Aki kuwa ana vuta kindukulu muhadhara....😂😂😂😂😂😂 iskaka hii iskupite.... Ina maanisha... alilewa akaanza kuvuta bhangi mbele kila mtu hadharani .... Hagaa... ni matako kubwa.... .. aliamabia mama wa matanga ako na mahaga..😂😂 Kibare ni kofi moto... kwenye shavu..
@@Vanisikaka ndio, blue ilikuwa rangi ya noti ya shilingi ishirini. Elfu moja ilipata jina brown kwa sababu ya rangi yake. Pia elfu moja kuna wale walibandika neno ndovu kwa sababu noti hiyo ilikuwa imechorwa ndovu
Unyamwezini ni kabila mojawapo hapa Tanzania, lakini pia ni kama msemo wa raia mtaani hasa mjini na hasa vijana wajanja na maneo ya kijanja ndio huitwa unyamwezini. Kwa kifupi unyamwezini humaanisha unyama.
@@Vanisikaka ndio, ni wachawi sana huku lakini wale wanaogopewa zaidi ni wale wa kutoka Zanzibar, ata wewe ukija Kenya au Nairobi kisha useme wewe ni mganga hatari kutoka Zanzibar basi hapo utapata wateja kibao
I love this dude's reactions. So much energy.
Fanya reaction ngoma flani ya mejja ya kinywamwezi sana inaitwa landlord
Hahaha. You know whaaaat
Unyamwezi mwingi
A great Throwback 👍 Kali sana. 🔥🔥
Poaaa sana
OKWONKWOOO!!!
Mtoto wa khadija
Unafanya kazi safi sana Kaka ,keep up the good work
UNYAMWEZI is my new favorite word
😂😂
Ha ha ha poaaa saana bro
Unyamweeez mwingi.
My best dem days meja kama mejja
Kabisaaa yan
We love mejja
Okwonkwoo was just destined to be great👊
Kali sana
Asanteee
Am still your biggest fan from Kenya
Unapenda meja bazenga 😂😂😂
Mkali..ana deserve hiyo love maan🔥🔥🔥
Nice reaction 🔥🔥🇰🇪
Asanteee
🔥🔥🔥🔥 nice throwback ne xt cheki bongo la biashara akiwa na jua cali
Tayari nimeshafanya
'Blue' aka 'Bao' is coins of 20 denominations
Nomaaa
Ksh 20 note was blueish in colour so lugha ya kuita 20/- blue ilianzia kutokana na rangi ya note
🔥🔥🔥💪💪
🔥🔥🔥🔥
Nimekubali 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Napenda sana mnyamwez #mablue ni shilingi ishirini
Poaa saana
Blue ni shilingi ishirini kwa lugha za mtaa.....
Vanisikaka come kenya tukupeleke na rieng joh.
Wallah nakujaaa
Nakbali sna..unyamwzi mwngi
Sanaaaa
U know watt!
Unyamwez mwngi
🔥🔥🔥
Mablue (shillingi ishiri ya kenya)
Poaa saaana
By then ksh 20 was bluish in colour so kwa lugha ya mtaani 20/- ni 'blue'
My guy you the BEST!!!!!!
Asanteee
from 254 ankal mzito hapa BLUE NI SHILINGI ISHIRINI 20 bob....
Mejja my man 😂😂😂😂
React to wagithomo by swat,extant,ssaru and fathermoh.It is a hit
Poa bro..in processing...👍👍
Hahahaha u know waaaat
Sina blue....inamaanisha Sina pesa
Usisahau Mimi Ni MKAMBA mwenyewe wa Nairobi 😂😂😂😂
Love your job
Ha ha mkamba kama mkamba
MKAMBA wa NAIROBI mnyamwezi vinoma 😂😂😂😂
Noti ya 20bob ilikuwa colour blue 😂😂😂ndo maana ishirini ikaitwa blue
Napenda vile unafagilia ngoma za Kenya reactions zako zinabamba
Blue 20 shillings
React to leo ni leo by Redsan kama TBT
Napenda show kazi safii kaka254 hapa bboy Melvo
Poaa saana
Noma kama noma fanya ingine ya Okwonkwo "Furahia maisha"
Poaaa saana
Bado hujareact kwa Nyandus by Sailors ft Krg
Mablu ni twenty bob
Blue ni ishirini
Mablue or blue ni sheng for 20 shillings coins. Ilitumika hapo early to mid 2000s
Aki kuwa ana vuta kindukulu muhadhara....😂😂😂😂😂😂 iskaka hii iskupite....
