Rais Samia Suluhu akiburudika kwa taarab nyumbani kwao Zanzibar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2022
  • Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ukumbini akisikiliza taarab.

ความคิดเห็น • 393

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 2 ปีที่แล้ว +15

    Tenaaah😍 kwa Raha zako Jitumbuize Kazi na dawa💯👌 wanaosema watakufa na Vijiba vyao vyao vya Roho huku Kazi iendelee tusonge mbele Mamaetu I love you so much ❤️❤️❤️👌👍Mungu Ibariki🇹🇿 Tanzania mlinde Rais wetu na Hasaad na Chuki zao Aamin 🤲🤲🤲

  • @lilianjamil5930
    @lilianjamil5930 2 ปีที่แล้ว +11

    Masha allah mama n8mzuri ona yupo simple lakini ana nuru yake kwa allah furshi mama yetu raisi wetu allah akulinde kwa rehma zake kazi iendeleeee

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 2 ปีที่แล้ว

      Allahumma ameen yaarab

    • @alimakame9215
      @alimakame9215 2 ปีที่แล้ว +2

      Maana ya mashalla mnajuwa au mnajisemeatu kilakitu mashalla kunataratibu zake bahala au kitu vha kuiita mashaalla

  • @deusdebitkowa9657
    @deusdebitkowa9657 2 ปีที่แล้ว +9

    Mama yangu,Kumbe Mama mzuri sana,mmh!!! Mama mzuri.

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +10

    JIFUNZE QUR'AN KUSOMA KUANDIKA GUSA PICHA YANG HAPO KAMA HAUTOJALI

  • @aliymwazoa3051
    @aliymwazoa3051 2 ปีที่แล้ว +12

    Mnaosifia jicho mkumbuke mama ni umri wa mamaenu na nimke wa mtu mwenye kuithamini nakuijali ndoa yake.Ukijua umri wa ndoa yake utajua anamume mvumilivu na anaempenda kwa Kiwango gani.maana sio siri kuishi na mke anaefanyakazi tena mwanasiasa unatakiwa uwe na moyo wa uvumilivu mkubwa sana

    • @emmanuelchiza7733
      @emmanuelchiza7733 2 ปีที่แล้ว

      Analika tu kwani kuna ubaya gani?

    • @wwrr803
      @wwrr803 ปีที่แล้ว

      @@emmanuelchiza7733 thobaah

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +8

    Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli

  • @nusaybanjama1533
    @nusaybanjama1533 2 ปีที่แล้ว +7

    Kajiburudishe mpenzi wasikuchoshe kipenzi chetu.

  • @goodluckulimboka8117
    @goodluckulimboka8117 2 ปีที่แล้ว +8

    Duuuh nimeelewa sasa namna ya kucheza kwa KUDEMKA 😂😂😂

  • @aboubaqarally9834
    @aboubaqarally9834 2 ปีที่แล้ว +5

    Mama nikama wanadamu wengine kunamuda lzima awepo kwenye majukumu ya jamaa zake ama ndugu zake. kwenye misiba hta kwenye furaha.

  • @zahiribrahim7418
    @zahiribrahim7418 2 ปีที่แล้ว

    Aaaaaaaaaaaa Wenyewe dada zangu na mama zangu peke yenu ee ! Hutualikani ! Mashallah nimependa hii 🌺🌺🌺🇹🇿🇹🇿🇹🇿Mama Samia "umetuokowa" Hongera mama 😍🎀🌺

  • @kineggakm1549
    @kineggakm1549 2 ปีที่แล้ว

    Marhabaa, aksante Mama shujaa wa kweli, nahodha shupavu kazi unafanya haswa. Chombo kinakwenda salama. Pumzisha akili kwa taarabu asilia.
    Tuko pamoja na wewe mama yetu tunu yetu tumepewa na muumba.
    Hivi vikundi vya taarabu asili lazima uvikumbuke vinakuza utamaduni wetu.

