JUACALI FT MEJJA - BONGO LA BIASHARA |REACTION

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 56

  • @AboveandBeyondAviation1
    @AboveandBeyondAviation1 2 ปีที่แล้ว +2

    Great throwback..Mejja is aging like fine wine hit after hit🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️🤞

  • @fredrickawiti
    @fredrickawiti 4 ปีที่แล้ว +7

    Mutabaruka reggae poet from Jamaica

  • @christineachieng4170
    @christineachieng4170 4 ปีที่แล้ว +8

    I love GENGE to death. I will always prefer genge to gengetone any day.
    Genge tells a story about daily life. Gengetone ni story za sex and drugs.

  • @mcpkaydi
    @mcpkaydi 4 ปีที่แล้ว +5

    'ubongo' - akili, yaani smart mentality ya kuhustle kibiashara vipoa

  • @sirwayne7776
    @sirwayne7776 ปีที่แล้ว +1

    Bongo la biashara also means bongo meaning language resulting in business language

  • @kevinash3929
    @kevinash3929 4 ปีที่แล้ว +1

    From ke. 254 I love your hype energy big up vanisikika reaction. Positive vybes. Come on 254 subscribe.
    Vanisikakabazuuuuuuuu

  • @bwiznation
    @bwiznation 4 ปีที่แล้ว +6

    Van Isikaka,,,,hizi reactions za kinyamwezi ni noma sana

  • @MartinezzJT
    @MartinezzJT 4 ปีที่แล้ว +3

    Alfu pia mimi napenda old school za mzito kama Jaymo -all the way from 254 -song moja napenda ni "Kama unataka Dame" -noma sana.

  • @swakairoh
    @swakairoh 9 หลายเดือนก่อน +1

    Juacali anaeza kuwa anaongea kuhusu Ngono.... lakini mistari unaskia sijui Laptop,mawaya,speaker...sijui gari ...😂😂😂

  • @christineachieng4170
    @christineachieng4170 4 ปีที่แล้ว +5

    I love GENGE to death. I will always prefer genge to gengetone any day.

  • @SONNIE-e2b
    @SONNIE-e2b 2 ปีที่แล้ว

    Genge love forever mejja big up.a legend

  • @chucknose
    @chucknose 2 ปีที่แล้ว

    Kitu Kali ... kwerii kwerii

  • @felosopha445
    @felosopha445 3 ปีที่แล้ว

    This guy is so hyped.

  • @ankalmzito2545
    @ankalmzito2545 4 ปีที่แล้ว +1

    CALIF RECORD hiyo ni studio....

  • @ahutamorris
    @ahutamorris 4 ปีที่แล้ว +3

    Hii ni kabla ya Diamond

  • @Mohamedamin-xx6lz
    @Mohamedamin-xx6lz 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapo sawa🤣🤣🤣

  • @peterorina3516
    @peterorina3516 ปีที่แล้ว

    kuna hii ya wakadinali doman munga cypher 2.0.van hiyo utatii.plz take a review at this

  • @felosopha445
    @felosopha445 3 ปีที่แล้ว

    Akili ya kuhustle. Bongo la biashara.

  • @jeffchurum1431
    @jeffchurum1431 4 ปีที่แล้ว +5

    React to Under 18 by Jimwat

  • @bantuvoicemuchaikinuthia2536
    @bantuvoicemuchaikinuthia2536 4 ปีที่แล้ว +1

    1:46 check out this word. .MRAAH. ...vitu za mraa (mradi. ..ama roundi )ni za udingo (wizi )mtaa ni tuii ta mraah 。。。。hndiyo maana ya bongo. ..la biashara. .

  • @bantuvoicemuchaikinuthia2536
    @bantuvoicemuchaikinuthia2536 4 ปีที่แล้ว

    this must be the easiest ...old skul sheng....we schooled and lived around this time.....
    bongo la biashara...(mtaani inaitwa MRA )...meaning. ..vitu za kuibiwa alafu unauza bei ya kutesa karibu na bure. ..

