BONIFACE JACOB MIKONONI MWA POLISI “HAJATEKWA”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • #tanzania Jeshi la Polisi nchini limesema zipuuzwe taarifa za uongo zinazosambazwa mitandaoni kwamba #Bonifacejacob maarufu kama Boni Yai ametekwa, bali Jeshi hilo linamshikilia kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.

ความคิดเห็น •