BEN KINYAIYA AFUNGUKA KILICHOMFANYA AANGUKE NA KUZIMIA MAKABURINI WAKATI WA KUMZIKA GRACE MAPUNDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 68

  • @josephmusembi
    @josephmusembi หลายเดือนก่อน +1

    Mungu amfanyie tesa wepes katika upande mwingine wa maisha yake

  • @lucybatista2631
    @lucybatista2631 หลายเดือนก่อน +3

    Nakupenda sana bunny wangu yaan kuna siku tumeshut wote nikataka kuzungumza na ww ghafla ukaondoka....nakukubal sana mwamba

  • @JUSTxYAMMY
    @JUSTxYAMMY หลายเดือนก่อน

    Poleni sana kwa Msiba,mimi napenda Judi na tesa wanavyotibuana yaani wao lazima tu mmoja atakuwa kivuruge kwa mwenzie I love them the way they act

  • @danielkidenya7009
    @danielkidenya7009 หลายเดือนก่อน +2

    Sijui ni macho yangu wangapi tunaona ben kinyaiya kafanana na nabii tito😅

    • @BeatriceSamwel-p7u
      @BeatriceSamwel-p7u หลายเดือนก่อน

      @@danielkidenya7009 ila watu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SaidiSadjo
    @SaidiSadjo หลายเดือนก่อน

    Pole juddy

  • @eunicewambui-v7k
    @eunicewambui-v7k หลายเดือนก่อน +4

    😢😢😢ndio maana hupigania haki yako ya kimapenzi kwa Tima.pole Jude tupo sisi tunamshikilia na maombi😢❤❤❤

    • @UwimanaFarida-k9e
      @UwimanaFarida-k9e หลายเดือนก่อน +1

      Pole sana Judi mungu amrehem

    • @UwimanaFarida-k9e
      @UwimanaFarida-k9e หลายเดือนก่อน +1

      Yani Jude umeongelea point saaaaaaana Ben Kinyaiya

  • @sophiamwita7347
    @sophiamwita7347 หลายเดือนก่อน

    Pole

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂😂 weni actor mukumbwa pia nimecheka sana uongeaji wako ❤❤❤❤ from Capetown South Africa RIP Grace 😢😢😢😢😢

    • @mtemashombo
      @mtemashombo หลายเดือนก่อน +2

      Huja fiwa bado nyamaza ukifika na mtu ulie mzoea njoo hapa utuelezee na wewe

    • @OmanOman-ik9sp
      @OmanOman-ik9sp หลายเดือนก่อน

      Ila hajaongea kwa ubaya isipokuwa amependa uongeaji wa Ben au vibaya kumsifia mtu ​@@mtemashombo

    • @mayaz-e7f
      @mayaz-e7f หลายเดือนก่อน

      Pia me sijaona ubaya hapo. Nimetabasamu pia uongeaji wake

  • @EsterMajaliwa-u3b
    @EsterMajaliwa-u3b หลายเดือนก่อน +1

    Anajua kujieleza sana,yuko vizuri kama mwanaume kaonesha kuumia ila kiume😊

  • @KhadjaLagogo
    @KhadjaLagogo หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sanna beni

  • @ElizaMwandu
    @ElizaMwandu หลายเดือนก่อน +1

    💔😭😭Pole sana Beny pamoja na wasanii wote kwa kumpoteza mpendwa wenu hakika mlimpenda sana lkn Mungu kampenda zaidi.R.I.P Grace Mapunda mbele Yako nyuma yetu 🙏

  • @AngelMbaga
    @AngelMbaga หลายเดือนก่อน

    HAKI❤🎉🎉🎉🎉

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂ben uko mwsh umetutoa kwny huzuni mpk kwny kucheka.

  • @MariamSaidy
    @MariamSaidy หลายเดือนก่อน

    Asante beni hukweli ndo huwo

  • @rosedede8769
    @rosedede8769 หลายเดือนก่อน

    Daima tutakukumbuka🎉

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana juli apo umeongea akuna alie kamilika

  • @PpPp-nv7gf
    @PpPp-nv7gf หลายเดือนก่อน +3

    Kweli kabisa jud

  • @HappyFania-ry2ch
    @HappyFania-ry2ch หลายเดือนก่อน +1

    Ila judii 😂😂 unatuchekesh akati tuko msibani bwana

  • @danieltagirabhomusubi
    @danieltagirabhomusubi หลายเดือนก่อน

    Paix à son âme 😢😢😢

  • @ZawadiBongo
    @ZawadiBongo หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢😢😢 imeniuma sana

  • @PillyKassembo
    @PillyKassembo หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana jamani ndugu zetu
    Umeongea point 🙏🙏

  • @RebeccaNaomie-n1c
    @RebeccaNaomie-n1c หลายเดือนก่อน +2

    Jamani Jude mbonakama unaigiza😂😂😂😂

  • @FRIDAMAHANJU
    @FRIDAMAHANJU หลายเดือนก่อน +1

    Poleni san tumeumia wote

  • @fay9687
    @fay9687 หลายเดือนก่อน +4

    Yeye marehemu kashaondoka sie tuliobakia tujiangalie tufanye matendo mazuri yaani ndio kwanza tumevaa hereni kwenye msiba na wewe ni kijana

