@@Hamis-ks1sy na ALIOKUWA hajui kiarabu hawezi kufasiri QURAN NA SUNNA za kiarabu. PILI. SUFI PIA WANAJITAMBUA KUWA NI AHLUSUNNA NA SALAFY NAO TUNASEMA NI AHLUSUNNA. SASA TUWAJIBU KWA HOJA IKIWA SISI NI AHLUSUNNA KWELI NA SIO KUITA SUFI SUFI WAKATI WAO HUJA NA HOJA ZINAZO ELEWEKA ILA TUNAJIFANYA KAMA HATUELEWI
😂😂😂😂😂😂 MUWAHAB ANASEMA UNATETEA MAASWIA KWA MAASWIA 😂😂😂😂. YAANI KUSEMA *SWALALLAHU ALAA SAYYIDNA MUHAMMAD* NI MAASWIA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. BASI UTAENDA PEPONI PEKEAKO ABUU KHAULA KWASABABU WAISLAMU WOTE NA WANACHUONI WAO WANASEMA SWALALLAHU ALAA SAYYID NA MUHAMMAD. HEEEE! EHEEE NA KINEHEE ZA MAWAHABI NDIO HIZI 😂. NA MIJAHILIA YAO INAYOSIKILIZA INASEMA NDIO TU 😂😂😂. MAWAHABI HATA WAKIAMBIA WAINAMISHE MATAKO NA WALIMU WAO WATATOA TU NAONA KWA HALI HII😂😂😂😂
Allah akulipe khair sheikh wetu
huyo ndo abuu khawlah. oh my god bless him
Maa shaa Allah
Hapo abuu khaula umemgusa pabaya mziwanda, hana hoja tena, kalowa kwa lupondo kisawa sawa.
Usufi mtihani sana
Mtihani KWASABABU hatuna elimu ya kujibu hoja ZAO
@@hilalkhalfan1452 hawana hoja za maana zaidi ya kufasiri maandiko kwa akili zao sababu wanajua nahw na balagha.
@@hilalkhalfan1452 yaani Ahlusunna wasiwe na hoja za kuwajibu masufi??hahahaha
@@Hamis-ks1sy na ALIOKUWA hajui kiarabu hawezi kufasiri QURAN NA SUNNA za kiarabu. PILI. SUFI PIA WANAJITAMBUA KUWA NI AHLUSUNNA NA SALAFY NAO TUNASEMA NI AHLUSUNNA. SASA TUWAJIBU KWA HOJA IKIWA SISI NI AHLUSUNNA KWELI NA SIO KUITA SUFI SUFI WAKATI WAO HUJA NA HOJA ZINAZO ELEWEKA ILA TUNAJIFANYA KAMA HATUELEWI
@@Hamis-ks1sy KWANI Ahlusunna ni NANI
Hapo sheikh Abu khaula umemgusa Muharram ataweza kubeba mizigo
Abuu khaula yuko sahihi kila kitu mssuf wamekichafiwa
KHABARI ZENU TUNAZO"
Unesema kweli من جهل شیاءً عاداه na wew unawakilisha hao uliosema maana umekanusha vitu vingi ambavyo vipo
KHABARI ZENU TUNAZO!
Mfano wa mwizi ulioutoa sio sahihi
Sioni zaidi ya ushabiki tu na kutafuta kujulikana kupitia kupingana na ukweli
SHEIKH MZIWANDA UKO SAHIHI HUYU ABUU HAULA NI WAHABI NI WATU WA KUPINGA PINGA HATA KITU SAHIHI
Wewe jitu la bidah endeleeni kumzushia Mtume mtakuja kujua na na hao Masheikh wetu wazushi...
Wazushi nyie ni watu wa hatari sana. Mnaiharibu dini...
@@nahlaaasidee1848 toa hoja, malalamiko peleka polisi. HAPA ni hoja tu
Bangi hizo sasa, yaani badala ya kuleta hoja waleta ushabiki.
MAWAHABI LINI MNATEGEMEA KUACHANA NA TABIA ZA KUSUTANA NA KUANZA KUFUNDISHA WATU DARSA KAMILI?!!!
Hii ni zaid ya darsa shehe dini bila ya raddi km hvi haiendi
@@AbuJuhaifah-c8j ndio Sunna ya Mtume SW au kufundisha kujibuzana?.
@@AbuJuhaifah-c8j UNATAKA kusema, DINI BILA kugombana na kurushiana maneno haiendi mbele!!!
Lazima WAPIGA NYAMBU KWENYE DINI WABAINISHWE....MAKHURAFI WAZUSHI....MIJITU YA BIDAAA.......
@@SameerMdumbemalongo KWELI lazima. LAKINI kwanza jibu SUALI nilio uliza, lini mtaanza kufundisha watu kumswalia Mtume SW?
😂😂😂😂😂😂 MUWAHAB ANASEMA UNATETEA MAASWIA KWA MAASWIA 😂😂😂😂. YAANI KUSEMA
*SWALALLAHU ALAA SAYYIDNA MUHAMMAD* NI MAASWIA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. BASI UTAENDA PEPONI PEKEAKO ABUU KHAULA KWASABABU WAISLAMU WOTE NA WANACHUONI WAO WANASEMA SWALALLAHU ALAA SAYYID NA MUHAMMAD. HEEEE! EHEEE NA KINEHEE ZA MAWAHABI NDIO HIZI 😂. NA MIJAHILIA YAO INAYOSIKILIZA INASEMA NDIO TU 😂😂😂. MAWAHABI HATA WAKIAMBIA WAINAMISHE MATAKO NA WALIMU WAO WATATOA TU NAONA KWA HALI HII😂😂😂😂
😂😂😂
Kichwa chako kinahoma kweli na ufahamu wako pekeako umekaa kibishi uyo mziwanda kafahamu vzr wala hatojibu
@@AbuJuhaifah-c8j wewe mkereketwa, kwahio huwez kujua mwandani wako akikufuru .
Hawa niwalokole wa kikatoliki kusoma hataki