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +4

    Jifunze quran kusoma kuandik gusa pich yang hapo kama hautojli

  • @salimmgwame9504
    @salimmgwame9504 2 ปีที่แล้ว +5

    Raisi wetu Samia amependeza nanimzuri sana, mashallah, M/Mungu amlinde, that's all.

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 2 ปีที่แล้ว +5

    Mm sitaki kazi ya urais muda wote unalindwa tu hata wakija ndugu full kukaguliwa hata mzazi wako anaweza kaguliwa tu😂😂😂

    • @mbwanakhamis9634
      @mbwanakhamis9634 2 ปีที่แล้ว +1

      Hpo full ulinzi hta akienda Chooni pia ulinzi.... 🤣🤣

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว +1

      Hata kitandani! 🤦‍♂️🙆‍♀️🤣🤣

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 2 ปีที่แล้ว +4

    MASHA ALLAH

  • @giftialexalexchirimwa5813
    @giftialexalexchirimwa5813 ปีที่แล้ว

    Mungu akuulinde maisha yko yote🙏🙏🙏

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 2 ปีที่แล้ว +2

    Macho hayo mashallah .Madam President

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 ปีที่แล้ว

      👌 mashaallah mama ana jitttoooo😃😃

  • @shorcesuvarey824
    @shorcesuvarey824 ปีที่แล้ว

    Mashallah Mama umependeza Sana Mungu Akupe Maisha Marefu yenye Afya njema Amiin

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 2 ปีที่แล้ว +4

    Taarabu za siku hizi ni kukata mauno tu! Aramba aramba tena amuuu!.

  • @rajabmshengahanen1254
    @rajabmshengahanen1254 ปีที่แล้ว +1

    Asali hiyo kama sio mzanzibar huwez jua utamu wako

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 2 ปีที่แล้ว +5

    Mijicho Sasa🤣🤣🤣🤣

  • @zarinaathuman4839
    @zarinaathuman4839 2 ปีที่แล้ว +2

    Mama anajicho nzuri

  • @magrethbahati1983
    @magrethbahati1983 2 ปีที่แล้ว +11

    Wewe unaburudika watanzania tunabubujika machozi Mungu siyo kipofu

    • @itwaaky75
      @itwaaky75 2 ปีที่แล้ว +2

      Hivi wewe maishani mwako hujawahi kwenda kwenye sherehe kweli? Au akifanya samia ndio kosa

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 2 ปีที่แล้ว +1

      Una uhakika watanzania tunabubujikwa na machozi???unatusemea sio,,,na hizo takwimu umechukua wapi??Jisemee mwenyewe asee!!unabubujikwa na machozi alahaa!!

    • @leskarmeikok8956
      @leskarmeikok8956 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndio rais kikubwa tumuunge mkono atuvushe salama.

    • @kombedavis4056
      @kombedavis4056 2 ปีที่แล้ว +4

      Magreth usemalo ni kwel kbsa.....WATANZANIA tulio wengi na wazalendo tunabubujikwa na machoz ya uchungu....ila hawa wahamiaji ndo awaelew Tanzania Tanzania tumepoteza nn!

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Sumu ya panya inauzwa 300/= inaua familia nzima, we nenda kanuue ! Utakuwa na raha ya milele!

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 2 ปีที่แล้ว +1

    Mrembo MAA Shaa Allah

  • @hamednassor9499
    @hamednassor9499 2 ปีที่แล้ว +7

    Mwacheni mama yetu Rais wetu apunguze stress , binadamu habebeki utakavyo mfanyia hariziki ni sawa nakusema mvua na jua kipi Bora ikijamvua watu wanapiga zogo likitoka jua pia watu wana piga zogo Kwa hio mama chapa kazi anaekutaka sawa asiekuta sawa Ila ww ni prisedent of United Republic of Tanzanai

    • @enockabumba7513
      @enockabumba7513 2 ปีที่แล้ว +1

      Acha kujipendekeza weye. Unakua kama mtoto wa kike...!! Hovyoo😏😏

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

      @@enockabumba7513 WEWE DEMU NINI.

