MKOBA WA MAMA Episode [ 2 ]
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 มิ.ย. 2024
- kitu kikubwa ni kutunza UTAMADUNI watu wengi wanashindwa kurithi utamaduni wao kwasababu ya tamaa za kidunia fuatilia hadithi hii utajifunza kitu kikubwa sana kwenye jamii inayokuzunguka
Tanu plus+ Clam Vevo Mwakatobe Kipara Vevo kipara Brand Swahili Movie Bongo Movies Bongo Movies bongo Movies Kipara Comedy Tanzania Movies Tanzania Movies Tanzania Movies Tanzania Movies Tanzania Movies Kicheche family Kicheche Comedy Clam Vevo Movie Mwakatobe Movie Clam Vevo Comedy Mwakatobe Comedy Big Boss Full Movie Kicheche Comedy 2024 Clam Vevo comedy 2023 Clam Vevo comedy 2024 Bongo Movie Mpya 2023 Bongo Movie Mpya 2024 Bongo Movie Mpya 2023 Bongo Movie Mpya 2023 Watakufa Saa 6 Episode 1 Watakufa Saa 6 Full Movie Swahili Movies Full Tanzania Bongo Movie 2024 Full Movie Bongo Movie 2024 Full Movie Bongo Movie 2024 Full Movie Big Boss Full Movie Season 2 Boss Mchawi Shangazi Kaja Kobe LA Mchana KIBURI Full movie Mistake Full Movie Snake boy Season 2 Maiti Yangu Full Movie Snake Boy Season TwoSwahili MoVies 2023 Swahili MoVies 2023 African MoVies Based on True Story Full African MoVies African Full MoVies Ting Arg MoVies Ting Arg MoVies Kenyan Comedy Somali Comedy Bongo MoVies 2023 Full MoVie Ting MoVies Ting MoVies 2024 Swahili Recap Swahili Recap Swahili MoVies Full Tanzania Kenyan Comedians Videos Mapenzi Tanzania MoVies Zambian Comedy Videos Tanzania MoVies 2023 Mapenzi LIVE TH-cam Tanzanian Comedians Kenya Short Film Kenyan Comedians Ugandan MoVies 2024 Comedy Uganda Latest Tanzania Comedy 2024 Nigerian Episode MoVies Ugandan Comedy Videos Nigerian MoVies Full MoVies African MoVies African MoVies Nollywood MoVies Full MoVies Nigerian MoVies From TH-cam Kenyan MoVies Kenyan MoVies African MoVies Nigerian MoVies New African MoVies on TH-cam Nigerian MoVies Nigerian MoVies Recently Watched African MoVies South African MoVies Full MoVies Recently Watched Nigerian MoVies Nigerian MoVies Latest Full MoVies Ghanaian MoVies 2024 Full MoVies Nigerian African MoVies on TH-cam African MoVies 2021 Nigerian MoVies African MoVies 2022 Nigerian MoVies African MoVies 2023 Nigerian MoVies African MoVies 2024 Nigerian MoVies Ghana MoVies 2022 Latest Full MoVies Ghana MoVies 2023 Latest Full MoVies Ghana MoVies 2024 Latest Full MoVies African MoVies 2023 Latest Full MoVies Latest Nigerian Nollywood MoVies 2023 Kenyan MoVies 2023 Latest Full MoVies Kenyan MoVies 2024 Latest Full MoVies Nigerian MoVies 2023 Latest Full MoVies Nigerian MoVies 2024 Latest Full MoVies Nigerian MoVies 2022 Latest Full MoVies Nigerian MoVies 2024 Latest Full MoVies Burundian MoVie Burundian MoVies 2024 Nigerian MoVies 2023 Nigerian MoVies 2024 South African MoVies 2024 Latest Full MoVies South African MoVies 2023 Latest Full MoVies Swahili Comedy Rwanda Swahili Comedy 2024 Kenyan MoVies Swahili Kenyan MoVies Swahili Kenyan MoVies Kenyan MoVies Kenyan MoVies Swahili Comedy Burundi Swahili Comedy Burundi African Nollywood MoVies Latest Nigerian MoVies Kenyan Comedy Kenyan Comedy Kenyan Comedy Swahili Comedy Tanzania Swahili Comedy Tanzania NEW MOVIE AFRICA WORLD WIDE - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Kweli umoja n nguvu,,,,,mkawndelea kushikana ivi kwa hakika mtafika mbali insha'Allah
Ila kanzu ya sengo imenimaliza jaman 😂😂😂 ... mkoba wa mama uko 🔥 team tanu pamoja sana
Mbo nizo ndevu na nyele sitohe bwana #TANUPLUS+
Kazi nzur sana kaka Tanu muchawi ni pesa Tu BT pole bro😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Team TANU mko vzr sana namko makini sana nakaz yenu Mungu awabariki sana
Asante sana
@@tanuplus sawa sawa kaka
Wabaya wako wengi jiongeze
Wakwanza jaman like zenu ndo muhimu kwangu
Kazi nzuli tanu na team yako
Nakubali mwamba aangu pamoja sana
Hiyo ngoma yawa cawi ni kali
😂😂😂kweli
Kubwa Sana ii
Toeni comment za ushauri sio kuomba omba like,,,,like sio ugali
❤❤hakika
Waseme babuuuu
Wanaudhi sana yani
😂😂😂😂
Wanaelewaga Kwan Kam madishi yameyumba iviiiii 😂😂😂
