Asma kipepeo - Mwisho wa Ubaya (official music video)

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 205

  • @abdunaasorjuma5884
    @abdunaasorjuma5884 หลายเดือนก่อน +2

    True mwisho ubaya aibu😂

  • @VeryniceAlly
    @VeryniceAlly หลายเดือนก่อน +3

    Daaah nimechelew kuijua jamn lakin daah so mbaya me imeniliza mana imenigusa saan

  • @Rahma-iv5ys
    @Rahma-iv5ys หลายเดือนก่อน +2

    Mashallaah mashallaah yan hii qaswida kila siku naiona mpya walah nimeielewa sana i love you so much sister asma

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 ปีที่แล้ว +12

    Kumbe huyo wifia nilidhani mkemwenza ivyoo subhanallah mungu tunusuru na tujaaliye tuishi vyema na mawifi zetu amiin

  • @sabriyasuluh6254
    @sabriyasuluh6254 4 ปีที่แล้ว +9

    Huyu mtabibu nimpata kwa tabu eee💝👌👌💃💃💃💃💃

  • @seifmakame2019
    @seifmakame2019 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah umejitahid . successful to you

  • @AminaJafary-s6c
    @AminaJafary-s6c 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nzuri mashaallah

  • @ruwaydamohammedmaanshaalla1877
    @ruwaydamohammedmaanshaalla1877 ปีที่แล้ว +2

    Maansha allah kazi nzur sana hii qaswida naikubal san

  • @rukiaabdi9755
    @rukiaabdi9755 3 ปีที่แล้ว +5

    uko pw mashaallaah

  • @HajraSaidMmbaga-ts5zr
    @HajraSaidMmbaga-ts5zr ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah nyimbo nzur Sana inatufunza uvumilivu

  • @SwaumJumanne-si6uv
    @SwaumJumanne-si6uv ปีที่แล้ว +1

    Hahaha naipenda sanaaaa kaswida nzuli sanaa

  • @mohwawa4845
    @mohwawa4845 4 ปีที่แล้ว +7

    Hahah UKHTY MWANA mwanzoni ulivyojitutuma kushushua Hahah Mashallah Wallah nyimbo nzuri jamani.. Nyimbo nzuri nazijua mimi, na hii miongoni mwayo Wallaah Daaah Baaasi

  • @naimakhalifanaimakhalifana4806
    @naimakhalifanaimakhalifana4806 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah nilijuw mke mwenzie kumb wifi mawifi mung anawaon mashaallh mashaallh

  • @bossbaby5722
    @bossbaby5722 4 ปีที่แล้ว +6

    Qaswida mashaallah👌🏽👌🏽
    Mawifii wana nongwaaa sanaa alafu wanafik kama wao hakuna😏😏

  • @ummukhamisi1000
    @ummukhamisi1000 4 ปีที่แล้ว +11

    Maa shaa Allah .MAA shaa Allah ukhty mwana Allah akuongoze kwenye kazi yako ♥️♥️♥️😍

  • @sadallahnineka3078
    @sadallahnineka3078 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah good qaswida heals soul ❤❤

  • @ALHAJIBINYAZID
    @ALHAJIBINYAZID 4 ปีที่แล้ว +4

    Hatari kubwa sana baby wangu kitu kitam namuona mkendwa anavochinja😀😀 kali sana mashallah

  • @hiribaeomara917
    @hiribaeomara917 4 ปีที่แล้ว +3

    Upo vizuri dadangu hio sauti ndio tamu sana

  • @mohwawa4845
    @mohwawa4845 4 ปีที่แล้ว +2

    Asma kipepeo Umeimba vizuri sana Ukhty Allah akufikishe mbali

  • @SharifaDaudi-h1z
    @SharifaDaudi-h1z ปีที่แล้ว +1

    Nmeipendaa❤

  • @fatmaabdallah5792
    @fatmaabdallah5792 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah wanajitahidi sana na wazidi