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +2

    Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojali

  • @jiwekichwa2857
    @jiwekichwa2857 2 ปีที่แล้ว +3

    Yeah ...pata burudani kidogo baada ya kazi ngumu.

  • @mfirajihalisitanzania5208
    @mfirajihalisitanzania5208 2 ปีที่แล้ว +3

    Samia ni mtoto nzuri mashalah nampenda Sana

  • @marianewton8283
    @marianewton8283 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwacheni mama hata akicheza mieleka si kaamua mwenyewe jamani heeeeee

  • @mussasugers
    @mussasugers ปีที่แล้ว

    Mama mashaallah unajicho legelege sana

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi mama nahilo pozi lakutafuna kabablishi Kama wasanii wakiwaga kwenye interview huwa nalipenda kweli

  • @thisandthat1523
    @thisandthat1523 2 ปีที่แล้ว +1

    Jina ya mwimbaji na wimbo??
    Lovely drum beats..so sensual🏌🏾🇰🇪

  • @dominiquemushy895
    @dominiquemushy895 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ambariki mama yetu hana maadui kama mwenda zake kokote anaishi bila ulinzi wa kutisha,Mama Mungu akulinde na maradhi yyt uishi miaka mingi

    • @gordiansoko9113
      @gordiansoko9113 2 ปีที่แล้ว

      Sasa hapa mwenda zake inamuhusu nini wakati yeye ameshajipumzikia.Hebu tuache mambo ya unafiki.

    • @edinawilliam2943
      @edinawilliam2943 2 ปีที่แล้ว

      Mgenchangua uko ukutulimtaka kwenda zake afu hapo njee askr wamechoka kulinga na uyo wapembeni sena wewe ndio sio adui y'ako usisee wezio

    • @ramashuzajr1271
      @ramashuzajr1271 ปีที่แล้ว

      ongea umbea wako achana na mwendazake kwanza wee ni kengetu huji tambui

  • @allykiba9727
    @allykiba9727 2 ปีที่แล้ว +2

    Nini cha ajabu? Binadamu kama mwingine ana muda nafsi yake inajiunga na burudani acheni ajinafasi,is not an issue

  • @neronapoleon6054
    @neronapoleon6054 2 ปีที่แล้ว +4

    Mwacheni Mama yetu

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 2 ปีที่แล้ว +3

    Mama nae kama unajichanganya kidogo tu unaweza kujikuta mikononi mwa dola,hatari sana yaani,apo ndo yuko na kitu kama 60,vuta picha enzi za 30 apo,kula raha mama kesho kazini ukonyooshe vichwa ngumu uko

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว +1

      Hana jipya.shame

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว +1

      Namwona Binti Suluhu leo!

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

      @@paulinacherement2534 WEWE UNA JIPYA ZAIDI YA KUDANGA DANGA OVYO.

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +2

    Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yangu hapo kama hautojli

  • @bawazirtwalib1659
    @bawazirtwalib1659 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana kazi na burdani kidogo

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @abdillahbakar5692
    @abdillahbakar5692 ปีที่แล้ว

    sio km alikwenda club au kwenye tarab hio ilikua shughuli ya harusi ya mtoto wa raisi mstasfu wazanzibar dr shein

  • @ernestroman8264
    @ernestroman8264 2 ปีที่แล้ว

    Kumlinda mh rais sio kazi ndogo...TUNAKUPENDA sana mama yetu Samia....Tunakuombea 2025 utuongoze TENA.

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 ปีที่แล้ว +3

    Mama Samiath Suluhu umedamshi na umetokelezea.... umependezaje.... yaani Uko Vizuri Sana.

  • @hassanmzila6854
    @hassanmzila6854 ปีที่แล้ว

    Mashaalah rais wetu

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 2 ปีที่แล้ว +4

    Kazi na dawa,na Utamaduni ni sehemu muhimu na kielelezo Cha jamii iliyostaarabiki hivyo mtu hata akiwa kiongozi kubeza Utamaduni wa jamii yake huyo ni mtumwa,hongera sana mama Samia
    kuonyesha mfano kwa kushiiki kuonsha mfano na mwongozo.Kazi iendelee uko juu kivitendo

  • @rosefranc4042
    @rosefranc4042 ปีที่แล้ว

    Mungu amlinde Mama yetu.

