Neema Gospel Choir - Mbinguni Itakuwaje? (Live Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 591

  • @NeemaGospelChoir
    @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน +125

    MBINGUNI ITAKUAJE LYRICS.
    Mbinguni itakuaje?
    Kwa Baba itakuaje?
    Tutashangilia kwa Baba
    Imba kwa Baba itakuaje?
    Mbinguni itakuaje?
    Kwa Baba itakuaje?
    Tutashangilia kwa baba
    Imba kwa Baba itakuaje?
    Mbinguni itakuaje?
    Kwa Baba itakuaje?
    Tutashangilia kwa Baba
    Imba kwa Baba itakuaje?
    Mbinguni itakuaje?
    Kwa Baba itakuaje?
    Tutashingilia kwa Baba
    Imba kwa Baba itakuaje?
    Hakuna njaa
    Hakuna giza wala kiu
    Ni kuimba milele
    Na kumuinua Bwana
    Hakuna njaa
    Hakuna giza wala kiu
    Ni kuimba milele
    Na kumuinua Bwana
    Hakuna njaa
    Hakuna giza wala kiu
    Ni kuimba milele
    Na kumuinua Bwana
    Hakuna njaa
    Hakuna giza wala kiu
    Ni kuimba milele
    Na kumuinua Bwana
    Just imagine
    How we gonna dance
    Just imagine
    How we gonna sing
    Hossana
    Just imagine
    How we gonna dance
    Just imagine
    How we gonna sing
    Hossana
    And music gonna sound
    We gonna dwell in his presence
    Praise his Majesty
    Because he is the Lord
    And he is worth to be praised
    We gonna dwell in His presence
    Praise his Majesty
    Because he is the Lord
    And he is worth to be praised
    We gonna dwell in his presence
    Praise his Majesty
    Because he is the Lord
    And he is worth to be praised
    We gonna dwell in his presence
    Praise his Majesty
    Because he is the Lord
    And he is worth to be praised
    We gonna dwell in his presence
    Praise his Majesty
    Because he is the Lord
    And he is worth to be praised
    We gonna dwell in his presence
    Praise his Majesty
    Because he is the Lord

    Tutaimba mbele zake
    Na kucheza mbele zake
    Mbele za Bwana, mbele za Bwana
    Tutaimba mbele zake
    Na kucheza mbele zake
    Mbele za Bwana, mbele za Bwana
    Tutaimba mbele zake
    Na kucheza mbele zake
    Mbele za Bwana, mbele za Bwana
    Tutaimba mbele zake
    Na kucheza mbele zake
    Mbele za Bwana, mbele za Bwana
    We gonna dwell in his presence
    Praise his Majesty
    Because he is the Lord
    And he is worth to be praised
    We gonna dwell in his presence
    Praise his Majesty
    Because he is the Lord
    And he is worth to be praised

    • @Beny_Daniel
      @Beny_Daniel 3 หลายเดือนก่อน

      Amen amen 🙏

    • @myself-ed9kl
      @myself-ed9kl 3 หลายเดือนก่อน +1

      I feel blessed ❤❤

    • @Beny_Daniel
      @Beny_Daniel 3 หลายเดือนก่อน

      @@myself-ed9kl Amen

    • @JevestinaJames
      @JevestinaJames 3 หลายเดือนก่อน

      Mbarikiwr Sanaa neema gospel......zaburi 100:2 ......your really doing God's work🎉🎉🎉

    • @mariamuna4789
      @mariamuna4789 3 หลายเดือนก่อน

      just imagine how we gonna dance🔥🔥🔥🔥

  • @PauloJulius-uq8mi
    @PauloJulius-uq8mi 3 หลายเดือนก่อน +151

    Daah sijui ni kwanini Mimi kila niki Comment sipati hata like 😥🤦😭🙆🙆

    • @ellymwasalemba4874
      @ellymwasalemba4874 3 หลายเดือนก่อน +4

      😂😂 ila watu tuna matatizo 🙌🏾😂

    • @rachelsenni8919
      @rachelsenni8919 3 หลายเดือนก่อน +4

      Hiyo hapo mpendwa

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน +3

      ✅️✅️✅️💯

    • @MichaelMgallaTz
      @MichaelMgallaTz 2 หลายเดือนก่อน +5

      Nasikia raha tu Katika YESU sijui wewe mwanacommet mwenzaa

    • @mariamawazo9305
      @mariamawazo9305 2 หลายเดือนก่อน +1

      うぇ

  • @jesusislord5045
    @jesusislord5045 3 หลายเดือนก่อน +83

    I hope to meet you guys in heaven!. Kama unaamini utaingia mbinguni gonga like hapa❤🙏