  • @ankalmzito2545
    @ankalmzito2545 4 ปีที่แล้ว

    254 mzito hapa HAMSINI NI HAMSINI 50bob shillings

  • @kevinash3929
    @kevinash3929 4 ปีที่แล้ว +2

    also react to mejja. jana kuliendaje...

  • @dr.bmofficial5393
    @dr.bmofficial5393 4 ปีที่แล้ว +5

    Black market ni soko ya magendo sio Biashara ya halali

  • @Joe-hw4dr
    @Joe-hw4dr 4 ปีที่แล้ว +1

    5:35 wacha Okonkwo mwenyewe akuelezee link: th-cam.com/video/8zBS8pHOa8A/w-d-xo.html

  • @sampe254tv
    @sampe254tv 4 ปีที่แล้ว

    mtambaruka ni reggae arstist fulani wa jamaica...........hahha

  • @denisitele
    @denisitele 4 ปีที่แล้ว +1

    Mejja - Landlord

    • @Vanisikaka
      @Vanisikaka  4 ปีที่แล้ว

      Nimeshafanya angalia vizuri

  • @gitahigichohi3984
    @gitahigichohi3984 4 ปีที่แล้ว +2

    Wanaimba kuhusu bidhaa za wizi, vile vimeporwa mtaani hapa kenya na sasa wanazitafutia soko kwa kuwadanganya watu ni mpya. Black market ni soko la kuuza vitu haram ama vitu za kupora

  • @felosopha445
    @felosopha445 3 ปีที่แล้ว

    Hamsini ya kenya iu elfu moja ya TZ.

  • @forgottenarchives
    @forgottenarchives ปีที่แล้ว

    Bongo la biashara means "mind for business ", yaani kuwa street smart, akili ya biashara

  • @alexmacharia5246
    @alexmacharia5246 4 ปีที่แล้ว

    Bongo la biashara yaani place ya bizz

  • @nicoledinga9948
    @nicoledinga9948 4 ปีที่แล้ว +2

    Ati hamsini ya Kenya ni fifty cents za tz?🤣🤣🤣are u joking mahn..pesa ya Kenya ni kama dollar tz my fren

  • @ahutamorris
    @ahutamorris 4 ปีที่แล้ว

    Bongo la biashara ni mseto wa biashara

  • @andrewkim110
    @andrewkim110 4 ปีที่แล้ว

    inaitwa carlif record

  • @dr.bmofficial5393
    @dr.bmofficial5393 4 ปีที่แล้ว +2

    Clifrecord or California Record

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 4 ปีที่แล้ว

    Bongo la biashara ni black market, biashara ya second hand au kuuza vitu vya kuiba yani kuuza bidhaa kwa bei ya kutupa

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 4 ปีที่แล้ว

    Tafuta nyengine ya Mejja inaitwa jana kuliendaje

  • @bantuvoicemuchaikinuthia2536
    @bantuvoicemuchaikinuthia2536 4 ปีที่แล้ว

    nime kuku bali msee. ....approved by a nairobian. ..we love our language. .

  • @dikembeombutu4239
    @dikembeombutu4239 4 ปีที่แล้ว +3

    Bongo la biashara = Eneo la biashara

    • @Vanisikaka
      @Vanisikaka  4 ปีที่แล้ว

      Ooh poa saana

    • @salimnjuguna982
      @salimnjuguna982 4 ปีที่แล้ว +3

      @@Vanisikaka Bongo la biashara ni Akili ya biashara. Bongo from Ubongo... Business mind

  • @ahutamorris
    @ahutamorris 4 ปีที่แล้ว

    Sasa hizi ndizo genge za ukweli

  • @mealsbymana6561
    @mealsbymana6561 4 ปีที่แล้ว +1

    Do you know what bro

  • @bantuvoicemuchaikinuthia2536
    @bantuvoicemuchaikinuthia2536 4 ปีที่แล้ว

    vitu za mraa h

  • @milchshake4162
    @milchshake4162 4 ปีที่แล้ว

    HAMSINI YA KENYA NI ELFU MOJA NA SABINI YA TANZANIA 🇰🇪🇹🇿