  • @shekhaal-hinai9037
    @shekhaal-hinai9037 2 ปีที่แล้ว +2

    Mama samia nakupenda sana achana na wajinga wajinga burudika mama etu

  • @margrethjonesmshana8555
    @margrethjonesmshana8555 ปีที่แล้ว

    Mama mrembooo huyu ,my president iiiii

  • @alisaleh5863
    @alisaleh5863 ปีที่แล้ว

    MSIMSAHAU MOLA WENU JMN, DUNIANI TUPITA HAPA

  • @eliasmwampale1351
    @eliasmwampale1351 2 ปีที่แล้ว +4

    Vibanda vya watu mnabomoa usiku wa manane na mnawaibia Mali zao. Umeme umetuongezea Bei umeshindwa kutofautisha umeme wa rea na tanesco. Kwani Nani ajui umeme wa rea ni mkopo tumepewa kwa ajili ya umeme vijijini nyie mnafunga huo wa rea mjini mnataka tulipie. Kuleni Bata Ila ipo siku mtakula batiki

    • @itwaaky75
      @itwaaky75 2 ปีที่แล้ว

      Acha kupotosha umeme vijijini bei ni 27,000

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 2 ปีที่แล้ว +5

    Kuwa rais ni kazi ngum sana unawabeba wajinga na welevu kwa pamoja muhim ni kuijenga nchi hayo mengne yanayosemwa waachie waliobebwa

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว +1

      Yeye ndio rais magufuri hakuwa raisi? Malipo hayana muda..na yeye .mungu ayajua yote na malipo na dhoruba kubwa linakuja cabana la kukosa mvua libyacha mtoto.

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว

      Acha muumba aitwe muumba.

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว

      Innalillah wainna ilaih rajiun

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 2 ปีที่แล้ว

      We nawe Katombwe bwana

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

      @@paulinacherement2534 MALAYA UNAJUWA KUTABIRI.

  • @abubakaridarus732
    @abubakaridarus732 2 ปีที่แล้ว +2

    Nchi za mabara wanacheza bolingo pia.

  • @kadaskarim5081
    @kadaskarim5081 2 ปีที่แล้ว +8

    Tumia ela zet

  • @abdchuo8354
    @abdchuo8354 2 ปีที่แล้ว +3

    Raha za pwani taratibu hakuna jasho.

  • @ramashuzajr1271
    @ramashuzajr1271 ปีที่แล้ว

    ka kuokoa ana kusomeshea familia yk nn Babu machawa nyinyi utawatu mpaka uku asaivi ukiwa napua ndefutu zanzibali una pata mkopo uku tuna ula wachuya nchi hii yaovyo

  • @jamesmahatane2723
    @jamesmahatane2723 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana sio kila siku kuumiza kichwa mapumziko muim pia

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 ปีที่แล้ว

    ❤ Mungu azidi kukulinda

  • @saidmohd7240
    @saidmohd7240 2 ปีที่แล้ว +9

    Hongera mama Samia! Punguza stress halafu utunyooshee watu! Watakuelewa tu na watakuheshimu!

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 2 ปีที่แล้ว

      Kweli bn anaonekan kuwa na stress

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 2 ปีที่แล้ว

      @@jescajulius8023 anawaza kwa nini alikua anatoa siri za IKULU huku ameaapa na UHAI WAKE UNAZIDI KUPUNGUA

    • @hamadali3231
      @hamadali3231 2 ปีที่แล้ว +1

      Muta jiju

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว +1

      Safi sana Mama yetu... Unapendeza! 💕🌹🇹🇿Mungu akubariki milele!