  • @samwelcharles4134
    @samwelcharles4134 3 หลายเดือนก่อน +91

    Haya jaman nimewahi na Mimi nipeni like zangu za kutosha.❤

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @moviesclips5759
      @moviesclips5759 3 หลายเดือนก่อน +1

      Like za nn mwanaume

    • @samwelcharles4134
      @samwelcharles4134 3 หลายเดือนก่อน

      @@moviesclips5759 kwa utukufu wa MUNGU tu ni moja ya kupenda nyimbo Hadi nimechanganyiwa na neema gospel 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mcharvey3578
      @mcharvey3578 3 หลายเดือนก่อน

      Za kazi gani sasa

    • @samwelcharles4134
      @samwelcharles4134 3 หลายเดือนก่อน

      @@mcharvey3578 wewe Sasa maswali kibao ebu tusikilize kwanza mbinguni itakuaje!😊😊😊

  • @happinessandrea2118
    @happinessandrea2118 2 หลายเดือนก่อน +25

    Nataman nifike jamani,,,eeh Yesu umkumbuke kila atakae soma comment hii siku moja tukutane mbinguni,,,Kwa Yesu yote yanawezekan

  • @Christinah301
    @Christinah301 2 หลายเดือนก่อน +13

    Mbinguni itakuwaje wow Kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mko wapi come here we show some love 😘 likes zikam

    • @psalmistjosephsnr7392
      @psalmistjosephsnr7392 2 หลายเดือนก่อน

      Im telling you. It's really a thrilling and an enthusiastic gospel music hits. Twende kazi wadau🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @poh-beyz1860
    @poh-beyz1860 3 หลายเดือนก่อน +22

    Mungu anataka mziki mzuri na mziki mzuri ndo huu acha utukufu mrudie YESU

  • @christinebeula
    @christinebeula 17 วันที่ผ่านมา +2

    I like the way hao watoto wanacheza ,,,jameni wanaitwa kina nani nawapenda sanaa❤❤

  • @nickyamani7402
    @nickyamani7402 3 หลายเดือนก่อน +26

    Wapi likes za Kenyans Suppoters ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน +1

      ❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @PaulineMajengo
    @PaulineMajengo 2 หลายเดือนก่อน +7

    A quality Misic, HAWANAGA KAZI MBOVU KAMA NA WEWE UNAAMINI HAWANA KAZ MBOVU NA WANAKUBARIKI SANA KWA VIWANGO VYA JUU,,USIPITE BILA KULIKE

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  2 หลายเดือนก่อน +1

      Utukufu kwa Mungu🙏🙏🙏

  • @matendomedia
    @matendomedia 2 หลายเดือนก่อน +17

    TULIORUDIA ZAIDI YA MARA 10 GONGA LIKE HAPA.

  • @gracenyakaninign2044
    @gracenyakaninign2044 3 หลายเดือนก่อน +7

    Team Kenya.. please like ❤❤❤❤❤❤

  • @PeterAnyimikisyeKalinga-ou5so
    @PeterAnyimikisyeKalinga-ou5so 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kwa wale wote mnaotegea kumchezea Bwana hapa duniani niwape tu pole, Mbinguni itakuwaje maana tutacheza na kumwimbia Baba yetu

  • @BeritahWambani
    @BeritahWambani 3 หลายเดือนก่อน +12

    Ameen natamani siku moja.niwe miongoni mwa wale watakao onana na bwana🎉🎉❤

  • @elishabatromayo1892
    @elishabatromayo1892 3 หลายเดือนก่อน +8

    Wacha Mungu apokee utukufu Kwa kazi nzuri na yenye kubariki sana Mungu aendelee kuwainua viwango vya world Mbinguni hii lazima tukaicheze

  • @davidkomba9781
    @davidkomba9781 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ko neema gospel hule wimbo tunao uomba kila siku mmegoma kuutoa kbsa
    Najuua mnaujua, mnaimba hivi kama dhahabu ipitishavo katika moto huo ss

