Ok unamsema na Bwana YESU aliyefanya hivi kutumia mafuta, udongo kuchanganya ma mate ata sisi bibilia tunasoma. Elisha alitumia chumvi kutakasa maji. Soma bibilia sio kuropoka tu na ubarikiwe.
Enyi wahubiri wa dar embu acheni injili ya uongo sabuni mafuta chumvi keki acheni wanadamu waokoke nanyi watu wa dar mmesikia injili iokoayooo?? Geukeni sasa msiwafate wanaokazana na uongo
Bonke kamkabidhi kijiti huyu mtu msikilizeni....Injili ya kweli inayoleta wokovu kwao waaminio!! ni injili ya toba iletayo wokovu!! amelelewa na Reinhard Bonke na ndiye alokabidhiwa ofisi aendeleze mbio!! achaneni na Injili za uongo za mitume na manabii wakati maisha yenu hayabadiliki...Tubuni mkazaliwe upya!!!
Enyi wazungu mbona mnautekenya moyo wangu Yesu aliyewaleta Africa hasa tz na nikasikia injili awabariki na kuwaongezea huduma kubwa tumechoka na injili za freemason
Mungu airehemu Tanzania kwa injili yake kuwatumainisha watu kwenye miujiza badala ya kumuhubiri Yesu anayeokoa
We need this kind of preaching for the salvation of our souls!
Ameniiiiiiiiiiiiiiiiii!nimebarikiwa sana
Siyo mafuta ya upako
Wonderful message and a great interpreter... from Kenya 🇰🇪
The interpretater is Tz
Kwakweli tanzanian we are so blessed
Welcome Kisumu Kenya man of God ❤❤❤❤
Thank you for preaching of good news!
Jesus his reining forever Amina.
Amen Glory to God
Amen ,the man of God.
Exactly Bonke anointing
The truth will set us free.
Namuona bhonk ndani ya mtu huyu na Yesu atakutumia sana
Asante mhubiri nimepokea Cha kwangu God bless you man of God
Hello Apostle Colendar welcome Kenya please 🙏
Wakati kolenda anafanya haya nchini kwetu, wahubiri wetu wamekazana na sabuni, Chumvi na mafuta. Aibu iliyoje, Yesu anarudi. Let's be ready.
Ok unamsema na Bwana YESU aliyefanya hivi kutumia mafuta, udongo kuchanganya ma mate ata sisi bibilia tunasoma. Elisha alitumia chumvi kutakasa maji. Soma bibilia sio kuropoka tu na ubarikiwe.
@Janet.You are a blind Christian.
Yani MTAFSIRI YUKO VIZHURI. MUNGU AMTUNZE, SIJUI NI MMBONGO, LKN HAKOSEI HATA NA ANAENDA SAMBAMBA NA MUHIBIR. NI TAMU INJILI YA AINA HII.BARIKIWA.
Kabisa yuko vizuri
Hakika yuko vizuri
I love it
Injili isio na makando ya chunvi na mafuta.INJILI KAMILIIII
Dr eli
Glory to God
Amen amen AMEEN.
Enyi wahubiri wa dar embu acheni injili ya uongo sabuni mafuta chumvi keki acheni wanadamu waokoke nanyi watu wa dar mmesikia injili iokoayooo?? Geukeni sasa msiwafate wanaokazana na uongo
Amen dar ime amka kwa shangwe
🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌
This is owesome
Bonke kamkabidhi kijiti huyu mtu msikilizeni....Injili ya kweli inayoleta wokovu kwao waaminio!! ni injili ya toba iletayo wokovu!! amelelewa na Reinhard Bonke na ndiye alokabidhiwa ofisi aendeleze mbio!! achaneni na Injili za uongo za mitume na manabii wakati maisha yenu hayabadiliki...Tubuni mkazaliwe upya!!!
Thanks lord Jesus
Enyi wazungu mbona mnautekenya moyo wangu Yesu aliyewaleta Africa hasa tz na nikasikia injili awabariki na kuwaongezea huduma kubwa tumechoka na injili za freemason
Kabisa ,Reinhard Bonke wa pili
Glory to God
Amen nimebarikiwa sana
Injili iliyo hai
Mungu atukuzwe milele
Injili iokowayo ee Mungu tusaidie tz tuhubiri Injili iokowayo
Dhambi mbaya saana
Ameen
Ameeen👏
Dr
Kweli.yesu.atanitunza.milele.yote.amani
Well done 👉
Dah covid 19virus imeleta balaa .njaa mbaya
Amen
Kweri shetani Ni muongo
Hizi ndio injili zinazotakiwa dunian sio za mafuta ,maji na vitambaa mbarikiwe Sanaa kwa kuhubir injili ya kwel sabu Ni adim xanaa masikion kwa watu
Dr eli
Katonda nabapenda mutumwishi wa Danier
Katonda anabapenda
Well done 👉