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว

      Nani wakumuheshimu..maybe asiyejua kufa...yanapita hayoo.hana jipya na malipo hapa hapa duniani

  • @tangamedia4729
    @tangamedia4729 2 ปีที่แล้ว +6

    mama ana jicho ❤️❤️❤️

    • @sarahsimon8060
      @sarahsimon8060 2 ปีที่แล้ว

      😁😁🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว +1

      🥰🥰Very beautiful ! 💐

    • @tangamedia4729
      @tangamedia4729 2 ปีที่แล้ว

      kawashinda haya wala nauli daaah 😔😔

    • @munasuleyman3159
      @munasuleyman3159 2 ปีที่แล้ว

      We Acha tu

    • @erickenneth1512
      @erickenneth1512 2 ปีที่แล้ว

      Li lol ww makengeza nn

  • @siloomar7699
    @siloomar7699 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyumban Raha weeeee atakae aje

  • @arafatreje2523
    @arafatreje2523 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mtu ametupiwa macho makali sana na wadada nyuma ya mama wako radar 254

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว +2

    Poleni saana..hasara iliyooje ya RABBI tustir Tanzania na maana haya.

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 2 ปีที่แล้ว

      Unataka watu Walie au?? ebu Waachie watu wajitumbuize wenyewao inakuhusu nini?? Umetumwaa??

  • @tastedigital
    @tastedigital ปีที่แล้ว

    Anayejua jina la hii taarabu plz

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 2 ปีที่แล้ว

    enjoii mama baada yakazi nzuri

  • @ahmedsalimfaraj7284
    @ahmedsalimfaraj7284 ปีที่แล้ว

    ماشالله دارسلم

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 2 ปีที่แล้ว +1

    Mama samia kipenzi chatu wanaoumwa na waumwe watakufa siku si zao tamba raisi wetu tunakupenda mmungu akueke.amin

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 ปีที่แล้ว

    Mama kama mama

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 2 ปีที่แล้ว

    Kitandawili natega kipwaga chapagwa moto ukamwagika sijui vikalipukaa mama embu nikumbushe kile kitandawili,President....

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 2 ปีที่แล้ว

    Raha jipe mwenyewe Mama pendeza weweeeeee❤️❤️❤️❤️

  • @ashasuleiman1464
    @ashasuleiman1464 2 ปีที่แล้ว

    Mashallaaah love you mumy🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰💓💓💓💔

  • @ahmadimilangali901
    @ahmadimilangali901 ปีที่แล้ว

    mama kusini hiku mbona hamtembelei hamna manufaa nako

  • @hijahamad6401
    @hijahamad6401 2 ปีที่แล้ว

    Karibuni sana

  • @mdqweqwe251
    @mdqweqwe251 ปีที่แล้ว

    Bibi tozo umejua kulembua jicho Mashallah

  • @baltazalcornel3743
    @baltazalcornel3743 2 ปีที่แล้ว +1

    jina la wimbo plz au access ya kuupata full

  • @richbird.123
    @richbird.123 ปีที่แล้ว

    Nani aloimba huu wimbo na niupi naomba munisaidie

  • @johnmike6059
    @johnmike6059 2 ปีที่แล้ว +2

    Na ndo maana ana maneno ya taaalabu sana duu wa tz tumekula hasala temu hii rais kalegea ivi

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

      MAMAKO KALEGEA MALAYA WEWE.

    • @sweetylove9918
      @sweetylove9918 2 ปีที่แล้ว

      Emu kajifunze kuongea kiswahili ww mbona unatuharibia lughayetu taalabu ndonini sema Taraab natumekula hasala ndonini sema Hasara pumbavu unusu

    • @sweetylove9918
      @sweetylove9918 2 ปีที่แล้ว

      Kalegea au karegea sasa ivi ulivoandika karegea yy au umeregea ww ?