    • @humphreypeter5641
      @humphreypeter5641 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hio nyimbo hata haijarekodiwa wala kufanyiwa live record kua mvumilivu ndugu

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน +1

      Tunaomba uvumilivu wako tunalifanyia kazi ombi lako🙏

  • @benjaminmutua7906
    @benjaminmutua7906 3 หลายเดือนก่อน +12

    My best Kiswahili choir

  • @SamwelDaudi-qj7js
    @SamwelDaudi-qj7js 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sana Neema Gospel Mungu awainue kutoka utukufu hadi utukufu🎉

  • @SEPHTECH
    @SEPHTECH 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awabariki Sana Neema Gospel nawapenda

  • @josephezekielmasolwa8283
    @josephezekielmasolwa8283 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa jamaa mziki wanautendea haki kweli kweli. 🎉

  • @kalamuyangu1
    @kalamuyangu1 2 หลายเดือนก่อน +4

    Utukufu kwa Mungu pekee aliyeweka kibali ndani yenu NEEMA GOSPEL CHOIR

  • @MinzaMadilo-zf5yl
    @MinzaMadilo-zf5yl 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mbinguni itakuwa shangwe ,tutapewa mwili mpya na Bwana tutaimba bila kuchoka ❤❤❤❤❤

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      Just imagine 🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @ElizabethBunga-y8p
    @ElizabethBunga-y8p 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Mungu tusaidie tuione mbingu yako uliyotuandalia

  • @NeemaNjile9
    @NeemaNjile9 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nabarikiwa mpaka Nawish siku hiyo ifike amen sana barikiwa sana Neema gospel

  • @kipkiruigillie4332
    @kipkiruigillie4332 2 หลายเดือนก่อน +1

    Papa Freddie masanja ,kepha mndeme, Andrew Michael, bassist and the drummist and huyo kaka wa Aux 2...nyie mko fireeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥jameeni Doing great work from Kenya 🇰🇪 Moore love watu wa mungu

  • @Johnny-s5x8d
    @Johnny-s5x8d 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bella !!❤aiii Wacha Mungu akubariki milele Nakupenda sana belle❤

  • @EliasafiEliapenda-px3ss
    @EliasafiEliapenda-px3ss 3 หลายเดือนก่อน +5

    Oooo hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah niliisubili sana . Tutashangilia kwa Baba ,Imba kwa Baba,

  • @santebnassaryrabi2238
    @santebnassaryrabi2238 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mbinguni itakuaje tutashangilia kwa baba

  • @chemutaijaneth568
    @chemutaijaneth568 2 หลายเดือนก่อน +2

    Itakuwa raha ilioje❤

  • @brandsmedia4861
    @brandsmedia4861 3 หลายเดือนก่อน +6

    NIMEKUBALI WAKUU hii Choir ni Next seriously Levels

  • @samwelmohabemarwa5316
    @samwelmohabemarwa5316 3 หลายเดือนก่อน +4

    Neema Gospel Choir mbarikiwe sana,Utukufu kwake Bwana.

  • @kilangiih
    @kilangiih 3 หลายเดือนก่อน +8

    Another new hit in town ase 🎉Tutashangilia,tutaimba na kucheza aisee sipati picha Mbinguni itakuaje 🤔... Haya tukutane hapa 🇹🇿🇷🇼🇰🇪🇺🇬🇺🇸🇹🇹🇹🇷🇹🇴🇹🇳🇺🇿🇸🇸🇸🇷🇸🇴🇸🇲🇸🇱🇸🇰🇸🇧🇸🇨🇸🇩🇸🇪🇸🇪🇷🇺🇷🇼🇸🇦🇵🇭🇵🇫🇵🇪🇳🇬

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      Hakika mpendwa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌

  • @treasureforashes3497
    @treasureforashes3497 2 หลายเดือนก่อน +2

    My countrymen, worshipping God is in the DNA ,

  • @emanuelmwanakadudu955
    @emanuelmwanakadudu955 2 หลายเดือนก่อน +2

    Naipenda sana hii vibe katika roho na kweli mbele zake, on Earth and in heaven forever!!