  • @kheirthuwaibakhatib2616
    @kheirthuwaibakhatib2616 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kwa hii video ipo sawa sana.Mola atazidi kukuongoza kwenye kheir

  • @wardamohamed5723
    @wardamohamed5723 3 ปีที่แล้ว +2

    Maashaa-Allah 😙 kweli mwisho wa ubaya aibu

  • @safiayaba2240
    @safiayaba2240 4 ปีที่แล้ว +2

    Maaasha allah kaz nzur tumefaidika mungu akulinde na hasad

  • @ttss3712
    @ttss3712 4 ปีที่แล้ว +3

    Qaswida pambe 2 naipenda hdi bc jmni n mawifi 2achne ndoa za kakazetu wshndwe wenyewe Kuna moto kesho

  • @tatumussa6081
    @tatumussa6081 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah qaswida naipenda mnoo hii

  • @halimali2740
    @halimali2740 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah ukhty mwan allah azkupe muongozo zaid

  • @ukhtymwana8404
    @ukhtymwana8404 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashalllah qaswida nzur video in quality nzuri

    • @asmakipepeo2425
      @asmakipepeo2425 4 ปีที่แล้ว

      Shukran wizo ake ila c kwa kunitesa kuleee hhhh

    • @ukhtymwana8404
      @ukhtymwana8404 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha jaman my wii pole Sana ndo ukubwa huo🤣🤣

    • @asmakipepeo2425
      @asmakipepeo2425 4 ปีที่แล้ว

      @@ukhtymwana8404 sante love ila nitakulipa2 hhhhh

  • @SwaumJumanne-si6uv
    @SwaumJumanne-si6uv ปีที่แล้ว +2

    Mashallh ukhty mungu akupe ummri mrefu

  • @halimasaidi1921
    @halimasaidi1921 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah pambe kipenz 💕💕💕💕

  • @HajraSaidMmbaga-ts5zr
    @HajraSaidMmbaga-ts5zr ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah nyimbo nzuru

  • @abdullabinkhelefprojects6752
    @abdullabinkhelefprojects6752 4 ปีที่แล้ว +6

    Dah nimeilewa Sana mashallah

  • @jumammanga6066
    @jumammanga6066 3 ปีที่แล้ว +1

    Naam ni kweli mwisho wa ubaya ni aibu

  • @halillahnayopa6720
    @halillahnayopa6720 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mwenyezi mungu awazidishie neema

  • @aseliboaz
    @aseliboaz 3 ปีที่แล้ว +4

    💖 mwisho wa ubaya aibu!

  • @HajjHassan-p7d
    @HajjHassan-p7d 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah

  • @habibaayoob9122
    @habibaayoob9122 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah Mashaallah Ukhty Mwana wetu ❤️❤️❤️❤️

  • @HassanAlhaj-u7y
    @HassanAlhaj-u7y 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwel mung ni mwama

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 2 ปีที่แล้ว +2

    Nzuri Sana inafunza

  • @abdullahhassan.6368
    @abdullahhassan.6368 3 ปีที่แล้ว +3

    Good job 👍

  • @fatumamohamed3988
    @fatumamohamed3988 3 ปีที่แล้ว +1

    mashaallh mungu awaongoze zaidi

  • @zumratsulaish.1890
    @zumratsulaish.1890 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah qaswidaa nzur sana inafundisha

  • @zubedaabdallah2912
    @zubedaabdallah2912 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimeipenda sana

  • @khamismuhamed8516
    @khamismuhamed8516 4 ปีที่แล้ว +2

    masha allah allah akuzidishie ukhty

  • @yassirrashid4181
    @yassirrashid4181 4 ปีที่แล้ว

    Kaswida nzur sana pia saut nzur sanaaaa hongera unajua

  • @rukiaalli6634
    @rukiaalli6634 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah kaswida pmbee💕💕💕💕