  • @harunahamdani1176
    @harunahamdani1176 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mama

  • @ahmadnassor3697
    @ahmadnassor3697 2 ปีที่แล้ว

    Hapo alikua na harusi ya mtoto wake

  • @novatusabond9253
    @novatusabond9253 2 ปีที่แล้ว +1

    Abaya ndio habari ya mjini

  • @yohanasport5929
    @yohanasport5929 ปีที่แล้ว

    Rais nashida nakazi TU mm

  • @aidanbugufi6200
    @aidanbugufi6200 ปีที่แล้ว

    Akitoka hapo anapandisha kodi mtaniambia

  • @ahmedismail4192
    @ahmedismail4192 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani jicho hilo maaaa weee

  • @ramashuzajr1271
    @ramashuzajr1271 ปีที่แล้ว

    mna tambatu kisa ndio mlio shikilia mpini hongeleni wapemba

  • @mbaruokhamza4386
    @mbaruokhamza4386 2 ปีที่แล้ว +10

    Raharaha, bunge lipige kura atawale maisha yake yote.

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว

      Ng'0000

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว

      Atawale kwako...mungu lambda shemejio...acha mungu aitwe mungu libya cha mtoto

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว +1

      Milele daima!

    • @mandelamandela3150
      @mandelamandela3150 2 ปีที่แล้ว +5

      Bunge linamuondowa huyu Mama kwa Jina la YESU hatufai Tanzania huyu Mama !!!! Maombi yatafanyika.

    • @pilimwanza8117
      @pilimwanza8117 2 ปีที่แล้ว

      @@mandelamandela3150 😂😂😂

  • @hamadiayossy190
    @hamadiayossy190 ปีที่แล้ว

    mama mimi macho tu,hatareeee,💯💯💯💯

  • @abuuayoubayoub9260
    @abuuayoubayoub9260 2 ปีที่แล้ว +1

    Leo kajisahau maana huu mtandio hajajifunga ipasavyo kama siku zote anavyojutanda leo shingo iko wazi na nywele pia

    • @swahifaabdijuma2782
      @swahifaabdijuma2782 2 ปีที่แล้ว

      Kilemba kilee so nyweleee dear

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 2 ปีที่แล้ว +1

      @@swahifaabdijuma2782 ushindani sio mzuri hakuna kinakaa vile ni nywele zile

    • @swahifaabdijuma2782
      @swahifaabdijuma2782 2 ปีที่แล้ว +1

      @@abuuayoubayoub9260 mmeonaa ni kweliii😂Mapenzi yakizidi ndio ilivo hutetea ata pasipotetewa😁😁

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 2 ปีที่แล้ว +1

      @@swahifaabdijuma2782 ni kweli umezidiwa na kumpenda mpk wamtetea

    • @swahifaabdijuma2782
      @swahifaabdijuma2782 2 ปีที่แล้ว +1

      Nikwelii😂😂

  • @mlongomlongo6680
    @mlongomlongo6680 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @kibaopipa3474
    @kibaopipa3474 2 ปีที่แล้ว

    Mama Samia hayo macho iseee

  • @mwajumahamisi2006
    @mwajumahamisi2006 2 ปีที่แล้ว +4

    Huy mama wa kambo 😏😏😏 fyuuuu

    • @iddihassan316
      @iddihassan316 2 ปีที่แล้ว +1

      Muuke mamaako bas

    • @hamadali3231
      @hamadali3231 2 ปีที่แล้ว +1

      Hizo ni chuki zenu tuu

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว +1

      @Mwajuma Hamisi, Stress za nini? Utakufa mapema! Live happy, live long!

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว

      @@iddihassan316 libya cha mtoto mtalipwa..
      Innalillah wainna ilaih

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว

      God is great...thanks alot.your vission it's too far.merci bouquet. +260

  • @jafarjulanda1818
    @jafarjulanda1818 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ndio mwasema ana imani ya dini au usilamu jina tuu asikiliza taarqbu

    • @ZanzibarKamiliTV
      @ZanzibarKamiliTV  2 ปีที่แล้ว

      Imani ya mtu anaijua Allah. Kuna hadithi za Mtume sww zinaonyesha wako hadi walevi walizikwa na umati wa malaika sababu ya mema yao ambayo wengine hawakuyaona.