  • @EstherSalla-l4d
    @EstherSalla-l4d 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wimbo mzuri sana hakika sijui itakuaje tukifika

  • @farajahamis1838
    @farajahamis1838 3 หลายเดือนก่อน +4

    Basist Mungu akubariki

  • @laurawiraka8176
    @laurawiraka8176 2 หลายเดือนก่อน +3

    Uabudiwe ee mungu 🙏🙏 wangu 🙏

  • @jemachenga9362
    @jemachenga9362 3 หลายเดือนก่อน +3

    Aiseee yani naangalia huku natabasamu peke yangu ,hamjawahi niangusha Nyie watu nabarikiwa sana

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      Amen utukufu kwa Mungu 🔥🔥🙌

  • @Lorlar042
    @Lorlar042 2 หลายเดือนก่อน +1

    Can't even imagine missing heaven because of our worldly desires,Oh lord our God make it easier for us to enter to your kingdom ☺️😊

  • @Steven-e7u8u
    @Steven-e7u8u หลายเดือนก่อน +1

    Waohhh!!!! Congratulation

  • @dominiclikumba9906
    @dominiclikumba9906 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huu wimbo ni taswira kamili ya mbinguni...
    Kazi njema❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 3 หลายเดือนก่อน +4

    Amen hapana kiu wala njaa kwake nikusifu na kuabudu milele hallelujah sifa kwa Yesu

  • @BlackViper-x8d
    @BlackViper-x8d 3 หลายเดือนก่อน +4

    FROM KENYAAAA nyinyi ni wanareee Noma sanaaa

  • @nanjaminananjamina6338
    @nanjaminananjamina6338 2 หลายเดือนก่อน

    Sijatosheka Bado na NIREJESHEHE..hii imeingia❤❤❤❤ barikiweni saaaaaana..Mungu azidi kuwaangazia nuru yake kwa huduma yenu ya uimbaji..❤❤❤❤❤🇰🇪

  • @Collovoz
    @Collovoz 2 หลายเดือนก่อน +2

    mwanibariki sana nkiwa Kenya. Mungu azidi kuwatumia🎉🎉

  • @lydiamaniawafaith9819
    @lydiamaniawafaith9819 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tutashangilia Kwa Baba,tukishinda ulimwengu

  • @nyanduva
    @nyanduva 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hakika i can't imagine mbinguni itakuwaje.
    My favorite song..💃💃💃

  • @AmosKomanya
    @AmosKomanya 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu aendelee kuwatunza
    Watumishi wa mungu hii nyimbo ni hit 🔥🔥

  • @MinisterDieumerciofficial
    @MinisterDieumerciofficial 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hatuna shaka ndaniya yesu tuko salama,, blessings fellow saints.

  • @MEDIAJUMA
    @MEDIAJUMA 2 หลายเดือนก่อน +2

    Greatest Choir of all time 🙂 classic levels and unic

  • @kempsinternational7742
    @kempsinternational7742 3 หลายเดือนก่อน +4

    Moto ni mkali sana,you are very blessed my fam.

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      To God be the Glory 🔥🔥🔥

  • @Pauloedwad-ug9xo
    @Pauloedwad-ug9xo 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwaya yangu ya moyoni na damuni kabsaa nawapenda mnooo ❤❤

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      Tunakupenda pia🙏🙏❤️

  • @GraceMtaha
    @GraceMtaha 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bassist❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @VictorMuuo-j4r
    @VictorMuuo-j4r 2 หลายเดือนก่อน +2

    Imekua ni mwaka ndio kungoja hii😢 ❤

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  2 หลายเดือนก่อน +1

      Ubarikiwe sana subira ya vuta heri🙏🙏

  • @zachariandama8447
    @zachariandama8447 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nisikilizapo nyimbo zenu hujawa na aman na msamaha ndani yang huku nikijawa na uwepo wa MUNGU mtunzwe na MUNGU Neema Gospel Choir 🥂🥂🙌🙌

  • @robertisack4886
    @robertisack4886 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani naipata picha ya mbinguni sijui itakuwaje,
    Asante Mtu kutukumbusha tuache dhambi..