Kazi nzur
Mtu wa 10 apa like zangu apo 😂🎉
Samahani like tumezisahau kwa nyumba
😂😂@@graffinamisi
Ninaombeni mmulete clam vivo acheze kwahii itazidi kuwa zuli san from burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kaz nzur
KAZI nzuriiii Tanu
Team clam mnaweza sana❤🎉
Gd job
Kazi nzuri sn kkngu TANU n nilazima Urithi mikoba ya Bi Migomba😂😂😂🇰🇪🇸🇦😊
Ntarith mama
Safi kbs ❤❤❤
Tanu Kaz nzur ❤❤ila nyoa hizo ndevu bas ziko vibaya na hazikupendez 😂
Ok ntafanya ivo
😂
@@tanuplusBwana usinyoe ndevu zako ziko vzr ❤❤❤❤na hio ni brand yako kubwa
Usinyoe ndevu ,achana nae huyo akinyoa bwanaake zinatosha
Naona Team snake boy wameamua kutuletea Chuma kingine big up sana
Kazi yang pendwa
Achana na kupenda maana ukiwa mganga watakuja wenyewe 😂😂😂
KAZI nzuri Sana nimeikubaki
Asante
Kazi nzr sana broo
Rekebisheni sauti iko chini sana
Duh tam ataliiiiii🎉🎉🎉🎉
2nd from buja
Kazi kazi
Mganga anateswa na mapenzi mm nani sasa😂😂😂
Had work bro tunaelewa kaz zako
Mwakatobe nibalaa❤❤
Honge leni sana kazi nzr
Mimi ndio wa Kati jamani nipe likes 👍
Wow
Nouma sana
This movie based in true ctory
Kwa Mara ya kwanza ndo namuona kipara kaongea point
Nimefurahi. Kaka tanu. Unapitia comment za mashabiki wako good luck bro
Kazi mzur wapambanaji mung mwema mtafk mbalii🎉🎉
That's true kipara what goes around comes around
Tamos juntos ❤❤❤
Mpo vizuri sana
Team strong 🎉big up❤
Mwakatobe nishida sana anajuampka anakela
💥TANU NAOMBA UJIBU SWALI LANGU wewe ndiye ulicheza kwenye BIG BOSS ukatoa kafara ya kuua mbuzi?
Kwasababu kila nikikuangalia nataka kukufananisha halafu taswira inakataa. Nimeulliza malakadhaa watazamaji wengine wanasema ni wewe wengine wanakataa sio wewe. Nakama sio wewe yule alienda wapi?.....
Sio yeye
@@MasikaGassare yule jamaa anachannel yake?
Hapana, cyo yeye, sema na yule alikuwa na ndevu pia na rangi yake maji ya kunde
@@augustinesombi6285 itakuwa kweli. Lakini mbona simuoni katika film zingine!... ukipata channel yake uniambie
Kwann hamjampa Pashambe kucheza kama mchawi, maana sura yake ndo inafiti pale
Kazi nzul sana jamani
Waaaah mwakatobe utakua mchawi ww 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🔥🚒🎉🎉
Oya mtoe big boss season two
Sandra mtt mzr aiseeee
❤❤❤
Kaka gari imewaka hii ongeza speed🎉🎉🎉
We acha tu mzee
unyam kk
unyama tena sana
Kipara Wana man,nimependa hiy walking style😂😂😂😂😂
Wa kwanza kenya
kwa upande wang mm mwakatobe hana bay anajuw yaan yuko vizur kila kipengel
Sema umu kipara yupo makin sana😅😅😅
Tanu njooa ndevu 😢😢
kila nikijaribu kuwa wa kwanza nashindwa ...kwani nyie mnafayaje..!?
Nakukubali sana mwanangu pashambe ❤
Kipara I am sorry I am sorry
Tanu tafuta hela yani man bilaivo huambuwi dafu kabisa yani icokijiji tamaduni nikurisi vikoba poleni sana
Mnabadilishana vijora tu cjapenta😢
Pashambe yupo fresh
❤❤❤vizuri sana ᴛᴀɴᴜ 👉🇰🇪
Kazi ni nzur tuasubiri episode ya 3 kwa hamu sana
Tano Asante kwakuwahisha umemzidi kakosa anatukawiza sana ilawewe thank you
❤❤
Naomb like zenu
❤❤❤❤
Safi🔥
Nice
Tanu😂😂😂
❤❤❤❤❤❤
Good job Tanu❤❤
Asante
Katafute pesa ❤🎉🎉
Mjitahid sauti iwe kubwa kotee kuna sehem watu kama wana non'gona saut iwe kubwa
Move nzuri
Sawa
Unyama sana
Next episode please
Mmmmmh ep 3 nikali jameni😂
Tamu nyoa hizo ndevu ni uchafu huo
😂😂😂zmekua nyekundu pia
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
mtu wa 85 like japo 5 kwangu😂😂
Aca kujiliza kata izo nyweli na mkasi mwana mke wandondo yako autaki na ushamuakibiya usijana yake toka unajiliza nini punbafu zako🇧🇮
Niambie kwenye hii move umejifunza kitu Gani ?
🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nzur
Hii film inamauzui mazuri na Iko viziri sana ila Mimi binafsi sijapenda kipande Cha huyo Sengo inaonyesha kama ni copy kutoka kwenye season ya kikongwe
Nlingojaa dadekii
Yaan hawakos kweny famlia watu kam hao wasiotak kugawa urith
Hili neno lampita njiya ilikuwa sahihi 😢
sound upande wa pashambe follow up
😅😅
Ivi watabibu kama awa wapo?
Mtu kupigwa majani na anapona?
😮😂😂😂😅😅
Hiyo mistari mupeni madebe nyie wengine mkalale
Toa uso wako mrefu apa
Sengo tafuta maokoto