If you would like to watch the recipe in English press ➡️ Stuffed chapati | How to cook soft and easy stuffed meat parathas | Stuffed meat parathas. th-cam.com/video/VUOdinXgjJs/w-d-xo.html
Asantee, ila kuna mpishi wangu anapika kwa kuzichovya kama maandazi na nyama zinakaa hapo juu upande mmoja, sijamkuta akiwa anapika natamani sana kujua, nae hasemi anaogopa kuigwa upishi jamani
If you would like to watch the recipe in English press ➡️ Stuffed chapati | How to cook soft and easy stuffed meat parathas | Stuffed meat parathas. th-cam.com/video/VUOdinXgjJs/w-d-xo.html
Yale mapishi ya chapati za kuchambuka, yamenisaidia nimepika na kufaulu sana. Maelezo yako mazuri, asante sana. Keep it up!!
Awww thank you soo much
Rukia...simply your the best mama💕
Hauna group watsap la mapishi...I love you rukia
Asante sana kwa mapishi haya nimeyapenda......nakushauri wakati mwingine kumbuka kuvua pete tafadhali....Asante.
Thanks 👌Rukia you explain very well and you have a nice voice i like it 👍
MashaAllah. Style nzuri saaana. Shukran habibty 🤩🙌🏽👍🏼
Shukran habibty 😘
Asante sister rukia kwa chapat,
How to cook nyama
Bisimilah mashallah shukran jazila
MashaAllah ji dada c kwa ubunifu huo mungu akuzidishie utujuze na zaidi
Ameen yarabi inshallah 🙏 Shukran
Mashallah 👍👍👍
MASHA ALLAH, very yummy
Yummy yummy a santa sana
Asantee hii lazima niipike santeee sana
Very nice
Mashallah so yummy 😋
Waoo
Asante dada ubarikiwe 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Amazing
Asante jazakallah khayran
Udenda umentoka Wallah😋
Mshllh
Mashalaaah
Mashallah yummy
Asante dear
Nice
Asante 🙏
Thx🙏🏻
Samahani ,,iv hiyo samli unayotumia niile ya kienyeji au unàinunulia super market
Supermarkt
Aiyayayyaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
yummy
Asantee, ila kuna mpishi wangu anapika kwa kuzichovya kama maandazi na nyama zinakaa hapo juu upande mmoja, sijamkuta akiwa anapika natamani sana kujua, nae hasemi anaogopa kuigwa upishi jamani
Plz did you boil the minced meat with the ingredients together
Iko poa
🤗😘😍🥰🤝🙏
❤❤❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