4 -KUONDOA MAZUIO YA KIROHO YANAYOKWAMISA KIPATO CHAKO || Mwl Christopher Mwakasege || Mwanaza 2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2023
  • Semina Ya Neno La Mungu || Mwanaza || DAY 4 || TAREHE 16/9/2023
    .................................................................................................................
    Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
    M-PESA 0754 211 633
    TIGO-PESA 0715 511 633
    AIRTEL MONEY 0682 657 080
    HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
    PIA UNAWEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _-:
    CRDB BANK
    ACC: 01J2032214400
    JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE

ความคิดเห็น • 66

  • @magrethedward5635

    Nilipo kua nikiomba katika saa ya maombi juu ya kuondoa zuio la ukiwa ,katikati ya kiganja cha kulia kuliwaka maumivu makali sana, na ulipo sema kazana kuomba nilikazana kwa nguvu mpaka nikasikia yale maumivu yameondoka na nikaamini kufunguliwa .Namtukuza Mungu ....Hallelujah Hallelujah

  • @maholokeramabushe8519

    Tunamutukuza kwa Siri zito anaendelea kutufunulia kupitia Mtumishi wake mwalimu mwakasenge ni neema kubwa kwangu kutana na somo hili nimejifunza mambo mengi kulingana na maisha yangu ya kila Siku Mungu ni mwema sana asiache kutufunulia kila iyitwayo leo ili tuweze kushi na kutajirika kwa misingi ya Agano lake jina la yesu kristo liimidiwe milele ❤️

  • @beatricewilbard6187

    Baba Mwalimu Mwakasege Mungu wa mbinguni akupe maisha marefu sana hapa duniani.,uendelee kutufungua na vizazi vyetu wamjue huyu mungu wetu.

  • @rosejoseph2228

    Nimefurahi kumuona Mwangosi Utukufu kwa Bwana

  • @joycekashangaki6729

    Nashukuru kwa maombi na neno lililonifanya nijue kukwama ngwangu ni mazuio. Kwa sandakan hii naomba Mungu anikumbuke na kunisamehe pale nilipotenda dhambi na naomba kuanxia sasa kila kilichochangu kifunguliwe, elimu ya watoo wangu, ndoa yangu, imani yangu na familia yangu na kaxi yangu. .

  • @georgekauma6432

    Bwana Yesu asifiwe sana.

  • @settimsafiri
    @settimsafiri 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu wangu nikumbuke tena usiku huu

  • @janejacob1402

    Hamina baba nafutalia maombi mafundisho na sara na neno la MUNGU kwa imani napo na wewe mtumishi ❤❤

  • @blessedtumaini516

    Mungu Baba asante kunikumbuka mimi majira haya na kuniondolea mazuio na ukiwa nitajenga nyumba nitakaaa nitalima nitakula sitafanya kazi bure sawasawa na neno lako Mungu Baba ISAYA 65:18-25 Katika jina la Yesu Kristo Amina. Mwalimu Christopher Mwakasege ubarikiwe sana kwa neno na ujumbe wa wakati kwangu na uzao wangu... Asante Yesu Kristo.

  • @user-nt1jf2yz6b

    Mungu naomba uondoe zuio la uponyaji wa afya kutokana na kupararaizi upande wa Julia pamoja na jicho langu juwa na ukungu hata kushindwa kuona

  • @monicamtui2922

    Navunja kila aina ya mazuio katika njia zangu, ndoa yangu, biashara yangu, watoto wangu na mifugo yangu yote.

  • @user-fb5ps8dn8j

    Amina baba atunze utumishi wako,afya,Yako pamoja na familia Yako,miaka mingi kwako lango letu ilituendelee kuvukaa na kupata maarifa ya mungu.

  • @mercympuyiki-cw2jf

    Mungu wa mbinguni amenikumbuka leo ni somo langu kabisa asante yesu kupitia mtumishi wake mwalimu mwakasenge mungu wa mbinguni akutumie kwa viwango vikubwa mno

  • @IreneWillim

    Mungu akutunze mtumishi,nabarikiwa sana na mafundisho yatokayo kwako, irene william toka simiyu

  • @hidayaswai3119

    Kila mazuio yameondoka kwangu kwa jina la Yesu

  • @LinahMbwette

    Asante yesu

  • @stelamatubulila3921

    Jehovah Mungu atukuzwe Sana kwa ufahamu huu niliopata, Mungu kutunze Sana Mwalimu Mwakasege

  • @user-lk9pe3hj8h

    Amina mtumishi wa Mungu naomba mwaka huu na mimi niwe mama kijacho haijalishi ni muda gani nimekaa amin

  • @mercympuyiki-cw2jf

    Mungu wa mbinguni akutunze mtumishi wa mungu

  • @upendoeliudi5196

    Mungu akutunze baba Mwakasege umekua funguo ya vizuizi vyangu kwa dam ya YESU ya agano jipya ninaendelea kuomba na kufunguliwa