Imagine, bwana mulei, kuna first boyfriend, nilikua nampenda sana after high school, alinikataa na kumarry, but juzi ameniona akaniambia ananitaka still , hii mambo hufanyika,
Ni kama wakati mwanamme alipokua akimtafuta labda mwanamke alikua na kajamaa ndio maana akaleta maringo, sasa jamaa amemkimbia adhis ndio anaanza kitafuta mume wake
🤣🤣🤣Judy yawa miaka mitatu yote umeolewa mara ngapi ukiachika ndio urudi kusumbua. Mimi kwa miaka yote siwezi tafuta mwanaume panaa🤣🤣🤣Never and Ever. Pale kisumu mtu atakaaje single.
😅😅😅😅aky my sister Judy uko na shida ww yani sai ndio umefikiria heri akuna kumbembeleswa kwa ndoa ww ulikuwa umepata mwanaume na nusu but wasuwahili usema maji ya kimwakika Ayafanyi nn sasa majuto ni mjugu Mr Ghost Ashasema aky Leo si nipate Ata like 3 za watu wa 966
Caro watching from saudia Huyu dada mwongo
Huyu mwenye kupachikwa mimba.where did the protection go?kuna maugonjwa nani!! I like the Onyango Guy,he said as it is.Mummy move forward tafadhali.
Watuuuu kujeni patanisho imewekwa
Mwana dada jipange acha ujinga ya kujirudisha kwa Mwanaume time ulienda for 3 years. pole kwako
Aki huyu Adhis pengine huyu mtoto mdogo si wa Maurice, alijua ako na mimba akaenda kutembelea mzee ili mimba iwe ni yake
Ukisikia mwalimu wa mwanamke ni kipofu ndo Sasa, Morris endelea na maisha yako kakangu.
No 7 Leo....... Masaibu ya Onyango
A'm hear oooh
On time
Gidi na Ghost 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Kaa na maringo yko Judy
Imagine, bwana mulei, kuna first boyfriend, nilikua nampenda sana after high school, alinikataa na kumarry, but juzi ameniona akaniambia ananitaka still , hii mambo hufanyika,
Leo number one wako wapi
Gid mambo
I can't judge Adhis, coz marriage is a long journey. On moris side only God knows where your life bro. Let's us not be so fast on judging others.
Wololooo yaye !
Aki viola wewe my best friend 😅🤣
God😭
Number3 timu kujiamini mukowapi? Ghost 😄😄😄😆😆😆
No 2.ndoa n stress.acha nifkishe 27 ndo n fikirie
No 51 surely
Nahama kisumu
Ndoa stress aki
Eti akipata ni sawa, so ni kubahatisha huna haja na doa
Aki vile Mimi napewa second chance after 16yrs na bado ninaringa hapa,you mean mwisho mwisho nitaabiwa nikule hicho kibuli changu😭😭
16yrs haiya ww hujapata bando aki SAA zingine tuache kubebwa ujinga kaa vyenye ulikuwa unakaa bila yy
16yrs😂😂😂kwani SAA hii uko na miaka ngapi
Number six
Was.dada.yangu.usikiwe.na.strees
Huyo dem alikua na mwingine wakati hiyo sasa huyo mwingine wake wamekosana ndio anarudi huku sasa
This Judy Lady is so rude and to Maurice thumps up
Watoto Ni wako Onyango ,then saidia
Mmmmmh!
Jaluo ok sechi adier 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 it's not Gidi wacha atusaidia kuwa single na vile mm nilitamani anifatilia sikuona
Hehe ghost nakuja tucheke yawa....team +974 tumefika leo no.21 lol.
974 tuko intact 😜😜😜
Three years ago siwezi tafuta mtu hada kwa dawa
🤣🤣🤣🤣🤣
@@stargal906 aki 😁
@@RoroRoserororo hata mie siwezi tafuta mwanaume kwa miaka hiyo yote 🤣🤣🤣
@@stargal906 chukua uzito dada 👊
@@RoroRoserororo 🤝🤜🤛
Maringo ndo hiyo you get a good guy then you leave. COVID19 comes problems come, you want the guy back again 🙄 Morris move on pls.
Umekuwa bangali 😂
Gidi wapi unganishow
Watu huringa wakimbebelezwa na wakiwachwa wana regret😂😂jisort Judy.
Pride comes b4 a fall😱😱😱🙏🇰🇪@Kenya.
🙆🙆🙆🙆
Ni kama wakati mwanamme alipokua akimtafuta labda mwanamke alikua na kajamaa ndio maana akaleta maringo, sasa jamaa amemkimbia adhis ndio anaanza kitafuta mume wake
Woi huyo mwanamke maringo yake imefanya akuwe single mother
😂😂😂😂😂sikuhizi watu wakisha wachana mtu anasonganga mbele kama injili
It could be .🤣 it might be 🤣🤣🤣
Bali manyanga ijanga enyuma🤣🤣🤣😁😁😁😁
Stella😂😂
Bung'Ali yaya🤣🤣
Wanawume nyinyi MUNGU anawawona kweli
Gidi na ghost jambo?huyo mwanamke (Judy)vile nimemsikia ana kiburi mingi sana....
Tukoo ndaaani uku
Yeeeeeeees
Kabisaaa
@@kinlightmasai7496 yeeeees
Mambo
@@kinlightmasai7496 poa sana
That lady she's not serious na life waja akae
🤣🤣🤣Judy yawa miaka mitatu yote umeolewa mara ngapi ukiachika ndio urudi kusumbua.
Mimi kwa miaka yote siwezi tafuta mwanaume panaa🤣🤣🤣Never and Ever. Pale kisumu mtu atakaaje single.
Alice uko wapi na unaskia watu wanatembeleana anarundi nyumbani na mimba
Pwahahahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂 Nifundishwe kunyamaza 😂😂😂😂😂
Niko hapa I've missed you big dear
@@alicekmusic3925 welkam haki umenipotelea haki mpaka nakua na stress za kujiuliza nn inaeza kua mbaya
@@alicekmusic3925 utanitembelea lini dear 😜😜
@@jamesgathaiya6450 pwahahahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅aky my sister Judy uko na shida ww yani sai ndio umefikiria heri akuna kumbembeleswa kwa ndoa ww ulikuwa umepata mwanaume na nusu but wasuwahili usema maji ya kimwakika Ayafanyi nn sasa majuto ni mjugu Mr Ghost Ashasema aky Leo si nipate Ata like 3 za watu wa 966
Three years aiiii siezi tafuta mtu
No twedi leo Kuchelewa nayo
GHOST 😂😂😂😂😂
Judy amekata simu analia aky kuambiwa mimi nisha move on wewe angalia kile utafanya na uko na watoto 2 na hujajipanga hasira ni hasara pole kwake
Wanaume tuna wajua na kuruka watoto wakishagrow mnarudi
Si aty kuruka nyinyi mnaendanga kwingine mkipeana mkipata bal mzaanza kusema ni zetu
Kuruka kipetero kijesu
🥴pia Mimi nataka kupatanishwa na ex wangu bado nampenda 😌
Tuma message niggah
Jipende
@@nancieprincess7363 😆😆😆najipenda
@@stanojunior4817 🤣🤣🤣Sawa but ex is an Example 😡
Hii ni ile hesabu ilikuwa ikisema *find the value of x* ?