo kahama nyansubi

    • @kasabukuanthony6208
      @kasabukuanthony6208 2 ปีที่แล้ว

      @@brunoyusuph8469 oooh okay mi naishi nyahanga hapa Mwime huwa naenda harakati

    • @brunoyusuph8469
      @brunoyusuph8469 2 ปีที่แล้ว

      @@kasabukuanthony6208 okay na hapo mwime mgodini ninamatafiki wengi niliokuwa nafanya nao kazi zamani

  • @liverpoolvsrangers2273
    @liverpoolvsrangers2273 2 ปีที่แล้ว +3

    Kaomba nyumba ya mtu afanyiwe interview

  • @jeradkanyuru5745
    @jeradkanyuru5745 2 ปีที่แล้ว

    Du..guo..inaguka..nitakubaia..mishibi..

  • @erricktommuraba5867
    @erricktommuraba5867 2 ปีที่แล้ว

    tz watu wa dini sielewi vile stars wao hupotea.sad

  • @AbuBakar-fu9ov
    @AbuBakar-fu9ov 2 ปีที่แล้ว +1

    Acha kujifahalisha dudu usaidiwe unaonyesha kabisa hapo ulipo huna ata wallet ya elfu 50🤣🤣🤣🤣 shuka mzee watu wakupige tafu ustar sio ukuvimbishe wakat una njaaa ona umekondeana mpaka suluwali yakushuka

  • @festonyakaya4646
    @festonyakaya4646 2 หลายเดือนก่อน

    This guy needs help😢

  • @edwardmwingira7096
    @edwardmwingira7096 2 ปีที่แล้ว

    Mfalme wap bhana

  • @reubenjohn7111
    @reubenjohn7111 2 ปีที่แล้ว

    anachekesha dudu

  • @denisnyakimeme2360
    @denisnyakimeme2360 2 ปีที่แล้ว

    Siku izi hakuna kota hawatambuliki baada ya kufungua masoko ya madini

    • @timotheohongera1738
      @timotheohongera1738 2 ปีที่แล้ว

      Bado wapo. Sasa hapo soko la madini nani ananunua?

  • @roshdadah6525
    @roshdadah6525 2 ปีที่แล้ว

    Vijana tuwache mihadarati

  • @aliaden5512
    @aliaden5512 2 ปีที่แล้ว +2

    DUDU AMECHANGANYIKIWA ANAFAA KUPELEKWA REHABILITATION CENTRE

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 ปีที่แล้ว

    Utanunua madini kwa pesa ipi wewe acha kufunga watu kamba fala wewe. Huongei habari ya kukaa jela unaongea uongo mzee mzima hovyooo. Hata nyumba ya kulala huna unaongea barabarani.

  • @lgdnce8309
    @lgdnce8309 2 ปีที่แล้ว +3

    Konki umeyayuka kweli domo limekushuka kweli umeponea chupuchupu bro

  • @valentineshembilu1256
    @valentineshembilu1256 2 ปีที่แล้ว

    Poor introduction mwandishi hasemi yuko wilaya au mkoa gani

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 2 ปีที่แล้ว

    Au walimla kiboka🤔

  • @ziyandamhlana8776
    @ziyandamhlana8776 2 ปีที่แล้ว

    Kapanga au kajengaa????

  • @khanifasuleiman1465
    @khanifasuleiman1465 2 ปีที่แล้ว +2

    Kakonda

  • @benjaminmartin4548
    @benjaminmartin4548 9 หลายเดือนก่อน

    . Mbona hajachana nywele? Huo ni uchafu

  • @f.a6043
    @f.a6043 ปีที่แล้ว

    👹👹👹👹👹👹👹

  • @fasterdeule8503
    @fasterdeule8503 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa alifichwa sober house Nini khaaa😳 adi amekuwa kama mtu wa kale kwakwel shughuli ya magufuli pevu hahaaaa

    • @hamismussa6144
      @hamismussa6144 2 ปีที่แล้ว +1

      Magufuli vipi.mbna ujaeleweka

  • @majutosanaelias4307
    @majutosanaelias4307 2 ปีที่แล้ว

    Kreizi boy

  • @vincentkiprotich7959
    @vincentkiprotich7959 2 ปีที่แล้ว

    Konki kwa hali yake halisi.