  • @IsayaMorange-wb5ek
    @IsayaMorange-wb5ek 3 หลายเดือนก่อน +5

    Always your the best in East Africa, more greetings to Brother Fredrick Masanja

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      🔥🔥🔥👏👏🙌🙏

  • @isackobadiah484
    @isackobadiah484 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mbinguni Itakuwaje, Moja Kati ya Wimbo Mkalii🙏🙏

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน +1

      Amen🔥🔥🔥

    • @isackobadiah484
      @isackobadiah484 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu Awabariki Sana Kwa Nyimbo Nzurii na Awazidishie Baraka Telee🙏🙏

  • @LovenessNdosi-z5n
    @LovenessNdosi-z5n 3 หลายเดือนก่อน +3

    God is good always

  • @joshuamuthiany6905
    @joshuamuthiany6905 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dakika ya 2.22 sijui kama mnaona vibe ya huyo mtoto kweliiii 🔥🔥🔥

  • @PeterBenard-yu6gd
    @PeterBenard-yu6gd 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mbarikiwwe sana watumishi wa MUNGU kazi zenu ni njema sana ❤️❤️❤️

  • @ErickJackson-q7e
    @ErickJackson-q7e 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu mkubwa saana katika huu wimbo ukawe hivyo kwangu na family Angu

  • @fadhilidanieli1478
    @fadhilidanieli1478 2 หลายเดือนก่อน

    Hiki kichwa kinachotunga hiz nyimbo kweli roho wa Bwana yujuu yake

  • @yonachitema
    @yonachitema 3 หลายเดือนก่อน +2

    Joyous imekuja hukuuu 🎉🎉🎉

  • @RehemaMissinzo
    @RehemaMissinzo 3 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉, mungu endelea kutukuka zaid sifa nizako shama

  • @Danielemasa
    @Danielemasa 3 หลายเดือนก่อน +2

    💯💯💯kwakwel munajuwa kuukosha moyo wangu

  • @imaniandrew5009
    @imaniandrew5009 3 หลายเดือนก่อน +3

    neema gospel is the best of the best

  • @EzekielDismass
    @EzekielDismass 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mmmhhhhhhhhh hiyo outroo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥

  • @teresiahwanjiru6037
    @teresiahwanjiru6037 3 หลายเดือนก่อน +2

    Baze guitar 🎸🔥🔥💯🎉

  • @amosgasper764
    @amosgasper764 2 หลายเดือนก่อน

    Ooh wow great content❤❤

  • @MussaSmano-v1c
    @MussaSmano-v1c 3 หลายเดือนก่อน +2

    Watumishi wa Bwana Mungu awabariki sana! Niwaimbie kitu watumishi wa Bwana, mtafika mbali naona uamsho mkubwa sana wa watu kuokolewa na kumjua Mungu kupitia nyinyi.kikubwa Mungu awe mkuu kuliko chohote mtafika mbali sana!!! Ahsante nawapenda katika kristo Yesu. Ameeen!!

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน +1

      Amen utukufu kwa Mungu, Mungu akubariki sana endelea kuombea huduma yetu🙏🙏

    • @MussaSmano-v1c
      @MussaSmano-v1c 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@NeemaGospelChoirAmeeen!!

  • @janemadulu1437
    @janemadulu1437 3 หลายเดือนก่อน +2

    Finally ❤,wimbo nmeusubiri Sana ,mbarikiwe nawapenda

  • @AGATHALEKEY-q7e
    @AGATHALEKEY-q7e 3 หลายเดือนก่อน +2

    wooow🎉🎉 mbinguni itakuwaje🤔💃💃 wimbo una upako ,mbarikiwe sanaa sanaa!!!

  • @gracenjogu8958
    @gracenjogu8958 3 หลายเดือนก่อน +4

    Much love from 🇰🇪

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      Amen ❤️❤️❤️🙏🙏🇰🇪🇰🇪

  • @calvinmworia3603
    @calvinmworia3603 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani mme muonesha mlingwa mara moja tuu sija pendaaaaa . 😭😭😭😭

  • @maselemusic8657
    @maselemusic8657 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mligwa shikamoo 🙌🙌🙌

  • @masebomusic
    @masebomusic 3 หลายเดือนก่อน +7

    ❤ this is Neema Gospel Choir 🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      Amen, Glory be to God, urudi sasa🙏