    • @EsterMajaliwa-u3b
      @EsterMajaliwa-u3b หลายเดือนก่อน +2

      Ndo mana kasema hakuna mkamilifu yeye mapungufu yake ni kuvaa hereni, wewe yaweza kuna ni mchoyo mamy, mimi naweza kuwa mzinzi, jilani yako anaweza kuwa mchawi, mpenzi wako muongo ,shogaako msengenyaji tuombeane tusihukumiane❤❤❤

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS หลายเดือนก่อน +1

    NIMEKUELEWA NA PENGO LAKE HALITOZIBIKA😢😢😢

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢judi atammiss san tessa maan kwa kutibuan hawajambo😁

  • @evalinemalole6709
    @evalinemalole6709 หลายเดือนก่อน +2

    Maturity ❤

  • @AdelphineUWIMANA-f3z
    @AdelphineUWIMANA-f3z หลายเดือนก่อน

    Umesema hukweli kaka ben .tusamaeane ila pole sana naona umeumia

  • @ElzaMungure
    @ElzaMungure หลายเดือนก่อน +5

    Mungu ampokee super woman wetu jmn

  • @AaaAaa-s7e
    @AaaAaa-s7e หลายเดือนก่อน +2

    Pole saana judi

  • @ZenaHemmy
    @ZenaHemmy หลายเดือนก่อน +2

    Waandishi mujifunze kuandika kichwa kulingana n mahojiano ss hapo akaongelea wp km kazimia

  • @NajmaBarry04
    @NajmaBarry04 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni 😢😢

  • @irenemichael
    @irenemichael หลายเดือนก่อน +1

    Anaongea huyu❤😂

  • @KHADIJANGANZO
    @KHADIJANGANZO หลายเดือนก่อน

    Poleni sana, Juud, Tima, Sidi na Bi Mwenda. Kwa kweli mlilia Sana, mi pia mliniliza vilivyo. Poleni wote wa na Huba, mi pia ni mshsbiki wenu na nimefuatilia msiba wote. Nipo pamoja nanyi kwenye msiba huu mzito. Yaa Allah amsamehe madhambi yake, Innalillah wa innalillah rajuun.

  • @dafrosadeus5203
    @dafrosadeus5203 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤😂😂😂jude😢pole

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 หลายเดือนก่อน

    HUYU SI NI SHOGA KILA MTU ATAKUFA NYINGINE SIFA NA USHOGA TUUU

  • @ZawadiBongo
    @ZawadiBongo หลายเดือนก่อน

    Sijamini lakini eee mungu pole sana judi

  • @MjukuuKioko
    @MjukuuKioko หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂Jude we mbugila tu...😂😂😂samahani lakini we ndio umefunza hiloneno 😂😂😂

    • @marryofficial9143
      @marryofficial9143 หลายเดือนก่อน +1

      Jude pagalii😂😂😂

    • @MjukuuKioko
      @MjukuuKioko หลายเดือนก่อน

      @marryofficial9143 😂😂😂😂

    • @marryofficial9143
      @marryofficial9143 หลายเดือนก่อน

      @MjukuuKioko atakusikia ohooo mm simoo🙄😁😁

    • @MjukuuKioko
      @MjukuuKioko หลายเดือนก่อน +1

      @marryofficial9143 🤣🤣🤣🤣

    • @BeatriceSamwel-p7u
      @BeatriceSamwel-p7u หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂akikukamata hatukusaidii sisi😂😂😂😂😂

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 หลายเดือนก่อน

    Mbona mpo hivyo watu baki hawawezi sema tatizo la marehemu acheni ujinga wenu

  • @khadijamatar3945
    @khadijamatar3945 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana juud

  • @Benti-f3o
    @Benti-f3o หลายเดือนก่อน +3

    Jud uko mubishi hadi kw interview 😅😢

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 หลายเดือนก่อน +1

      😂huwenda ndoalivyo

  • @JescaIzoba-du4qn
    @JescaIzoba-du4qn หลายเดือนก่อน

    Kuzimiaaa

  • @salmam6665
    @salmam6665 หลายเดือนก่อน +1

    Monica mbona sikumuona siku ya mazishi

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 หลายเดือนก่อน

      Mm sijamuona hata mara mo1.hata Yakubu sijamuona jamn😢

    • @AishaOman-w4b
      @AishaOman-w4b หลายเดือนก่อน

      Kama nimwemuona lida anambembelez bi mwenda chini pale kavaa miwani

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 หลายเดือนก่อน

      @AishaOman-w4b sio yy yule yukonae tangu nyumban kwa Tessa nimwingine

    • @marryofficial9143
      @marryofficial9143 หลายเดือนก่อน

      Nimemtafutaa lkn wap ata mm sijamuona

  • @SundiNdoshi-e1m
    @SundiNdoshi-e1m หลายเดือนก่อน

    Pole Jude jamani 😢😢

  • @tausymtesigwa4567
    @tausymtesigwa4567 หลายเดือนก่อน

    Watu wana maswali ya kijinga