  • @suleimanhusseinmlinde4863
    @suleimanhusseinmlinde4863 3 ปีที่แล้ว +2

    mashaallah nimeipenda sana

  • @ujazotv2660
    @ujazotv2660 3 ปีที่แล้ว +1

    Assalaaam alaikum.. Kazi nzuri

  • @thuwaibaahmed3148
    @thuwaibaahmed3148 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi sn ipo sw kabisa mashaallah

  • @ashrifaabdalla3868
    @ashrifaabdalla3868 3 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂so wifi mm tungeoneshn mchn kweupe

    • @smsalama6540
      @smsalama6540 3 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣😂😂😂aweee ungefanya jambo lako🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂

  • @asuminazuakuu1223
    @asuminazuakuu1223 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah kitu kimebamba wallah

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 3 ปีที่แล้ว +2

    Sauti yako nzuri kama zuchuuuu

  • @maymunakhamis7314
    @maymunakhamis7314 3 ปีที่แล้ว

    Kabsaaa nmempat kwa tabu eeee mukome vswaswadu

  • @HalimaothmanMassoud
    @HalimaothmanMassoud 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah mu

  • @zanzibarlocation2540
    @zanzibarlocation2540 4 ปีที่แล้ว +1

    Nce 😍 nakubl kaz

  • @habibaayoob9122
    @habibaayoob9122 4 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah vittaaaaaaaaaah 🔥🔥🔥🔥 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @ismailimustapha5293
    @ismailimustapha5293 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah hongera ukhty mwaana allah akujalie kher dunia na akhera

  • @KadengeRama-qg1os
    @KadengeRama-qg1os ปีที่แล้ว +1

    Mashallha ni mpole Xmas l love it so good to me💕💖🌹🫤

  • @salimally9296
    @salimally9296 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamn ukhty Mwana hapa unajikuta nani sjui jamn MAANA dah umejua kuichezea haswaa nafas yako

  • @alawwibnasheed1022
    @alawwibnasheed1022 4 ปีที่แล้ว +3

    aaaah ka mkendwa umeuaaaaaaaaa hhhhhh

  • @rukayaaliy8958
    @rukayaaliy8958 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuelewa 🥰🥰🙏🙏

  • @siriwaziri2607
    @siriwaziri2607 3 ปีที่แล้ว +1

    Nibembeleze jamani.kaswida tamu mpka Basi.

  • @zuhurasalim8283
    @zuhurasalim8283 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera asma

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah they look so beautiful 💓💓💗

  • @JovinNestory
    @JovinNestory 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hatali sana

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 4 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume wa zanzibary hawajui mapenzi yana rangi gani nyeupe au nyekundu mmke anahitaji kubembelezwa kudekezwa.

  • @madamaisha8596
    @madamaisha8596 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwel mwisho wa ubaya aibu

  • @mchuzimgosi3328
    @mchuzimgosi3328 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongeren sana kwa kazi nzur ila nimeona waigizaji wazuri humu Ukhty mwana na bint Fashooma

    • @ukhtymwana8404
      @ukhtymwana8404 4 ปีที่แล้ว +1

      Tuchukue ndugu yetu

    • @mchuzimgosi3328
      @mchuzimgosi3328 4 ปีที่แล้ว +1

      Limeisha hilo ila zawadi ya kwnz nitajitolea kushut vdeo ya qaswida 1 bure ukitaka serious au comedy

    • @ukhtymwana8404
      @ukhtymwana8404 4 ปีที่แล้ว +1

      Wawooo nakuja Inshallah

    • @faidhashomvi1016
      @faidhashomvi1016 4 ปีที่แล้ว

      🥰❤️mchuzi

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana ujumbe muruwa mashallah

  • @ruwaydamohammedmaanshaalla1877
    @ruwaydamohammedmaanshaalla1877 ปีที่แล้ว +1

    Maansha Allah Kaz Nzur Nikiangalia hii qaswida Najkuta Nazdi Kumpenda My Husband Maansha Allah Inafundish san

