Inna Lilah wainnailay rajiun, Allah mma ajrunii fee musibati waalifliikhair Khair Minha, Namuomba mola amsamehe makosayake na afanye kaburi lake liwe moja ya viwanja vya pepo inshaallah
Sheikh Hemeid bin Jumaa bin Hemeid (Al Marhum) Sheikh Kassim bin Jumaa (Al Marhum) Sheikh Suleiman Gorogosi (Al Marhum) Sheikh Suleiman Bin Amran Kilemile (Al Marhum) Sheikh Muharram Juma Doga (Al Marhum) Sheikh Twaha Suleiman Bane Wanazuoni wakubwa kuwahi kutokea katika nchi hii tuliwaidhika sana kupitia RTD na mawaaidha Yao miaka Ile 1980s - 1990s, Allah awape Pepo waliotangulia mbele ya Haki na waliohai Allah awape umri mrefu tuzidi kufaidika nao insha'Allah
Hakika, nilikua mdogo sana wakati huo RTD wanapoanza matangazo asubuhi walikua wakifungua na dua , mawaidha na Qur-an na msomaji ni Muharram Juma Doga.......nimemsikiliza sana lakini sijawahi hata siku moja kumuona. Mwenyezi mungu ampe makazi mema pepoi ...amen
Innaalillahi wainnaailayhir rajiuun Allah amthibitishe kwa kaulithaabit
innalillahi wainnailaihi raajiuun shekh wetu mola akurdhie akusamehe madhambi yako na akujaalie rehma zako
Inna Lilah wainnailay rajiun, Allah mma ajrunii fee musibati waalifliikhair Khair Minha, Namuomba mola amsamehe makosayake na afanye kaburi lake liwe moja ya viwanja vya pepo inshaallah
Huyu jamaa anayewashikia maiki masheikh wakizungumza allah kuna jambo atampa tu hiko kitu alichokifanya hapo ni kikubwa sanaa allah akubarik
Sheikh Hemeid bin Jumaa bin Hemeid (Al Marhum)
Sheikh Kassim bin Jumaa (Al Marhum)
Sheikh Suleiman Gorogosi (Al Marhum)
Sheikh Suleiman Bin Amran Kilemile (Al Marhum)
Sheikh Muharram Juma Doga (Al Marhum)
Sheikh Twaha Suleiman Bane
Wanazuoni wakubwa kuwahi kutokea katika nchi hii tuliwaidhika sana kupitia RTD na mawaaidha Yao miaka Ile 1980s - 1990s, Allah awape Pepo waliotangulia mbele ya Haki na waliohai Allah awape umri mrefu tuzidi kufaidika nao insha'Allah
Hakika, nilikua mdogo sana wakati huo RTD wanapoanza matangazo asubuhi walikua wakifungua na dua , mawaidha na Qur-an na msomaji ni Muharram Juma Doga.......nimemsikiliza sana lakini sijawahi hata siku moja kumuona. Mwenyezi mungu ampe makazi mema pepoi ...amen
@@Chemba67Aaamen! Hata Mimi nilikuwa nawasikiliza sana hawa wanazuoni wakati huo! Dah, innalillah wainnailaih raajeooun!
Inna lillahh wainna ilayhii rajiuun!!!Allah amfanyie wepesi kiongozi wetu!!pia tujalie mwisho mwema ya rabbi sisi tuliobaki huku duniani
Sheikh Walid hazungumzi ila kuna Faida ndani yake ALLAH amuhifadhi
Inna lilah waina ileyhi rajiun mwenyezi mungu amlaze pema penye wema Ameen Ameen Ameen yarab 🤲
اللهم اغفر له وعافيه واسكنه في الجنات.
Innalillah wainailayhi rajiuni
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة
الله يرحمه ويغفر ذنبه
innalillahi wainna illayh rajiun
Juzi tu alikua ktk kongamano la kinamama leo daah hatunae
Hiyo aibu inaenda kwanani
Kila nafsi itaonja umauti
Ni aibu Kwa kukosekana kwa kiongozi wa serikali kwani sheikh alikuwa public figure
Yeye Binafsi Hakuwa Mtu Wadunia Zaidi Aiizingatia Akhera. Hao Viongozi Wakiakhera Watatosha.
@@nurdinmfamau3493 Jib zuri MashaALLAH
Tutosheke na haya. Sisi ndiyo Public, Umma. Allah sw amuhifadhi.