    • @TapuwaAlishdamba
      @TapuwaAlishdamba 3 หลายเดือนก่อน

      @@masebomusic Neema Gospel Choir it is🔥

    • @masebomusic
      @masebomusic 3 หลายเดือนก่อน

      @@NeemaGospelChoir siku sio nyingi 😔🔥🔥🔥

  • @MariamKibyaji
    @MariamKibyaji 2 หลายเดือนก่อน +2

    I'm blessed Mungu aendelee kuwatumia❤❤❤

  • @jacobkitou9210
    @jacobkitou9210 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ni tofauti ngani ya neema gospel choir na aic changombe choir

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน +1

      Ni tofauti ngani ya Paul Clement na Joel Lwaga

    • @barakastewart
      @barakastewart 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂​@@NeemaGospelChoir

  • @yusuphdeogratius1036
    @yusuphdeogratius1036 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ni kusifu milele❤❤

  • @beatricekinuno7253
    @beatricekinuno7253 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wow! This is next level! That's my team moving from glory to glory,nawapenda sana.

  • @justusmutuku7115
    @justusmutuku7115 3 หลายเดือนก่อน +4

    Aish neema hii nyimbo niliiskianga onces nikiwa na brathangu sasa tulikuwa twaiba tu wakati mlikuwa Kenya DCI utawala 🔥🔥🔥

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🇰🇪

  • @victoriagithinji7443
    @victoriagithinji7443 29 วันที่ผ่านมา +1

    I can't visualize the Joy that will be present in heaven 🥳🥳🥳🥰🥰

  • @liliannduta3221
    @liliannduta3221 2 หลายเดือนก่อน +4

    Neema gospel choir needs to make a tour in kenya please ....your songs really blesses me🙏🙏🙏

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  2 หลายเดือนก่อน

      Amen, keep praying for this🙏🙏

  • @felistawankyo3917
    @felistawankyo3917 3 หลายเดือนก่อน +2

    Aahhhh! Baada ya kuusikia wimbo huu kwa muda mrefu kwenye mikesha sasa upo hapa official ❤

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      🔥🔥🔥🔥enjoy the Good music

  • @NdagijimanaSeth
    @NdagijimanaSeth 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wonderful song

  • @erikaskaonga
    @erikaskaonga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Stay blessed neema gospel choir,😇😇😇😇

  • @mariahsamwely7484
    @mariahsamwely7484 3 หลายเดือนก่อน +4

    ooh Haleluyaaaa

  • @damarisnthenya3086
    @damarisnthenya3086 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tutaimba mbele zake na kucheza mbele za Bwana🎉🎉🎉❤❤

  • @calvinhernest125
    @calvinhernest125 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ar them again.. 🤭👐👐... Mungu azidi kuwabariki na kuwainuaa zaidi..

  • @UshindiGwivaha
    @UshindiGwivaha 3 หลายเดือนก่อน +2

    Aaaaaaaaah we mbona wimbo mzuri sana😮😮😮😮 MUNGU AWABARIKI SANA

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      Amen utukufu kwa Mungu ❤️

  • @eliamwende3577
    @eliamwende3577 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hit after hit🎉

  • @davedukes0001
    @davedukes0001 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wooow kazi mzuri hakika kwa utukufu wa Bwana,,, Nafurahia wimbo kutoka Mombasa, KEnya,,,

  • @evakatani636
    @evakatani636 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nice song , blessed up guys 🙏

  • @abm14987
    @abm14987 3 หลายเดือนก่อน +2

    Natamani siku moja niwe moja ya waimbaji wa neema gospel😂😂

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      Karibu sana tunakukaribisha sana mpendwa 🙏

  • @TheWorldGospel
    @TheWorldGospel 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mbinguni Itakuaje has to go 🌍🇹🇿🇰🇪🇷🇼🇧🇮🔥🔥

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      Amen Glory be to God 🙌🙌🔥❤️

  • @emmanueldaudi3797
    @emmanueldaudi3797 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi Bora imeshakuwa ni utamaduni wako my choir big up

  • @MaryOtieno-k6x
    @MaryOtieno-k6x 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙌

  • @ElishaKalebo
    @ElishaKalebo 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ohhh woow wimbo mzrii sana ila masanja nouma MD wenu htaree pokea mauwa yenu

  • @RoyMunene-gk5qu
    @RoyMunene-gk5qu 3 หลายเดือนก่อน +4

    Basss guitar nomaa