  • @hafsakhamis5152
    @hafsakhamis5152 4 ปีที่แล้ว

    Jaman shoga kipepeo upo vizr nakukubali

  • @nassimkassim8022
    @nassimkassim8022 4 ปีที่แล้ว

    Safi sans tena hivyo bila kujipamba

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 3 ปีที่แล้ว +2

    Taarabu imenoga

  • @NeemaMtui-w5o
    @NeemaMtui-w5o 11 หลายเดือนก่อน +1

    Duh ma wifi hatari

  • @sheikhasuleiman8810
    @sheikhasuleiman8810 4 ปีที่แล้ว

    Jamanii huyo niukhty asma kipepeo

  • @hafsadelove2263
    @hafsadelove2263 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah team kipepeo

    • @asmakipepeo2425
      @asmakipepeo2425 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa hatuna mbaya alhamdulillh

  • @lialikhamees5636
    @lialikhamees5636 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mmy🥰🤩😍💯

  • @aminashaban7499
    @aminashaban7499 3 ปีที่แล้ว +1

    Umepaukaaa !!

  • @smsalama6540
    @smsalama6540 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmh madam wema sepetu ilo gauni mikonon sijaliewa

  • @FatumaMwakalamu-fh8zy
    @FatumaMwakalamu-fh8zy ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @HubatMuhammed
    @HubatMuhammed 4 หลายเดือนก่อน +1

    Natak yakusikiliz

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @bakarthemann9910
    @bakarthemann9910 2 ปีที่แล้ว +1

    Pambe dada

  • @mwajumamohamedi7017
    @mwajumamohamedi7017 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah awaongoze

  • @bindaud3805
    @bindaud3805 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah hatariii

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 4 ปีที่แล้ว +1

    Ma sha Allah

  • @sharifamohammed985
    @sharifamohammed985 3 ปีที่แล้ว

    angejuta kuzaliwa angeondoka kavaa viatu kichwani badala ya miguuni🤣🤣🤣🤣

  • @2nukhamis447
    @2nukhamis447 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah 😘

  • @mohwawa4845
    @mohwawa4845 4 ปีที่แล้ว +2

    Doooh Fashoma baaaasi

  • @fatumajuhudi6856
    @fatumajuhudi6856 3 ปีที่แล้ว

    Hongeni

  • @sharifamohammed985
    @sharifamohammed985 3 ปีที่แล้ว

    yaani angeondoka yeye

  • @hafidhbagaway4257
    @hafidhbagaway4257 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera

  • @allysuleiman7093
    @allysuleiman7093 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 4 ปีที่แล้ว

    Kama mimi namtia kibao kimoja tu akaruka kule. Nimechekaaa mwisho hahaaaaa akinirushia maji namtia maji ya vumba

  • @ummulkurthumabeid2914
    @ummulkurthumabeid2914 4 ปีที่แล้ว +2

    😍😍😍😍mashallah nice

  • @salmaanthony7491
    @salmaanthony7491 3 ปีที่แล้ว

    Aniliwaze na Kama kunakosa anieleze

  • @rasykizanjbari4996
    @rasykizanjbari4996 4 ปีที่แล้ว +4

    Mawifi mna nini lakin 🤣🤣🤣

  • @tumakassim6286
    @tumakassim6286 4 ปีที่แล้ว

    Nice one ☝🏽

  • @nabelasaeed5238
    @nabelasaeed5238 4 ปีที่แล้ว

    Eh jamani weee, na skuiz watu wote wanaimba hivi nikuulizeni kwan hakuna ajira nyengine mpaka muwe waimbaji jamani, hem punguzeni..

    • @tunusaid3377
      @tunusaid3377 4 ปีที่แล้ว

      Hujalazimishwa kuangalia sawa ukikuta unaangalia bs unaikubali

    • @ummukhulthoom4558
      @ummukhulthoom4558 4 ปีที่แล้ว

      sijui asaa mtu kaja kwa hashuo lake wala hajaitwa kuangalia

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 ปีที่แล้ว

    Mawifi tuna nini jamani🤣🤣🤣🤣