    • @jafarjulanda1818
      @jafarjulanda1818 2 ปีที่แล้ว

      @@ZanzibarKamiliTV kusoma nako mhmh akhy ww naona wabwabwaja tuu yaani ww ufanye Dhabi kwa makusudi ujifananize na hao watu

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 2 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @zarubinhamis613
    @zarubinhamis613 2 ปีที่แล้ว +3

    Wew na kikwete ndyo walewale mnapenda starehe kuliko nchi yenu mda huu ungetakiwa ujue utaifanyia nn nch yako

    • @bakarimohammed2796
      @bakarimohammed2796 2 ปีที่แล้ว +1

      Utajua mwenyewe

    • @mfalmekima5318
      @mfalmekima5318 2 ปีที่แล้ว

      Acheni usenge huo kwani hao maraisi waliopita walikua hawaendi kuburudika tena walikua wakikata mauno hasa hamna isipokua ubaguzi kwakua Mzanzibari mwacheni mama atulize akili apate burudani za pwani

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +2

      UNAMPANGIA MUDA KWANI WEWE NANI DAGAA WEWE WACHA KUDANGA NA FITINA FANYA KAZI UMEJICHANUA UNA JAMBA JAMBA 2

    • @ashrafbunu2371
      @ashrafbunu2371 2 ปีที่แล้ว

      Shame with your name for criticising your fellow Muslim.

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah mashallah
    Jicho analo na anajua hivyo anajua kulitumia mahala na wakati.
    Hakika Mungu kampendelea.
    Mashallah Raisi mrembo sana tena sana.
    Allah muhifadhi "Aamin "

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣Kweli!

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว

      Inna lillah wainna ilaih rajiun..hakika mumo hasarani na malipo yapo hapahapa...libya cha mtoto

    • @mkude
      @mkude 2 ปีที่แล้ว

      @@paulinacherement2534 wewe unamatatizo ya akili wewe,kila mtu akicomment wewe unaenda kupinga kwahiyo wewe ulitaka watu wote wawe na mawazo kama yako,kama wewe humkubali basi ujue wako wtz wengi sanaa wanamkubali.hiyo dua yako haifiki kokote.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@paulinacherement2534 KAMA KAZI HUWEZI KAUZE KUMA DUBAI.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      @@mkude DUWA GANI INATOKEA MKUNDUNI HUWO NI USHUZI.

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 2 ปีที่แล้ว

    Kula bata kwa kwenda mbele

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว

    Bimkubwa kimondo Siyo poa

  • @missnana7535
    @missnana7535 2 ปีที่แล้ว +1

    Jina la wimbo anayejua pls?

    • @tastedigital
      @tastedigital ปีที่แล้ว

      Nataman kujua pia

    • @sanaf8367
      @sanaf8367 ปีที่แล้ว

      Nyimbo inaitwa kibali iliimbwa na kikundi cha culture

  • @nassirmohd6850
    @nassirmohd6850 2 ปีที่แล้ว +1

    Basi haya

  • @salmahilal3577
    @salmahilal3577 2 ปีที่แล้ว +4

    Wewe unakula rahaa huku kuna kundi LA watu wasio na hatia umewaweka ndanii,,,, inajikuta hii dunia umeiunda wewe kuamua Uhuru wa watuuu,,,,, mungu anakuonaa na wakati wako unakuja tuuuu ,,,, In shaa Allah

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว

      AMIIIN

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว

      Tanzania it's going to bad economy.
      Ready nothing's easy. +250

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

      NA WEWE MUNGU ANAKUONA NA WAHUNI WENZAKO MTAKUFA MAPEMA KWA HUSDA ZENU.

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi mama raisi wetu

  • @dubaidubai9807
    @dubaidubai9807 2 ปีที่แล้ว

    Sasa Kuna ubaya
    Nisawa na waliotangulia kwenda sikinde . Juwata. Jazz, kumuangalia konde gang nk😬😜😜😜😜wabongo mnataabu sana

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 ปีที่แล้ว

    Mh anajicho bwana wee