Sasa kama hayo maeneo yabondeni ni mikondo ya maji, kwanini serikali ina sajiri hizo nyumba na ina pokea kodi. Mimi nazani serikali inatakiwa itoe mpango kazi (master plan) ya ujenzi wa nyumba nchi nzima, ikiwemo kuweka hiyo master plan kwenye online portal wananchi wajue sehemu gani inaweza kujengwa na kwa ubora gani, na sehemu gani haiwezekani kujenga na kwanini. Pia ngazi za chini za ki serikali zihusishwe kuanzia ngazi ya mjumbe wa nyumban kumi kumi n.k.
Pamoja na yote mazuri unayoyaongea Nashauri mito,mikondo ya bahari waliyozuia barabara peleka jeshi lako waaminifu wanafungue mikondo, mitaa ili tatizo hili lifike mwisho.serikali za mitaa wekeni watendaji siyo kuwa genge la wala rushwa.
Sasa kama hayo maeneo yabondeni ni mikondo ya maji, kwanini serikali ina sajiri hizo nyumba na ina pokea kodi.
Mimi nazani serikali inatakiwa itoe mpango kazi (master plan) ya ujenzi wa nyumba nchi nzima, ikiwemo kuweka hiyo master plan kwenye online portal wananchi wajue sehemu gani inaweza kujengwa na kwa ubora gani, na sehemu gani haiwezekani kujenga na kwanini. Pia ngazi za chini za ki serikali zihusishwe kuanzia ngazi ya mjumbe wa nyumban kumi kumi n.k.
Hii kauli itakuja kutugharimu wana Dar-es-Salaam.. Mungu hataniwi
Chagueni tiles zisizotereza msivunje watoto miguu
" Na Maji ya kutosha yanapitia mpaka Madirishani -
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kati ya kitu ambayo huwa nashangaaa ,ni engineers wetuu wa barabara wamesomea iyo kozi kweli
Basi kama dar hamna mafuriko watu wa bondeni basi tuendeleeni kuishi huko mabondeni
Mh mnaenda kwa mwendo wa kobe
Njoo balabala ya makabe msakuzi msumi utusaidie. Hayo yapo
Pamoja na yote mazuri unayoyaongea Nashauri mito,mikondo ya bahari waliyozuia barabara peleka jeshi lako waaminifu wanafungue mikondo, mitaa ili tatizo hili lifike mwisho.serikali za mitaa wekeni watendaji siyo kuwa genge la wala rushwa.
😂😂😂😂mungu ni mwema fanya kazi baba balala mbovu sana ila kauli nyingine jamani
Sina jins lazima nicheke tu
Peleka maji mahakaman
Hahhahhahahah