Balozi Seif na Haji Kheir wajibiwa, waambiwa wao ni miongoni mwa walioizamisha Zanzibar matatizoni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Mahmoud Mahinda kijana kutoka chama cha ACT Wazalendo anachangia mjadala wa maridhiano Zanzibar uliofanyika katika mtandao wa Clubhouse katika chumba cha Gumzo la Ghassani. Katika video hii anajibu hoja za baadhi ya wananchama wa CCM na watu waliowahi kushika nyadhifa katika SMZ wanaoyaponda maridhiano ya Zanzibar na Serikali ya Umoja wa Kitaifa, GNU. Viongozi hao ni Balozi Seif Idd aliyewahi kuwa Makamu wa Pili wa Rais na Haji Omar Kheir aliyewahi kuwa waziri katika SMZ. Msikilize.

ความคิดเห็น •