Ina maanisha... alilewa akaanza kuvuta bhangi mbele kila mtu hadharani ....
Hagaa... ni matako kubwa....
.. aliamabia mama wa matanga ako na mahaga..😂😂
Kibare ni kofi moto... kwenye shavu..
Aki ilinipita mzee
Mablue ni twenty bob shilingi ishirini.
Finaly...m da 1st hia loh.....okonkwoooooo zee la tambla
Umetishaaa
React to Niko Poa(Barua) by Mejja
TBT pia
Haina noma
React to niko poa by mejjar pia kaka braza
Poaa saaana
Hujawahi fanya reaction ya ngoma ata moja ya nonini...hebu jaribu 'kadhaa' by nonini or still 'manzi wa nairobi'
Blue = shilling ishirini Yani 20bob
Blue ni 20
Noma saana sheng ya miaka hiyoo
Mejja wa zamani ndio mejja wa ukweli.
Mablue ni 20Bob
Blue ni 20 shilings ilikuwa sheng ya kitambo siku izi inaitwa mbao...
Ha ha kuna mbao sikuhizi
@@Vanisikaka ila iyo mbao inamaana mbaya
Shillingi ishirini
Watu hutoka mbali sana.🤣🤣🤣 hadi Leo bado hajaacha pombe
Imagine mazee
Blue ni twenty shillings sheng ya hizo siku
Ha ha
van react to khali cartel 2 ya khaligraph jones
Nilifanyaa hio ngoma
Blue ni shilingi 20 zikiwa nyingi mablue
Ha ha sheng za kitambo
Mpaka saa hii Kenya shilingi 20 inaitwa blue
@@Vanisikaka noti ya ishirini ilikuwa colour blue😂kitambo kwa kwel
Mablue ni mabao yaani 20 bob coins
Blue ilitokea wakati noti za shilingi ishirini zilikuwa za samawati
Ha ha noma saana
Kitambo kulikuwa hakuna coins za shilingi tano,kumi hadi elfu moja. Coins peke zilikuwa shilingi moja pekee
Ooh yeah sheng ya zamani
@@Vanisikaka ndio, blue ilikuwa rangi ya noti ya shilingi ishirini. Elfu moja ilipata jina brown kwa sababu ya rangi yake. Pia elfu moja kuna wale walibandika neno ndovu kwa sababu noti hiyo ilikuwa imechorwa ndovu
ma blue ni coins za ishirini
Ma blu n twety bob
Ooh yeah
Mablue ni vipeni vya shilingi ishirini
Ha ha asante saaana
Ma blue ni shillings ishirini
Asantee saaana
Mablue ni 20bob
Mejja kama okonkwo##kuna ya JOVIAL wimbo PITA NAWE
Inakujaa sooon
Van video reaction mangwariti by mbogi genje
Poaa saana
Ile Nyumba ya landlord
Ha ha ha kabisaa
Mablue ni coins za ksh20
Mablue ni macoins za 20 bob
mablue ni 20 shilling
mablue ni 20 shillings coin
Mablu ni coins za shilingi ishirini
🔥🔥🔥🔥
blue ni coins za 20bob
Blue= 20 bob
Unamanishaga aje ukisema Ujamwezi mwingi..ambapo najua ni mojawapo ya kabila za tz
Unyamwezini ni kabila mojawapo hapa Tanzania, lakini pia ni kama msemo wa raia mtaani hasa mjini na hasa vijana wajanja na maneo ya kijanja ndio huitwa unyamwezini. Kwa kifupi unyamwezini humaanisha unyama.
@@barakachawe6241 nimekuelewa Sasa..itabidi nianzishe hilo neno huku Kenya
Mkamba ni kabila fulani huku Kenya
Ooh yeah ndio wachawi ama🤣🤣
@@Vanisikaka ndio, ni wachawi sana huku lakini wale wanaogopewa zaidi ni wale wa kutoka Zanzibar, ata wewe ukija Kenya au Nairobi kisha useme wewe ni mganga hatari kutoka Zanzibar basi hapo utapata wateja kibao
Tafuta mejja niko over my ex
Poaa saana
van niaje checki hii kazi th-cam.com/video/uW5qfmECAzc/w-d-xo.html
Poaa kaka utanicheck instagram ...
Mablue ni twenty bob